Afya ni Mtaji

Afya ni Mtaji Karibu katika page ya Afya ni Mtaji, tunatoa mafunzo ya magonjwa ya mfumo wa uzazi wa mwanamke na M

karibu katika ukurasa wangu kupata elimu, ushauri, na tiba maalum juu ya Afya ya mfumo wako mzima wa mwili, kwako mwanamke na mwanaume.

X POWER COFFEEhttps://wa.me/message/666Q7XYHQFTWK1Hii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne ...
01/07/2022

X POWER COFFEE
https://wa.me/message/666Q7XYHQFTWK1
Hii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;

1. Fresh maca
2. Ginseng powder
3. Tongkat ali
4. Epimedium
Viambata hivi vimetoka nchi za
KOREA,CHINA,USA,INDIA,PERU

Kahawa hii haina CAFFEINE,imetolewa Kwa kutumia teknolojia bora ili kuwafaa watu Wa aina zote.

Kazi muhimu za Hii Kahawa;

1. Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.

2. Kuupa mwili Nguvu zaidi

3. Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.

5. Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.

6. Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.

7. Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume

8. Kuufanya uume usimame barabara k**a msumari

9. Kusafisha mishipa ya damu

10. Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi
11. Haina kemikali ni ya asili kabida 100%

Tunapatikana Dar Es Salaam mbezi mwisho,Dodoma,Mwanza,Morogoro,Arusha pia mikoa mingine tunatuma.

EPUKA AIBU YA KUFIKA HARAKA KILELENI.X POWER COFFEE

Kwa mahitaji piga/njoo whatsup.
0626061800.
0693669016.
https://wa.me/message/666Q7XYHQFTWK1

27/06/2022
FAHAMU AINA ZA U.T.I SUGU0626061800A)lower U.T.Ihttps://wa.me/message/666Q7XYHQFTWK1Lower U.T.I ni hatua ya ugonjwa kush...
14/06/2022

FAHAMU AINA ZA U.T.I SUGU
0626061800
A)lower U.T.I

https://wa.me/message/666Q7XYHQFTWK1

Lower U.T.I ni hatua ya ugonjwa kushambulia maeneo ya urethra na
kibofu cha mkojo (bladder). Katika hatua hizi, mgonjwa atasikia dalili
zifuatazo:
1. Maumivu wakati wa kukojoa
2. Kujisikia kukojoa mara kwa mara lakini kutoa mkojo kidogo tu
3. Damu katika mkojo
4. Mkojo wenye rangi ya chai
5. Mkojo wenye harufu kali
6. Maumivu ya kiuno kwa wanawake
7. Maumivu ya sehemu za nyuma kwa wanaume

*B) Upper U.T.I

Upper U.T.I ni maambukizi ya ndani ya figo. Hii ni hatua mbaya sana
endapo bacteria wataanza kuingia kwenye mkondo wa damu kutoka
kwenye figo – SEPSIS. Sepsis huweza kusababisha msukumo wa
damu kuwa mdogo sana (Low Blood Pressure), msh*tuko au kifo.

Dalili za upper UTI
1. Maumivu ya maeneo ya juu ya mgongo
2. Homa
3. Kusikia baridi
4. Kusikia kichefuchefu
5. Kutapika

Ukiipuuza U.T.I Unaweza kupata athali kubwa sana k**a zifuatazo
1.Figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure) hii ni hatari sana ,hutokana na bacteria kushambulia figo
2.Kupatwa magonjwa ya kibofu ,k**a kibofu kuziba ,kushindwa kukojoa ,hii hupelekea MTU kukojoa kwa mirija
3 .maumivu ya mgongo, kiuno na NYONGA
4.kupoteza hamu ya tendo la ndoa.nk.
5.kuharibu homon(hormon inbalance)
6.mimba kuharibika
7.kushindwa kubeba mimba..
Mawasiliano zaidi 0626061800

https://wa.me/message/666Q7XYHQFTWK1

09/06/2022
04/06/2022

Tiba ya viungo kusagana na maumivu ya viungo

Kwa mawasiliano zaidi
0626061800
https://chat.whatsapp.com/HdrXynQWg9O8MeY3X8SJoo

Hili nitatizo huathili mifupa badae viungo,
√ tatizo hili hutokea baada ya gegedu kulika au kusagika na. Ute kuisha katika mifupa
√ huathili viungo mfano, pingili za mgongo,magoti,kiuno,nyonga,
√ viungo vya binadamu in muunganiko wa mifupa katika mwili ambapo ambapo katikati yake kuna gegedu na uteute! Ambapo ute ukiisha au gegedu upelekea mifupa kusagana,

√ CHANZO CHA MIFUPA KUSAGANA

√ umri
√mazoezi kupita kiasi
√ajari
√uzito kupindukia
√ kutumikisha viungo kupita kiasi mf mazoezi kufanya N**i mda mrefuu
DALILI
Maumivu ya magoti
√kushindwa kuchuchumaa
√kushindwa kuinama
√kusikia maumivu kwenye mapaja,kiuno,nyonga,mgongo,
√ kupata Ganzi isio isha

Mathala
√ kuwekewa vyuma
√ kupata kansa ya mifupa
√kupooza nusu ya wili upande wa chini
√ vidondaa visivyo ponaa!

Kwa ushauri na Tiba piga namba
Kwa mawasiliano zaidi
0626061800
https://chat.whatsapp.com/HdrXynQWg9O8MeY3X8SJoo

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni Mtaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ni Mtaji:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram