Aimar Health Care product

Aimar Health Care product Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Aimar Health Care product, Medical and health, Mwenge, Dar es Salaam.

U.T.I. INATIBIKA!! NA USIPOTIBU MAPEMA HUSABABISHA VIMELEA KUZALIANA KWA WINGI, NA MTU MWENYE U.T.I. SUGU YUPO HATARINI ...
20/05/2022

U.T.I. INATIBIKA!! NA USIPOTIBU MAPEMA HUSABABISHA VIMELEA KUZALIANA KWA WINGI, NA MTU MWENYE U.T.I. SUGU YUPO HATARINI KUPATA MAGONJWA YA FIGO KWENYE MIRIJA YA MKOJO.
Aimar Health Care product TUNAHAKIKISHA.TUNAKUPATIA DAWA NA UNAPONA KABISA!!
CALL 0715 974799 au 0689 263832 HUDUMA INAKUFIKIA POPOTE PALE! KWA GHARAMA NAFUU SANA NA KWA UAMINIFU MKUBWA SANAA.

KUKAZA KWA MISULI YA MIGUU Kukaza kwa misuli ya miguu (leg cramp)kuna sababisha maumivu kwenye misuli ya miguu au ndama ...
06/04/2022

KUKAZA KWA MISULI YA MIGUU

Kukaza kwa misuli ya miguu (leg cramp)kuna sababisha maumivu kwenye misuli ya miguu au ndama ya miguu,
Mara nyingi hii hali hutokea wakati wa kuamka au baada ya kukaa au kulala vibaya.
PATA TIBA HARAKA
Ni vizuri kupata tiba ya haraka k**a unapata tatizo hili la kukaza kwa miguu mara kwa mara na; 1/unaendelea kupata maumivu muda wote kwenye miguu.
2/mguu ni wa moto, mwekundu au umevimba, ukibadilika rangi na kuwa wa bluu au mweupe au k**a unahisi umekuwa wa baridi sana3mifupa solutions _01]
mifupa solutions _01]
_solution


_solution
UNACHOWEZA KUFANYA WEWE MWENYEWE PIGA NAMBA 0715 974799 KWA HUDUMA.

UGONJWA WA BARIDI YABISI  (ARTHRITIS)001.🐽Baridi yabisi ni moja ya magonjwa kwenye kundi la auto immune diseases " Magon...
25/08/2021

UGONJWA WA BARIDI YABISI (ARTHRITIS)001.
🐽Baridi yabisi ni moja ya magonjwa kwenye kundi la auto immune diseases " Magonjwa yanayotokana na kinga ya mwili kushambulia tishu za mwili.
🐽Hupelekea tishu hizi kututumka na kuvimba. Tatizo hili huathiri sana maeneo ya maungo na kusababisha maumivu makali yasiyokwisha. Kuvimba kwa joints na kusababisha ugumu kwenye kukunja joints/viungo.

🐽Huu ugonjwa k**a usipo chukua hatua za haraka kuudhibiti unasababisha matatizo makubwa sana k**a;kuharibika kwa maungio, neva na ATHARI kwenye mishipa ya damu.

🐽DALILI
-Maumivu ya joints
-Kuvimba kwa tishu zinazozunguka maungio ya mifupa na kusababisha maumivu makali
-Ngozi ya joints kuwa nyekundu,laini nainachoma k**a umeungua na moto
-Maumivu na kushindwa kusonga mbele unapoamka asubuhi.
🐽KWA KUPATA TIBA YA HARAKA CALL 0689 263832

HEPATITIS B (HOMA YA INI)💐Kwa watu wasiojua kuhusu "Hepatitis B" huu ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Virusi hao hup...
24/08/2021

HEPATITIS B (HOMA YA INI)
💐Kwa watu wasiojua kuhusu "Hepatitis B" huu ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Virusi hao hupatikana katika shahawa,maji maji ya ukeni,katika mate na katika damu.

NJIA YA KUPITIA
💐Ngono-k**a mwanamke ana ujauzito na ana ugonjwa huu,anaweza kumuambukiza mtoto wake kipindi cha kuzaa.
💐Ugonjwa huu unapofikia miezi sita (6) huwa unakuwa chroniki na mtu kupata majeraha kwenye INI. (Ini kuharibiwa) na hapo mgonjwa ana hatari ya kupata kansa ya ini.

DALILI
💐Maumivu ya tumbo
💐Kukojoa mkojo mweusi
💐Maumivu ya viungo (joints)
💐Kichefuchefu /kutapika
💐Mikono ,macho na ngozi kuwa ya njano
💐Kupata homa

KWA WALE AMBAO MNA SHIDA YA HUU UGONJWA NA UNAWASUMBUA KWA MUDA TUTAFUTE UPATE DAWA NA UPONE KABISA.
CALL 0689 263832

🐥PROGRAMME MAALUMU YA KUPUNGUZA                                AU UNENE.Hii program itakusaidia mambo kdhaa k**a yafuata...
24/08/2021

🐥PROGRAMME MAALUMU YA KUPUNGUZA
AU UNENE.
Hii program itakusaidia mambo kdhaa k**a yafuatayo;🍃kuondoa sumu mwilini.
🍃kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini
🍃kupunguza sukari iliyozidi mwilini
🍃kukusaidia shida ya vidonda vya tumbo
🍃kukusaidia mwili kupata chakula bila kuzidisha mafuta na sukari, vinavyopelekea unene ama uzito mkubwa kuliko kiwango kinachostahil.

🐥HATUA ZA KUPUNGUZA UZITO.
Utafiti ulifanyika juu ya utumiaji sahihi wa virutubisho ili kupunguza uzito bila kuacha madhara na umezaa hatua zifuatazo;
-kuondoa sumu.
-kuweka sawa mfumo wa chakula.
-kuzuia ufyonzaji wa mafuta.
-kurekebisha utendaji wa kazi za mwili na shughuli za metabolism.

🐥NA HAPA UTAPUNGUA MPAKA UZITO UTAKAO UHITAJI WEWE MWENYEWE NDANI YA WEEK TATU TUU! KWA GHARAMA NAFUU.
CALL 0689 263832

🍀KWA NINI FIZI ZANGU ZINATOA DAMU?Kutokwa na damu kwenye fizi ni tatizo ambalo mara nyingi hutokana na ugonjwa wa fizi. ...
24/08/2021

🍀KWA NINI FIZI ZANGU ZINATOA DAMU?
Kutokwa na damu kwenye fizi ni tatizo ambalo mara nyingi hutokana na ugonjwa wa fizi.
Kitaalamu (gingivitis) .

🍀Tatizo hili linaweza pia kuwa dalili ya magonjwa mengine k**a;
-ukosefu wa vitamini C na K.
-liukemia
-periodontal disease.
-kiwango kidogo cha chembe sahani mwilini (low platelet court).

🍀Sababu nyingine zinaweza kuwa ujauzito, kuvaa meno ya bandia ambayo yanalegea (I'll fitting denture) unywaji wa dawa.
KWA MSAADA ZAIDI WA TIBA WA HARAKA NA KUPONA KABISA CALL 0715 974799

💮JINSI YA KUONGEZA UZITO WENYE                                     AFYA.Watu wengi hutamani kupunguza uzito ili kupunguz...
24/08/2021

💮JINSI YA KUONGEZA UZITO WENYE
AFYA.
Watu wengi hutamani kupunguza uzito ili kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa yanayosababishwa na uzito kupita kiasi.
-Lakini wapo walio WEMBAMBA kupita kiasi wanaotamani kuongeza uzito wao.

🏵 KWA MTU MWEMBAMBA SANA
Hakikisha uzito unaongezaka na unaendana na urefu wako ili kupunguza uwezekano wa kupata matatizo ya kiafya .

💮kwa kupata tiba yenye virutubisho (matunda na mboga mboga) karibu CALL 0689 263832

🌹KUKOMAA KWA HEDHI NA CHANGAMOTO                                        ZAKE. Wanawake wengi wanapitia changamoto hii!In...
24/08/2021

🌹KUKOMAA KWA HEDHI NA CHANGAMOTO
ZAKE.
Wanawake wengi wanapitia changamoto hii!Inaweza kuwa ni umri, kutumia kinga za kuzuia ujauzito, mara nyingi pia mabadiliko katika mwili.

Kukoma kwa hedhi husababisha mabadiliko kadha wa kadha mwilini k**a vile; kuyumba kwa uwiano wa vichocheo au homon za mwanamke nk.
🌹HALI HIYO HUPELEKEA USUMBUFU KADHAA K**A VILE;

-Kutokupata watoto/ujauzito.
-Kupata joto kali (hot flashes) hasa kuanzia kifuani hadi kichwani.
-Ngozi kuwa nyekundu
-Mapigo ya moyo kwenda mbio
-Kutoka jasho jingi hasa usiku
-Kutetemeka pale joto kali linapopungua.
🌹JE UNAPITIA CHANGAMOTO HIZI?? WASILIANA NASI UPATE LISHE ASILIA UWEKE MWILI WAKO SAWA CALL 0689 263832

🐽TATIZO LA KUTOPATA CHOO. Hii ni moja kati ya changamoto zinazowakumba watu, mara nyingi kupata choo  k**a cha mbuzi, hi...
24/08/2021

🐽TATIZO LA KUTOPATA CHOO.
Hii ni moja kati ya changamoto zinazowakumba watu, mara nyingi kupata choo k**a cha mbuzi, hii hali siyo ya kawaida, na wengine kuona kawaida kutopata choo hadi week.Na wengine huona k**a ni jambo la kheri.

🐽Kumbe ni tatizo linaloweza kusababisha 90% ya magonjwa yote yasiyoambukiza na hatimae kifo.
Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo wengine huwafanya kuona woga na aibu kulielezea na kushindwa kwenda hata hispital kupata tiba,hivyo kuteseka sana.

🐽KUPATA TIBA YA TATIZO HILI CALL 0689 263832

JE WAJUA JINSI ANAVYOJISIKIA MWANAUME MWENYE UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?🌻Watafiti wa afya ya jamii wanabainisha mwanaume...
24/08/2021

JE WAJUA JINSI ANAVYOJISIKIA MWANAUME MWENYE UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?

🌻Watafiti wa afya ya jamii wanabainisha mwanaume anayepungukiwa na nguvu za kiume hukumbwa na mambo yafuatayo;
-kujisikia siyo mwanaume kamili.
-kujibeza na kujishusha hadhi.
-kujishusha na kuwa na wasiwasi binafsi
-kuhisi anadharauliwa.
-kuwaogopa na kuwakimbia wanawake hata mwenzi wake.
-kukimbia ajenda zote zinazohusu tendo la ndoa.
-kuwa na hasira
-kupata mfadhaiko
-kujisikia hatia
-kuwa na wivu uliopitiliza juu ya wenzake, kila mara anahisi mkewe anachukuliwa na marijali.

🌻JE UNAKABILIWA NA TATIZO HILI AU UNA MTU MWENYE SHIDA HII?? PATA SULUHU YA LISHE ASILIA UMALIZA TATIZO. CALL 0689 263832

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aimar Health Care product posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Aimar Health Care product:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram