Nice & Free Sanitary Pads

Nice & Free Sanitary Pads We are a premium sanitary pad brand designed to provide superior feminine hygiene protection and com

 ni Full Package Pads kwa Wanawake. Ziko 12 kwenye pakti moja..5pcs pedi Kubwa 338mm5pcs pedi kati 290mm2pcs pedi ndogo ...
17/05/2023

ni Full Package Pads kwa Wanawake. Ziko 12 kwenye pakti moja..
5pcs pedi Kubwa 338mm
5pcs pedi kati 290mm
2pcs pedi ndogo 180mm

Zimethibitishwa na Viwango vya Kimataifa na Kitaifa- ISO certified…
Zitakuacha mkavu na mwenye Furaha siku nzima na Kujiamini👌💯

Tumia Nice n Free Pads

Tupo Kariakoo: Livingstone/Mkunguni
Simu: 0739271144
Delivery Ipo


Hedhi ni Afya na salama kwa kila mwanamke. Hedhi ni Furaha Hedhi ni AfyaHedhi ni FahariHivyo basi ni haki ya Kila binti ...
09/06/2022

Hedhi ni Afya na salama kwa kila mwanamke.

Hedhi ni Furaha
Hedhi ni Afya
Hedhi ni Fahari
Hivyo basi ni haki ya Kila binti kuifurahia na kupata pads bora za kutumia kipindi cha mzunguko wa mwezi.

Nice&Free pads ina pads 12pcs pads kubwa, kati na ndogo zote kwenye pack moja.. zimetengenezwa kwa pamba 100%.

Zinapatikana madukani kote.

Fika ofisi zetu za kariakoo- mtaa wa Livingstone na mkunguni jengo la nargis plaza.

Piga no 07391144
www.nicenfreepads.co.tz

01/06/2022

Tulikuwa na wakati mzuri na wanafunzi wa tambaza high school pamoja na siku ya Hedhi Duniani..

  @__Suala la hedhi salama ni kitu kinachopaswa kupigiwa chapuo na  wadau wote kuanzia ngazi ya familia, katika vyombo v...
29/05/2022

@
__
Suala la hedhi salama ni kitu kinachopaswa kupigiwa chapuo na wadau wote kuanzia ngazi ya familia, katika vyombo vya habari, mashuleni, wazalishaji na wasambazaji wa pedi.

Tunaamini katika kusimama na binti ili kufanikisha hedhi salama.



🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  @__null
29/05/2022

@
__
null

Happy Hedhi Day kwa Wanawake wote duniani ❤❤Karibu ujipatie pads kwa bei ya punguzo .Fika ofisi  zetu za Nice n Free pad...
28/05/2022

Happy Hedhi Day kwa Wanawake wote duniani ❤❤

Karibu ujipatie pads kwa bei ya punguzo .
Fika ofisi zetu za Nice n Free pads kariakoo Mtaa wa Livingstone na mkunguni jengo la nargis plaza...

Piga 0739271144
Mwisho wa bei ya punguzo ni 10th june 2020..


Kuelekea 28th May 2022 siku ya Hedhi Duniani.   imetoa punguzo la 20% kwenye bidhaa ili kuweza kuwasaidia mabinti wenye ...
24/05/2022

Kuelekea 28th May 2022 siku ya Hedhi Duniani. imetoa punguzo la 20% kwenye bidhaa ili kuweza kuwasaidia mabinti wenye uhutaji..

Fika ofisi zetu za Kariakoo Mtaa wa Livingstone na Mkunguni - Jengo la Nargis Plaza.

Piga simu no 0655271144 au 0739271144..
www.nicenfree.co.tz

NB: Mikoani tunatuma mizigo

06/05/2022

Nice n free Pads
Sasa inakuletea
Vifurushi Vipya🤗☺🤫

1. Economy Pack - 9 Pcs CTN
2. Medium Pack - 12 Pcs CTN
3. Jumbo Pack - 24 Pcs/ 30 Pcs CTN
4. Maxi Jumbo Pack - 60 Pcs CTN

Bidhaa zetu zinapatikan kwa bei ya Jumla na Rejareja..
Fika Ofisi Zetu za Kariakoo
Mtaa wa Livingstone na Mkunguni - Jengo la NARGiS PLAZA...

Tunahitaji Mawakala Mikoani.

Tupigie No 0655271144 au 0739271144






Address

Kariakoo Mtaa Wa Livingstone Na Mkunguni, Jengo La Nargis Plaza
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Telephone

0739271144

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nice & Free Sanitary Pads posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Nice & Free Sanitary Pads:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram