Afya Kamili

Afya Kamili Tunakusaidia uwekeze kwenye afya yako na hapo hapo ukiwa unaongeza kipato chako.

Kwa kutumia bidhaa zenye Umakini, zenye asili ya ubora, viwango vikubwa na uhakika wa kisayansi.

29/06/2021

Fursa ya kuwa Mgavi wa bidhaa za Neolife humu nchini Tanzania. | Distribution and Sales of https://shopneolife.com Products across Tanzania

Kuna watu wengi ambao wana tatizo la unene usiofaa kwa afya zao, msaada wa kwanza unakuwa ni mazoezi, ila sasa ukitaka k...
28/06/2021

Kuna watu wengi ambao wana tatizo la unene usiofaa kwa afya zao, msaada wa kwanza unakuwa ni mazoezi, ila sasa ukitaka kuupunguza unene huo kwa uhakika zaidi, kwenye mazoezi hayo ongeza virutubisho vya Neolife. Hivi ni pamoja na Amitone, Garlic, NeolifeShake na NeolifeTea.

Ushuhuda uliopo ni kwamba hivi virutubisho vina uwezo wa kuongeza kasi ya kupunguza unene kwa zaidi ya kilo 5 kwa mwezi, hapo k**a mazoezi yalikusaidia kupunguza kilo 5, ongezea 5 zaidi za virutibusho vya Neolife. Ina maana una uwezo wa kupunguza hadi kilo 10 kwa mwezi ukitumia virutubisho hivi pamoja na mazoezi. Karibu sana.

Virutubisho vya neolife ni kiboko kwa kujenga Kinga mwilini, tunavyo kwa ajili yako!
22/06/2021

Virutubisho vya neolife ni kiboko kwa kujenga Kinga mwilini, tunavyo kwa ajili yako!

21/06/2021

Imefika mda wa kujenga kinga ya mwili wako, kabla raundi nyingine ya hili janga kuja kutuhangaisha tena! Neolife inakupa virutubisho vya PhytoDefence, Garlic Allium Complex, Chelated Zinc pamoja na Vitamin C Sustained release. Kwa pamoja vinajenga kinga ya mwili wako kwa zaidi ya asilimia 30 ndani ya mda mfupi sana.

Kuna vitu kadhaa vya kushangaa ulimwenguni, mojawapo ni kuhangaika kutafuta mali nyingi pamoja na kuenjoy ulichokipata k...
28/05/2021

Kuna vitu kadhaa vya kushangaa ulimwenguni, mojawapo ni kuhangaika kutafuta mali nyingi pamoja na kuenjoy ulichokipata kwa jasho lako, halafu mwisho wa siku familia yako ikauza kila kitu ili kukutibia ugonjwa sugu usio ambukizwa. Mfano; kiharusi, au kisukari, au presha.

Wakati kumbe kuna vitu vichache tu, tena vya gharama ndogo sana ambavyo ukivizingatia utaweza kuepuka janga la Magonjwa Sugu yasiyo ambukizwa. Usifikirie kuwa hicho kitambi kinakuongezea hadhi kwenye jamii, badala yake ni dalili mojawapo ya kutokupata lishe sahihi, pamoja na mazoezi ya kutosha.

Mazoezi unaweza ukajichagulia, ila lishe bora kuna changamoto kwenye hii jamii yetu ya kiswanglish. But, kuna suluhisho rahisi tu: Ili uweze kupata madini yote ambayo mwili wako unahitaji, nakukaribisha kwenye website yangu ili upate kuchagua virutubisho murwa na vyenye ubora wa hali ya juu, ili kuziba pengo lililopo mbele yetu.

Kiswanglish kinasema: Prevention is better than kujenga ukuta.

Kolesteroli ni changamoto kubwa kwa watu wengi. Unaidhibiti vipi?
24/05/2021

Kolesteroli ni changamoto kubwa kwa watu wengi. Unaidhibiti vipi?

21/05/2021
Unafanikiwa kudhibiti uzito? Anza kutumia virutubisho vya Ami-tone leo, ili ufanikisha kupunguza angalau kilo 5 hadi 10 ...
13/05/2021

Unafanikiwa kudhibiti uzito? Anza kutumia virutubisho vya Ami-tone leo, ili ufanikisha kupunguza angalau kilo 5 hadi 10 ndani ya miezi mitatu tu, pamoja na faida nyingine za kutumia virutubisho sahihi!

Covid19! Hili janga limetufundisha! Kujenga immunity (Vitamin C), kupunguza uzito (mazoezi), kula chakula natural (minaf...
12/05/2021

Covid19! Hili janga limetufundisha! Kujenga immunity (Vitamin C), kupunguza uzito (mazoezi), kula chakula natural (minafu, mihogo etc), na kupiga kinga za asili (mmaasai wangu upo?).

Ila sasa, haya maisha ya mjini, una uhakika unapata virutubisho vyote husika ili mwili wako uwe umekamilika? Kwenye mfumo sahihi wa afya, kuna Piramidi ya Ustawi wa afya (imeambatanishwa). Una uhakika unafikia malengo ya afya Kamili k**a ilivyo ainishwa?

Hebu tuambizane:

Je, umeshauriwa kwenda Gym ili upunguze weight? Halafu imekuwa ni shughuli pevu? Ni changamoto kweli, unatumwa gym kupun...
12/05/2021

Je, umeshauriwa kwenda Gym ili upunguze weight? Halafu imekuwa ni shughuli pevu? Ni changamoto kweli, unatumwa gym kupunguza kitambi, halafu hakipungui.

Ushauri wa Dokta, "punguza kilo ishirini", baada ya miezi mitatu ya kuamka mapema asubuhi, na kujituma kweli, unakuta zimepungua kilo 3(tatu). Au labda uache kula kitimoto, kilivyo kitamu? Sukari ulisha acha, au chumvi pia ni ya kuacha?

Hii ni issue ambayo inatukumba wengi, karibu tupate mbinu na bidhaa za kuingia kwenye "Afya Kamili"

Address


Opening Hours

Tuesday 06:00 - 18:00
Wednesday 06:00 - 18:00
Thursday 06:00 - 00:00
Friday 06:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Kamili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram