AFYA mtaalamu wa virutubisho lishe

25/09/2022

(0759512984)

Bila shaka umesha msikia ndugu yako, rafiki au mtu wako wa karibu wakilalamika kuuma kwa MAUNGIO k**a (Knee Joint), , (Shoulder Joint) NA . Wako pia wanaolalamika maumivu ya maungio ya (Ankle Joint)

Inasemekana kwamba kuna zaidi ya watu bilioni nne duniani wana sumbuliwa na matatizo ya viungo( MAUNGIO)
Ambapo wanawake ni 18% na wanaume ni 9.6%
Kawaida katika MAUNGIO huwa kuna ute ute uitwao synonvio fluid ambao kazi YAKE ni kulainisha MAUNGIO pia kuna kitu k**a sponji kiitwacho catilage (gegedu) ambayo Kazi YAKE ni kufanya mfupa na mfupa visisagane hivyo sponji hii na ute ute juu ndio vinavyofanya MAUNGIO yawe salaam salimini
TATIZO hili kitaalamu huitwa OSTEOARTHRITIS(OA) hutokea pale ambapo gegedu(cartilage) kuanza kulika pole pole na kusababisha mifupa ya kwenye MAUNGIO kusagana hii husababisha maumivu

•Umri
•Uzito
•Kuumia Kwa Kupata ajali
•Kurithi (genesis)
•Wafanya mazoezi/wana michezo. .
na kuwekewa za bandia ambapo kimsingi ni gharama kubwa sana


-Huongeza GLUCOSE AMINE ambayo huunda upya cartilage(sponji zinazolinda mifupa isisagane
-Huongeza CHRONDROITIN ambayo hutumika kutengeneza ute ute kati ya maungio
-Huondoa kabisaa maumivu ya maungio yaliyokithiri
-Ni nzuri sana kwa MTU mwenye TATIZO LA ATHRITIS
-Huwafaa sana watu wanaofanya mazoezi

Kwa mawasiliano 0759512984

24/09/2022
23/09/2022

KARIBU UTIBU BAWASILI BILA UPASUAJI
KWA MAWASILIANO PIGA 0759512984

NJOO UPATE SULUHISHO LAKO LAMIFUPA BILA UPASUAJI KWA MAWASILIANO PIGA 0759512984
23/09/2022

NJOO UPATE SULUHISHO LAKO LAMIFUPA BILA UPASUAJI
KWA MAWASILIANO PIGA 0759512984

23/09/2022

USHAURI JUU YA TEZI DUME NA TIBA YAKE ASILIA (0759512984)
Uvimbe wa tezi dume sio ngiri wala mshipa wala busha
ni uvimbe wa tezi inayozunguka njia ya mkojo.

Tezi dume ikivimba huathiri mfumo wa mkojo kwa sababu hubana njia ya mkojo.... hivyo mkojo unapita kwa shida na unabakia kwenye kibofu(urine rention)
MADHARA YA UVIMBE WA TEZI DUME NI.
1. KUHARIBIKA KWA FIGO NA INI.2. KUATHIRIKA KWA INI KWA SABABU YA SUMU NYINGI KUBAKI MWILINI.
3,UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
4 CANCER YA TEZI DUME(hatari kubwa zaidi ya uvimbe wa tezi dume ni kansa ya tezi dume(peostate cancer)
za usiku.

ZIFUATAZO NI DALILI ZATEZI DUME.

1.Kukojoa mara nyingi wakati wa usiku Mara Tatu au Zaidi
2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.
3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani
4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.
5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo
6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.
7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana..
UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE UNA TEZI DUME ILIYOVIMBA.
TIBA ASILIA
Ni mitishamba ya asili inayokinga na kutibu tezi dume bila upasuaji. Imewasaidia wengi sana maelezo na ushauri na kupata huduma piga(0759512984

20/09/2022

TATUA CHANGAMOTO YAMIFUPA BILA UPASUAJI
PIGA 0759512984

19/09/2022

TIBU MIFUPA BILA UPASUAJI
0759512984

Address

Ilala/boma
Dar Es Salaam
3344

Telephone

+255759512984

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram