
17/08/2023
Nakumbuka ni k**a jana tu! Ilikua siku ya jumamosi tarehe 16 mwezi wa 7 mwaka jana 2022.....
Nilipopokea simu usiku wa saa 2 hivi na nusu baada ya kumaliza kuhudumia wagonjwa kutoka kwa mwanamke mmoja wa Sumbawanga ambae alikua na changamoto sana kwenye mfumo wake wa uzazi......
Na alijaribu sana kuondoa changamoto hizo lakini hali ilizidi kuwa mbaya sana! Mbali na jinsi nyingine ambavyo alikua akihisi alikua anapata maumivu makali sana hasa kabla ya period....!
"Hakuna dawa sijatumia kuanzia hospitalini, za kienyeji, kwa waganga nimetumia dawa za kupaka hadi kunywa lakini hakuna mabadiliko, nimechoka".
Alitumia dawa za P.I.D lakini maumivu hayakukoma, akatumia dawa za kuondoa uvimbe lakini hazikumsaidia, akaambiwa labda ana uchafu kwenye kizazi lakini hivyo vyote havikumletea nafuu.....
Kwa sababu ananiamini sana na ameona wengi nimewasaidia wameondokana na changamoto za uzazi, alisafiri mpaka kwenye kituo changu cha afya hapa dar es salaam, majumbasita airport.......
Baada ya kumfanyia vipimo vya uzazi niligundua ana changamoto ambayo sikujua kwanini hakuambiwa hiyo! 😢
Najua unajiuliza alikua na shida gani?.......
Hilo tatizo ndio nililopanga kukuelezea na wewe pia leo sasa hivi......
Alikua na changamoto ya kuvimba kwa mirija ya uzazi (SALPINGITIS) 😢
Hapa chini nitakuelezea SALPINGITIS ni nini? na inasababishwa na nini?....
Salpingitis ni ugonjwa wa uzazi unaohusishwa na kuvimba kwa mirija ya uzazi ya mwanamke.....
Ugonjwa huu husababishwa na maambukizi ya bakteria ambayo hupenya kwenye mirija ya uzazi kupitia njia ya uzazi, k**a vile kupitia ngono zembe au kupitia utaratibu wa kueneza maambukizi kutoka kwa maeneo mengine ya mwili.
Dalili za salpingitis zinaweza kujumuisha maumivu ya tumbo la chini, maumivu ya pelvic, kutokwa uchafu ukeni unaohusiana na maambukizi, homa, na kuhisi maumivu wakati wa ngono. Ikiwa haijatibiwa, salpingitis inaweza kusababisha madhara k**a vile ugumba, mimba nje ya kizazi, na maumivu makali ya pelvic.
Lakini tofauti na sababu nyingi imegundulika pia P.I.D inapokaa kwenye mwili wa mwanamke kwa muda mrefu hupelekea tatizo la SALPINGITIS......
Hayo yote ni matokeo ya KUTOKUFANYA VIPIMO SAHIHI VYA UZAZI NA KUISHIA KUTABIRI UGONJWA TU KUTOKANA NA DALILI ZINAZOONEKANA.
Mwanamke usitabiri UGONJWA ulionao FANYA VIPIMO SAHIHI VYA UZAZI kwa lengo la kufahamu ni nini chanzo Cha Changamoto yako na hayo ndio MATIBABU SAHIHI.
Kwa kujali afya ya mwanamke nimeandaa program maalumu kwa wanawake wachache ambao nitawasaidia wao kufanya vipimo sahihi vya uzazi kwa gharama ndogo ya tsh 20,000 tu kwa mwezi huu wa 8 peke yake.
Hii ni ofa ya muda mfupi sana yenye lengo la kuwasaidia wanawake kuondokana na Changamoto za uzazi zinazowasumbua kwa muda mrefu sana.
BADALA YA KULIPIA 160,000 KWA AJILI YA VIPIMO ZA UZAZI MWANAMKE UTALIPIA TSH 20,000 TU KWA MWEZI HUU WA NANE.
Nitumie sms/piga simu kupata huduma hii ya vipimo inayopatikana kwenye vituo vya afya vya Gcat Nchi Nzima.
Ni Mimi Ninaejali Afya Yako Ya Uzazi Mwanamke;
Ms Ashura Daudi
0753485318
WHATSAPP 👇
wa.me/753485318