08/01/2022
FAIDA Za MULTI MACA & ARGI+
MULTI MACA
Hii ni mimea inayopatikana huko Incas Peru inafaida zifuatazo kwa mwili wa mtumiaji
KAZI ZAKE KWA MTUMIAJI WA KIUME.
1 - Huongeza hamu ya tendo la ndoa, stamina na nguvu za kiume.
2 - Inaongeza idadi ya mbegu za kiume.
3 - Inasaidia kutofika kileleni kwa haraka.
4 - Huimarisha misuli ya uume uliolege.
5 - Husaidia kubalance hormones kwa wenye tatizo la Hormones imbalance.
6 - Husaidia mwanaume kutoa mbegu zenye afya na zenye uwezo wa kuogelea na kulifikia yai kiurahisi, N.K .
KAZI ZAKE KWA MTUMIAJI WA K**E
1 - Hurutubisha mayai na kumfanya mwanamke aondokane na changamoto ya kupata ujauzito.
2 - Husaidia kubalance mzunguko na maumivu makali wakati wa Hedhi kwa mwanamke.
3 - Husaidia kubalance hormones kwa wenye tatizo la Hormones imbalance.
4 - Husaidia pia kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake wenye changamoto ya kukosa hamu hiyo, N.k
Matumizi ;
Kopo moja lina tembe sitini za rangi ya chocolate hivyo humezwa mbili kila siku k**a chakula na maji mengi na matokeo yake huonekana ndani ya muda mfupi sana.
ARGI Plus Ni bidhaa ya Forever Living Products ambayo husaidia kwenye afya ya kila mfumo kwenye mwili wa binadamu.
Faida 10 za ARGI+
1. Ni kirutubisho muhimu sana kutumiwa kila siku kwa ajiili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizui zaidi.
2. Inasaidia mfumo wa kinga ya mwili, kutokana na nitric oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuua bacteria. Hivyo kuupa mwili uwezo zaidi wa kupigana na magonjwa.
3. Inasaidia kurekebisha kiwango cha "blood pressure kiwe sahihi na afya ya mzunguko wa damu ya moyo kiujumla.
4. Inasaidia kutengenezwa kwa mifupa na mwili kiujumla hivyo ni nzuri sana kwa tatizo la waliovunjika mifupa au wenye mifupa dhaifu.
5. Nitric oxide inayotengenezwa inaongeza mzunguko wa damu ndani ya mwili na hivyo inasaidia kuongeza NGUVU ZA KIUME.
6. Inasaidia misuli kuwa imara na yenye nguvu, pamoja na kupunguza mafuta ndani ya mwili. Ndio maana ni nzuri sana kwa wanawake na wanaume wanaofanya mazoezi.Inasaidia kwenye kujenga mifupa na misuli hasa hasa kwa wale wanaofanya mazoezi.