30/08/2023
Mke na Mume wake,au mwanamke na mwanaume Wakijaribu kupata mimba bila mafanikio ndani ya Mwaka mmoja wa kufanya tendo la ndoa mara kwa mara,ni UGUMBA au UTASA,
Chanzo cha Tatizo yaweza kuwa Mwanaume,au mwanamke au wote kwa pamoja wakawa na Shida!
Mnapo pata shida kufanikisha kupata mimba/mtoto,Mabadiliko ya Lifestyle Yanaweza changia sana kuongezea uwezo wa kupata Mimba kwa HAWA WENZI;
Dondoo zinazosaidia ni k**a ifuatavyo
1.Kuepuka vyakula au kupunguza ulaji wa vyakula vilivyochakatwa mfano badala ya sembe kula dona,badala ya mkate mweupe wa kawaida kula ule brown,tumia mchele wa brown,kula vyakula vyenye FIBER nyingi zaidi unapata madini mengi zaid .
2.Epuka Pombe /sigara zinafanya yai au mbegu ya kiume KUTOKUWA NA UBORA unaofaa .
3.Fanya mazoezi kwa afya yanasaidia sana kuweka homons zikae sawa mwilin,ukifanya mazoezi cells za mwili zinapumua,so excess homons zinatolewa.
PUNGUZA UZITO ,uzito unasababisha sana matatizo ya homons,mafuta si mazuri kwa uzazi,lakin jitahidi kubalance uzito na kimo chako.
4.Jitahidi kupata muda wa kutosha kupumzika na ku relax...maana ukiwa na stress kuna baadhi ya kemikali zinakuwa juu mwilin zinazuia upatikanaji wa mimba,distruct ur self,pata nyakati za kupumzisha akili yako na uache stress.
5.Fanya tendo la ndoa kwa usahihi na jua siku zako za hatari cheza nazo,na hapa hatushauri s*x za KILA SIKU KILA SIKU,hapana ,mwanaume anatakiwa pata muda walau hata siku moja au mbili mwil wake Uandae sperms zenye ubora wa kurutubisha
6.Kula vyakula vyenye Folic acid kwa wingi k**a mayai,spinach,machungwa,pia vyakula vyenye madini ya Zinc kwa wingi k**a Korosho,vyakula vyenye Omega 3(mafuta ya Samaki), kwa Wingi na Maji mengi ni MUHIMU SANA
7. Baada ya mwaka mmoja kupita bila mafanikio mkafanye vipimo wote wawili k**a kuna tatizo muanze tiba mapema
Pia tuna fertility boost Kwa mwanamke na mwanaume
Ushauri ni Bure.
Tuwasiline kupitia Whatsapp au piga simu namba
📞+255 768090567
Whatsapp 0768090567