Tiba asili

Tiba asili Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba asili, Mlimani city, Dar es Salaam.

Hii ni page ya tiba asili za kimarekani, utajifunza magonjwa na mambo mengi kuhusu afya zetu pamoja na suluhisho la magonjwa mbalimbali, kama presha, kisukari, shida za mifupa na maungio, bawasili, vidonda vya tumbo, nguvu za kiume, tezi dume, pid,uzazi Bf Suma ni kampuni ya kimataifa iliyojikita katika tafiti na maendeleo ya kijamii, uzalishaji na usambazaji wa bidhaa lishe asilia zisizo na kemikalu zenye kukinga na kutibu magonjwa mbalimbali Kama shida zote za uzazi kwa wanaume na wanawake, vidonda vya tumbo, bawasili, gesi tumboni nk, shida za mgongo, maunhio na mifupa kwa ujumla, kisukari, presha , vimbe, Kansa,kupunguza uzito na manyama uzembe, kuondoa sumu na kuimarisha Kinga za mwili

*ELIMU YA UGONJWA WA KISUKARI* Kisukari ni nini?Kisukari (Diabetes Mellitus) ni ugonjwa sugu unaotokea pale ambapo mwili...
12/04/2026

*ELIMU YA UGONJWA WA KISUKARI*

Kisukari ni nini?

Kisukari (Diabetes Mellitus) ni ugonjwa sugu unaotokea pale ambapo mwili unashindwa kutumia au kuzalisha insulini kwa ufanisi, hivyo kusababisha ongezeko la sukari kwenye damu. Insulini ni homoni inayozalishwa na kongosho, na inasaidia kusafirisha sukari kutoka kwenye damu hadi kwenye seli ili kutumika k**a nishati.

*AINA ZA KISUKARI*

*1. Kisukari Aina ya 1*

Hutokea wakati kinga ya mwili inashambulia na kuharibu seli za kongosho zinazozalisha insulini.

Wagonjwa wa aina hii hutegemea sindano za insulini maisha yao yote.

Huonekana zaidi kwa watoto na vijana

*2. Kisukari Aina ya 2*

Hutokea pale ambapo mwili unashindwa kutumia insulini ipasavyo (insulin resistance) au haitoshi.

Mara nyingi huhusiana na mtindo wa maisha usiofaa k**a kula vyakula vyenye sukari nyingi, kutofanya mazoezi, na uzito mkubwa.

Huchangia zaidi ya 90% ya visa vya kisukari duniani.

*3. Kisukari cha Mimba*

Huwapata baadhi ya wanawake wajawazito kutokana na mabadiliko ya homoni.

Mara nyingi huisha baada ya kujifungua, lakini kinaweza kuongeza hatari ya mama kupata kisukari aina ya 2 baadaye.

*DALILI ZA KISUKARI*

■Kukojoa mara kwa mara
■Kiu isiyo ya kawaida
■Njaa kupita kiasi
■Uchovu usioeleweka
■Kupungua uzito bila sababu
■Vidonda vinavyochelewa kupona
■Maambukizi ya mara kwa mara, hasa kwenye ngozi, fizi, au sehemu za siri
■Kupungua kwa uwezo wa kuona

*MADHARA YA KISUKARI KISIPOPATIWA MATIBABU*

K**a kisukari hakidhibitiwi, kinaweza kusababisha madhara makubwa k**a:

■ Shinikizo la damu na magonjwa ya moyo
■ Kupungua kwa uwezo wa kuona au upofu
■ Uharibifu wa figo na hatari ya kushindwa kwa figo
■Kudhoofika kwa mishipa ya fahamu (neuropathy)
■ Vidonda sugu vinavyoweza kupelekea kukatwa viungo (amputation)

*NJIA ZA KUDHIBITI NA KUZUIA KISUKARI*

✅ Kufanya mazoezi mara kwa mara
✅ Kula mlo bora wenye nyuzinyuzi nyingi na mafuta mazuri
✅ Kupunguza matumizi ya sukari na wanga rahisi
✅ Kudhibiti uzito
✅ Kuepuka msongo wa mawazo
✅ Kunywa maji ya kutosha
✅ Kwa walio na kisukari, kufuatilia sukari kwenye damu mara kwa mara na kufuata ushauri wa daktari

Mwanamke mwenye kitambi anapoteza mvuto ila hatuwambii tuu na mwanamme anapoteza nguvu za kiune shauri zenu na msisahau ...
11/04/2026

Mwanamke mwenye kitambi anapoteza mvuto ila hatuwambii tuu na mwanamme anapoteza nguvu za kiune shauri zenu na msisahau vitambi na manyama uzembe ndo chanzo cha magonjwa k**a kisukari, presha, bawasili nk

Kimbilia hapa whatsapp/call 0716843582

Dalili za homa ya ini (Hepatitis) zinaweza kutofautiana kulingana na aina ya homa ya ini (A, B, C, D au E) na hatua ya u...
11/04/2026

Dalili za homa ya ini (Hepatitis) zinaweza kutofautiana kulingana na aina ya homa ya ini (A, B, C, D au E) na hatua ya ugonjwa, lakini kwa ujumla mtu mwenye homa ya ini anaweza kuonyesha dalili zifuatazo:

⚠️ Dalili za Awali (za mwanzo):

1. Kuchoka sana (mwili hauna nguvu)

2. Kichefuchefu na kutapika

3. Kupoteza hamu ya kula

4. Maumivu tumboni, hasa upande wa juu kulia (eneo la ini)

5. Homa au kuhisi baridi

6. Kuumwa kichwa

7. Maumivu ya viungo na misuli

🟡 Dalili Zinazoendelea (baada ya siku kadhaa):

1. Ngozi na macho kuwa ya njano (hii huitwa jaundice)

2. Mkojo kuwa wa rangi ya giza (k**a rangi ya chai kali)

3. Kinyesi kuwa chepesi (rangi ya udongo)

4. Kuwashwa mwili mzima

5. Tumbo kujaa gesi au kuvimba

6. Kupungua uzito bila sababu maalum

7. Mabadiliko ya akili (kwa hatua mbaya zaidi – kutokana na sumu kuongezeka kwenye damu)

⚕️ Tahadhari:

K**a mtu ana dalili hizi, hasa njano ya macho/ngozi na mkojo wa giza, ni muhimu kwenda hospitali mara moja kwa vipimo vya damu (k**a vile ALT, AST, na kipimo cha hepatitis A, B, au C) ili kujua aina ya homa ya ini na kupata matibabu mapema.

Whatsapp/call 0716843582

10/04/2026

Boresha kinga ya mwili wako kwa kutumia bidhaa Pure and Broken Ganoderma Spores Oil! 🌿

✨. Bidhaa yenye asili ya mafuta iliyotegenezwa kwa viambata asili kwa ajili ya kuboresha kinga ya mwili wako.

🌿💪Bidhaa hii inafanya kazi zifuatazo:

✨ Husaidia Kuboresha Afya ya Ini
✨ Husaidia Kuondoa vimbe mbali mbali mwilini

✨ Husaidia Kuondoa sumu mwilini

✨ Husaidia Kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

✨ Husaidia Kuondoa uchovu na kuboresha usingizi

✨ Husaidia kupunguza kasi ya ukuaji wa maradhi ya kansa na kutibu kansa

✨ Husaidia kuweka sawa kiasi cha mafuta mwilini

✨ Husaidia Juboresha mfumo wa mazunguuko wa Damu

✨ Husaidia kuboresha Afya ya Kongosho na kuweka sawa kiasi cha sukari Mwilini.

✨ Husaidia kuboresha Afya ya ngozi.

✨ Inapambana na magonjwa sugu k**a presha, kiharusi, shida za figo, ini, moyo, mapafu, na vimbe mbalimbali

09/04/2026

Usione soo kusema k**a una bawasili

Ukiona dalili hizi pata ushauri kwa wataalamu haraka
09/04/2026

Ukiona dalili hizi pata ushauri kwa wataalamu haraka

Afya bora inategemea mzunguko mzuri wa damu na uchakataji wa sukari
08/04/2026

Afya bora inategemea mzunguko mzuri wa damu na uchakataji wa sukari

06/04/2026

Reishi Kahawa ni bidhaa inayochanganya faida za kahawa na sifa za dawa za uyoga wa Reishi. Hapa kuna faida zinazowezekana:

Faida:
1. *Huongeza kinga ya mwili*: Uyoga wa Reishi umeonekana kuwa na athari za kinga mwilini, kusaidia mfumo wa kinga.
2. *Antioxidant properties*: Uyoga wa Reishi una antioxidants ambayo husaidia kulinda seli dhidi ya uharibifu unaosababishwa na free radicals.
3. *Athari za kuzuia uchochezi*: Uyoga wa Reishi umeonyeshwa kuwa na sifa za kuzuia uchochezi, ambazo zinaweza kusaidia kupunguza uvimbe na kuboresha afya kwa ujumla.
4. *Huboresha uwazi wa kiakili na umakini*: Mchanganyiko wa kahawa na uyoga wa Reishi unaweza kusaidia kuboresha umakini, umakini na uwazi wa kiakili.
5. *Husaidia afya ya mishipa ya moyo*: Uyoga wa Reishi unaweza kusaidia kupunguza shinikizo la damu na viwango vya kolesteroli, kusaidia afya ya moyo na mishipa.
6. *Huimarisha nishati na uchangamfu*: Uyoga wa Reishi unaaminika kuwa na sifa zinazoweza kubadilika, ambazo zinaweza kusaidia kuimarisha nishati na uchangamfu.

Changamoto za mifupa, maungio na misuli, hayana nafasi unapotumia virutubisho lishe bora
06/04/2026

Changamoto za mifupa, maungio na misuli, hayana nafasi unapotumia virutubisho lishe bora

05/04/2026

Mwanao asikose hii

Sonona ni hali ya huzuni ya muda, kukosa furaha au kuishiwa nguvu ya moyo, mara nyingi husababishwa na msongo wa mawazo,...
04/04/2026

Sonona ni hali ya huzuni ya muda, kukosa furaha au kuishiwa nguvu ya moyo, mara nyingi husababishwa na msongo wa mawazo, matatizo ya maisha, au kuchoka sana kihisia.
Dalili za sonona
Kuhisi huzuni bila sababu ya wazi
Kukosa hamu ya kufanya mambo uliyopenda
Kuchoka haraka / kukosa nguvu
Mawazo mengi au kujitenga na watu
Kukosa usingizi au kulala sana
Sonona ≠ Unyogovu (Depression)
Sonona: huwa ya muda mfupi na inaweza kupita yenyewe
Unyogovu: ni ugonjwa, hudumu muda mrefu (wiki au miezi) na huhitaji msaada wa kitaalamu
Nifanye nini nikihisi sonona?
Pumzika na upate usingizi wa kutosha
Ongea na mtu unayemuamini
Fanya mazoezi mepesi au tembea
Sikiliza muziki, soma, au fanya jambo unalolipenda
Epuka kujilaumu kupita kiasi
👉 Ikiwa sonona inadumu zaidi ya wiki 2, au inaambatana na mawazo ya kujiumiza, ni muhimu kumwona mtaalamu wa afya ya akili.

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam
234

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba asili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram