Super Afya

Super Afya Karibu sana:
Ushauri wa Madaktari Bingwa; Vipimo; Dawa za Tiba Lishe zisizo na Kemikali.
0763 116983

🔍 Unataka Kupata Mimba Kwa Urahisi? Hizi ni Dalili 6 Zinazoonyesha Una Nafasi Kubwa Ya Kushika Mimba Haraka:1️⃣ Mzunguko...
03/04/2025

🔍 Unataka Kupata Mimba Kwa Urahisi? Hizi ni Dalili 6 Zinazoonyesha Una Nafasi Kubwa Ya Kushika Mimba Haraka:

1️⃣ Mzunguko wa Hedhi wa Kawaida – Ikiwa Mzunguko Wako ni wa Siku 21-35 kwa Mpangilio, Inamaanisha Mwili Wako Unafanya Kazi Vizuri na Ovulation Inatabirika.

2️⃣ Kuelewa Ovulation Yako – Kujua Lini YAI Linatolewa Hukusaidia Kupanga Tendo La Ndoa Katika Wakati Sahihi kwa Nafasi Kubwa ya Kushika Mimba.

3️⃣ Afya Nzuri ya Uzazi – Kula lishe Bora , Kufanya Mazoezi , Na Kuepuka Msongo wa Mawazo Kunaongeza Uwezo Wa Kushika Mimba Kwa Haraka.

4️⃣ Uzito wa Afya – Uzito Kupita Kiasi au Kuwa Chini Mno Unaweza Kuathiri Homoni Zako na Kuchelewesha Mimba.

5️⃣ Hakuna Historia ya Maambukizi ya Kizazi – Maambukizi K**a PID Yanaweza Kuharibu Mirija ya Uzazi na Kupunguza Nafasi Yako ya Kushika Mimba.

6️⃣ Mtindo wa Maisha wa Afya – Epuka Sigara , Pombe Kupita Kiasi , Na Vyakula Visivyo na Virutubisho ili Kuboresha Afya ya Uzazi.

🚨 MUHIMU: Usisubiri ⏳ Kila siku Unayosubiri Inaweza Kupunguza Nafasi Yako ya Kushika Mimba!

Chukua Hatua Sasa ili Kulinda Uwezo Wako wa Kupata Mtoto.

💬 Nataka Kukusaidia! Tuma Ujumbe WhatsApp kwa 📲 +255 763 116983 Kwa Ushauri wa Kitaalamu wa Uzazi!

K**a una tatizo la kutokwa na uchafu ukeni, harufu mbaya ukeni, na maumivu ya tumbo: SULUHISHO LAKO LIPO: Karibu ukutane...
09/07/2024

K**a una tatizo la kutokwa na uchafu ukeni, harufu mbaya ukeni, na maumivu ya tumbo: SULUHISHO LAKO LIPO:

Karibu ukutane na Daktari Bingwa, Vipimo vya Kisasa, Dawa zinazotibu na kuondoa tatizo, zisizo na Kemikali.

Wasiliana nasi 0763116983

10/05/2023

Asilimia kubwa ya wagonjwa wa magonjwa yasiyoambukiza yanasababishwa na mtindo wa maisha, hasa Ulaji wa vyakula na vinywaji vinavyotumika.

Kuwa makini Sana na kitu unachoweka mdomoni na kuingia tumboni...Jali Afya yako.

Je unasumbuliwa na magonjwa ya uzazi, watoto, na magonjwa mengine yasiyoambukiza?

Karibu upate ushauri wa daktari, Kipimo cha mwili mzima kwa tsh. 20,000/ tu, na SULUHISHO / TIBA LISHE. Utapatiwa ushauri wa Jinsi ya kuishi na kuepuka maradhi yasiyoambukiza.

Dawa zetu za Tiba Lishe zimetengenezwa kwa mimea na matunda asilia na hazina kemikali kabisa. Ugonjwa unapona kabisa, bila upasuaji kwa wenye uvimbe, bila mionzi kwa wenye saratani.

Wasiliana nasi:

Call / Watsapp 0763 116 983

Instragram

UTAJUAJE UKE WENYE AFYA?Kawaida Uke wa Mwanamke una bakteria wa kawaida wazuri waishio kwa ajili ya ulinzi. Kitu chochot...
10/05/2023

UTAJUAJE UKE WENYE AFYA?

Kawaida Uke wa Mwanamke una bakteria wa kawaida wazuri waishio kwa ajili ya ulinzi. Kitu chochote kitakachoharibu uwiano wa bakteria wa kawaida waishio katika uke wa mwanamke, kinaweza kuleta mabadiliko katika rangi, muundo na harufu, hata kupelekea ukavu wa uke. Hivyo; usiingize kitu chochote; kidole, Sabuni, Mafuta, n.k kwenye uke wa Mwanamke.

UKE WENYE AFYA: Sio Mkavu, una Ute Mweupe, harufu Nzuri, na unajisafisha wenyewe.

UKE WENYE MAAMBUKIZI YA MAGONJWA:
- Uchafu mzito kutoka ukeni wa rangi ya maziwa, njano, kahawia, au kijani.
- Harufu mbaya ukeni
- Maumivu ya kiuno na nyonga
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Kukosa hamu ya tendo la ndoa

Wewe Mwanamke, je, uke wako una Afya?
Karibu upate ushauri wa daktari, Kipimo cha mwili mzima kwa tsh. 20,000/ tu, na SULUHISHO / TIBA. Wasiliana nasi:

Call / Watsapp 0763 116 983

Instragram

AFYA YA MTOTOSIFA ZA MTOTO MWENYE AFYA:1. NGOZI NZURI INAYOVUTIA2. NYWELE ZINAZONG'AA ZILIZOPO KATIKA HALI NZURI3. MACHO...
10/05/2023

AFYA YA MTOTO

SIFA ZA MTOTO MWENYE AFYA:

1. NGOZI NZURI INAYOVUTIA
2. NYWELE ZINAZONG'AA ZILIZOPO KATIKA HALI NZURI
3. MACHO YENYE KUNG'AA YASIYO NA UVIMBE WALA WEKUNDU
4. PUA SAFI ZISIZO NA MAFUA
5. .MASIKIO SAFI YASIYOUMA, NA ANASIKIA VIZURI
6. MENO MEUPE NA FIZI IMARA
7. HAMU YA KULA
8. UZITO MZURI NA UKUAJI MZURI
9. MAPIGO YA MOYO YAPO VIZURI NA HAMNA GANZI KWENYE VIDOLE
10. JOTO LA MWILI LIPO SAWA
11. ASIYEHARISHA WALA KUTAPIKA
12. MMENG'ENYO MZURI WA CHAKULA; APATE HAJA KUBWA ANGALAU MARA 6 KWA SIKU

MTOTO MWENYE AFYA, ATAKUWA HIVI: Atakuwa na furaha, atacheza vizuri, atalala vizuri, atakula vizuri.

Je, Mtoto wako anazo hizi sifa??

Ikiwa Mtoto wako anapungukiwa na sifa mojawapo hapo juu, karibu upate ushauri wa kiafya, dawa, na Virutubisho vitakavyosaidia Mtoto wako kukaa sawa.

Call / Watsapp 0629700452
, , ,

Furaha ya Mtoto ni Afya Bora inayomuwezesha kusoma vizuri, kucheza vizuri, na kushiriki vizuri katika Mambo ya jamii.Afy...
10/05/2023

Furaha ya Mtoto ni Afya Bora inayomuwezesha kusoma vizuri, kucheza vizuri, na kushiriki vizuri katika Mambo ya jamii.

Afya ya Mtoto inajengwa na LISHE. Na kwa bahati mbaya, nyakati hizi za sasa vyakula vingi tunavyovipenda havitoi lishe iliyo kamili. Hivyo, Ni muhimu kumpatia Mtoto wako lishe ya virutubisho ili akue vizuri kimwili, kiakili, na kihisia.

Je, ungependa Mtoto wako aonekane na: Afya Bora, furaha tele, afanye vizuri shuleni, ubongo wenye afya? Inawezekana.

Je Mtoto wako anasumbuliwa na magonjwa mbalimbali, hakui vizuri, Ni mdhaifu?

Njoo upate suluhisho na ujenge Afya Bora kwa Mtoto wako. Na ikiwa Mtoto wako ana changamoto yeyote mlete aonane na daktari.

Call / Watsapp 0763 116 983
, , ,

Uvimbe ni mojawapo ya tatizo linalosababisha Mwanamke  kushindwa kupata mtoto/watoto. Pia, uvimbe Husabanisha Tatizo kub...
10/05/2023

Uvimbe ni mojawapo ya tatizo linalosababisha Mwanamke kushindwa kupata mtoto/watoto. Pia, uvimbe Husabanisha Tatizo kubwa la SARATANI.

Dalili za uvimbe ni:

1. Kupata hedhi inayochukua siku nyingi
2. Hedhi nzito
3. Maumivu makali wakati wa hedhi
4. Kujisikia umeshiba muda mwingi
5. Kupata mkojo Mara kwa Mara na kushindwa kutoa mkojo wote kwenye kibofu
6. Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7. Madhara mbalimbali ya uzazi K**a; ugumba na mimba kutoka.

Hakuna uvimbe mdogo kwenye maswala ya uzazi. Ikiwa unapata hizi dalili, nakushauri ukapime mapema. Ikiwa umepima, na umeonekana na uvimbe wowote, fanya mawasiliano nami nikupe suluhisho sahihi, kuondoa uvimbe BILA UPASUAJI.

USIKAE NA UVIMBE MUDA MREFU, UTAKULETEA MATATIZO MAKUBWA HAPO BAADAE.

Call me / Watsapp 0763 116 983
, , , , ,

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEUpungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya Mwanaume kushindwa kufanya mapenzi kwa kushind...
10/05/2023

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya Mwanaume kushindwa kufanya mapenzi kwa kushindwa kusimamisha uume. Hili tatizo huwanyima watu raha na kuleta msongo wa mawazo, na matatizo katika mahusiano.

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo bingo, na vingi ni mitindo ya maisha, nayo ni pamoja na;
- Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
- Kuvuta sigala na unywaji wa pombe
- Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
- Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
- Kisukari
- Kuwa na mawazo na wasiwasi
- Matumizi ya madawa mbalimbali
- Umri hasa wazee
- Kuwa na tatizo la kibofu
- Tabia za kujichua kwa mda mrefu
- Kutopata usingizi kamili
- Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
🍀 Kuwahi kufika kileleni
🍀 Kukosa hamu ya mapenzi
🍀 Kushindwa kurudia tendo la ndoa
🍀 Uume kusimama kwa uregevu

Watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na kemikali na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa na Daktari.

Ikiwa unasumbuliwa na hili tatizo tuna program itakayokusaidia kumaliza hili tatizo. Wasiliana nasi:

Call/watsapp 0763 116 983

, , , ,

Tafiti zinaonesha kati ya wanawake 10, wanawake 6-8 wanasumbuliwa na PID na matatizo ya uzazi. Wanawake wengi wanasumbul...
10/05/2023

Tafiti zinaonesha kati ya wanawake 10, wanawake 6-8 wanasumbuliwa na PID na matatizo ya uzazi. Wanawake wengi wanasumbuliwa na PID na matatizo ya uzazi. PID ni maambukizi katika via vya uzazi wa Mwanamke.

Dalili za PID:
- Kutokwa na uchafu mzito Mweupe k**a maziwa mtindi, sehemu za Siri za Mwanamke; wakati mwingine unaweza ukawa na rangi ya njano, kahawia, au kijani.
- Muwasho sehemu za Siri
- Harufu mbaya ukeni
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Maumivu ya kiuno na nyonga
- Kukosa hamu ya tendo la ndoa

PID husababisha: Kizazi kulegea, kizazi kujaa maji, mimba kutoka, uvimbe kwenye kizazi (ovarist), homoni zisizo-balance, ugumba, na saratani ya Shingo ya kizazi.

PID ni hatari Sana kwa Afya ya uzazi wa wanawake. Kwa ushauri zaidi kuhusu Afya ya uzazi wa Mwanamke, pamoja na suluhisho; wasiliana nasi;

Call/Watsapp 0763 116 983
@ superafya_healthsolution
Instragram

UTI - PID - FANGASI - UGUMBATafiti zinaonesha ya kwamba; Kati ya wanawake 10, wanawake 6-8 wanasumbuliwa na matatizo ya ...
10/05/2023

UTI - PID - FANGASI - UGUMBA

Tafiti zinaonesha ya kwamba; Kati ya wanawake 10, wanawake 6-8 wanasumbuliwa na matatizo ya uzazi au mojawapo ya haya matatizo. Wanawake wengi husumbuliwa na haya matatizo.

UTI ni maambukizi ya bakteria yanayotokea katika kibofu ya mkojo. UTI isipotibiwa vizuri, na ikirudi mara kwa mara, inakuwa UTI SUGU. UTI SUGU ikikaa muda mrefu husababisha maambukizi katika via vya uzazi wa mwanamke, yaan; PID.

Mojawapo ya Dalili za PID Ni: Kutokwa na uchafu mzito wa rangi ya maziwa, kahawia, njano, au kijani, harufu mbaya ukeni; ambavyo hupelekea fangasi wabaya ukeni, zinazoleta Muwasho. PID ikiwa sugu husababisha UGUMBA, yaani; kushindwa kupata Mtoto. Pia inaweza kusababisha saratani ya Shingo ya kizazi.

UTI - PID - FANGASI - UGUMBA Hivi vyote ni hatari Sana kwa Afya ya uzazi kwa mwanamke. Kwa ushauri zaidi kuhusu Afya yako ya uzazi, na SULUHISHO; wasiliana nasi:

Call / Watsapp 0763 116 983

Instragram

Address

Mnazi Mmoja Street And Uhuru Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255763116983

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Super Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram