
13/06/2025
Kuanzia tarehe 12 Juni, wagombea 5 bora kutoka kila nchi wamefanikiwa kufuzu kuingia katika raundi inayofuata.
Hongera sana kwa wanachama hawa mahiri!
Sasa tumefikia hatua ya kupiga kura kwa umma, na taarifa hii imeshachapishwa kwenye Facebook na Touch.
Tafadhali tumia kiungo na QR Code hapa chini kupiga kura kwa ajili ya wagombea kutoka Tanzania:
🔗 Kiungo cha Kupigia Kura Tanzania: https://forms.gle/nqy3qQB5KRLPb7449
🗳️ Kura yako ni muhimu! Tafadhali shiriki kikamilifu ili kuwasaidia wagombea wetu kushinda.
🕒 Mwisho wa Kupiga Kura: 30 Juni 2028
Chagua mwanaume jina ELISANTE MSHANA
KWA MWANAMKE CHAGUA YEYOTE
The 2025 Supernova Program encourages top leaders to develop their subordinates and select role models as stars for new distributors. Congratulations to these Top-5 members who have advanced to our second round! Please help vote for them and choose your dream role star!