07/05/2025
1: Usitumie kinywaji cha baridi sana hata k**a ni maji hakikisha yanakuwa ya joto la kawaida
2: Epuka vinywaji vyenye kafeina (caffeine) k**a kahawa, soda za viwandani na kinywaji chochote k**a kina kafeina inasababisha kuvurugika kwa siku za hedhi na misuri ya tumbo kukaza hivyo kukusababishia maumivu ya tumbo
3: Usibebe vitu vizito sana au kufanya kazi ngumu sana siku za hedhi kutoka
4: Usitumie tango wala juisi yake kipindi cha hedhi maana ubaridi wake hufanya mwili kupoa sana na kusababisha maumivu wakati wa hedhi
Katika kipindi hiki ni vyema k**a utapata vyakula / viungo vya kuongeza joto mwilini mfano tangawizi, iliki, manjano, karafuu, mdalasini, kitunguu saumu, lozi (almonds), matunda na mboga za majani...
Nikukumbushe kuwa
• Mwanamke mwenye changamoto za homoni / hedhi ni muhimu kuacha matumizi ya sukari nyingi, vitu k**a keki, ice cream, keki, soda n.k ni vitu ambavyo hupaswi kuviendekeza maana huvuruga zaidi mpangilio wa homoni
• Punguza au Ikibidi achana na matumizi ya nafaka za kukobolewa mfano sembe, wali mweupe na ngano nyeupe, sio rafiki kwa wenye changamoto hizi za homoni / hedhi
• Kuhusu pombe na vilevi hivyo kila mmoja anafahamu kuwa si rafiki wa afya kwa ujumla... Tumia kiasi au Acha maana hutopungukiwa na chochote usipolewa
MAMBO YA KUZINGATIA ZAIDI
• Tumia kwa wingi nafaka zisizokobolewa ugali wa dona, wali wa brown, ngano isiyokobolewa, viazi vitamu, mihogo, n.k
Ili kubalansi homoni za uzazi kwa wingi zaidi tunahitaji sana vyakula vyenye Omega 3, Folic, Vitamin C, Faiba na Vitamins kwa wingi zaidi ambapo orodha hii ya vyakula ni pamoja na kula vyakula vya baharini k**a samaki wabichi, karoti, parachichi, mboga za majani aina zote, papai, mafuta ya zeituni, maharage ya soya, walnuts, mafuta ya n**i, matunda aina zote, mayai ya kienyeji, maziwa, broccoli, mrehani, mdalasini, iliki, tangawizi, mchemsho wa ndizi na nyama / kongoro, n.k
Nimekupa orodha, wewe utaamua utavyoweza kupangilia kulingana na jinsi ambavyo utaweza kumudu
Kwa mfano unaweza kupangilia hivi
•Asubuhi ukiamka, unakunywa nusu lita ya maji (unaweza kamulia limao) kabla hujapiga hata mswaki [Faida zake unaweza kuuliza-Google kwa muda wako]
Muda wa kifungua kinywa, ukaandaa mchemsho wa ndizi au ukaanda supu ya nyama
Au unaweza kuandaa chai ya mchanganyiko wa tangawizi, iliki, mdalasini, tangawizi, mchaichai n.k na kitafunwa unaweza kuwa na viazi au mihogo ya kuchemsha, mkate wa brown, karanga, mbegu za maboga, kashata au chochote ambacho utakipata muhimu kisiwe cha kukobolewa au kutengenezwa kwa sukari nyingi
Au unaweza kuandaa tu mchanganyiko wa matunda k**a mlo wako wa asubuhi
• Mchana, lunch yako ukaandaa ugali dona, mboga ikawa nyama au samaki, pembeni iwepo mboga ya majani na tunda au juisi ya matunda au uwepo mchanganyiko wa matunda / salad / kachumbari ya maana
Jioni, unaweza kula kiasi kidogo cha nafaka ila usikose mboga ya majani au tunda pembeni na kabla hujalala, irudie chai yako ya viungo
Binafsi kabla sijalala napendelea kunywa chai ya maziwa fresh na natia vijiko kadhaa vya asali na kijiko kidogo cha mdalasini, inasaidia kuleta usingizi mwololo
Afya ni vile tu unavyoamua kula na juhudi yako katika mlo ndio itakuwezesha kuwahi kuona matokeo
Endelea kujifunza na kuzingatia, matokeo mazuri yapo
K**a una changamoto ya uzazi na unapenda kujifunza namna ya kuitatua, tuandikie changamoto yako kwenda whatsapp namba 0763872652
Ukihitaji dawa ya kukusaidia kusafisha mfumo wako wa uzazi na matatizo ya homoni ipo MIXED HERBS POWDER
Kwa mwezi huu una Ofa Ya Dawa Ya Uzazi "MIXED HERBS POWDER" kwa Tsh 46,000 tu
Hii tiba lishe ambayo imeandaliwa kwa mchanganyiko wa dawa asili za uzazi ambayo
✓ Itakusaidia kusafisha via vya uzazi.
Inasafisha mirija ya uzazi, huondoa majimaji au uchafu kwenye tumbo la uzazi, na inaondoa maambukizi ya fangasi na P.I.D sugu
✓ Itakuondolea makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, kwenye mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars & ovarian cysts)
✓ Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii itakusaidia pia kuondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi k**a unapata tatizo la kukosa hisia, kuwa mkavu ukeni wakati wa tendo, period kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, mayai kutokupevuka, kukosa kubeba mimba n.k....
Weka oda kwa kupiga simu au kwa kutuma ujumbe wenye neno "NAHITAJI OFA" kwenda namba 0678 475 581
Lengo ni huu mwezi uutimie vizuri ili kufikia mwezi ujao uwe na matokeo mazuri zaidi
Karibu utimize ndoto ya uzazi