dommiehealthcare.tz

dommiehealthcare.tz Tunawasaidia watu kutatua changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume, tezi dume na kupunguza uzito

20/11/2023
‼️JE NI NINI HASA HUSABABISHA UWEPO WA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ⁉️Wanaume wengi hasa waathirika wa tatiz...
22/09/2023

‼️JE NI NINI HASA HUSABABISHA UWEPO WA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ⁉️

Wanaume wengi hasa waathirika wa tatizo hili hujiuliza swali hili na ni wengi hawajui Nini hasa kisababishi kikuu cha changamoto hii.

📌Kwanza tambua kwamba upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa bali ni dalili ambayo huashiria uwepo wa changamoto kubwa zaidi za kiafya na ambazo zinahitaji utatuzi mapema iwezekanavyo.

📌 Zifuatazo ni baadhi ya sababu ama visababishi vikubwa vya upungufu wa nguvu za kiume

1️⃣ kukosekana kwa uwiano kati ya homoni katika mwili wa mwanaume (hormone imbalance)
Hormone ya testosterone ni homoni ambayo humpatia mwanaume hulka zote za kiume na inapopungua mwili hata sifa za kiume hupungua k**a vile uwezo wake wa kushiriki tendo.

2️⃣ Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa k**a shinikizo la damu na kisukari.
Magonjwa haya huathiri mfumo mzuri wa uzungukaji wa damu hivyo hupelekea kupunguza ufanisi wa afya ya uzazi kwa mwanaume yeyote.

3️⃣Desturi ya kujichua
Wanaume wengi wamepitia katika stage ya kujichua katika ukuaji wao na zoezi hili huonesha athari zake muda mrefu baada ya kulishiriki na tendo hili hudhohofisha mishipa ya damu iliyoko katika uume hivyo humfanya mwanaume apoteze urijali wake

4️⃣Uzito uliokithiri.
Changamoto ya Uzito mkubwa na mlango mkubwa Sana wa matatizo mengi ya kiafya Moja wapo ikiwa ni upungufu wa nguvu za kiume

5️⃣Ukosefu wa usingizi na mapumziko ya kutosha

6️⃣Msongo wa mawazo au kusonona
Msongo wa mawazo ni daraja kubwa ambalo huaribu usafirishaji mzuri wa taarifa katika mifumo ya Neva katika mwili hivyo k**a taarifa hazifiki vizuri hupelekea uzalishaji wa changamoto hii.

7️⃣Matumizi ya pombe na sigara.
Pombe na sigara huleta raha ya muda mfupi lakini kwa muda mrefu huleta uharibufu katika mifumo ya uzungukaji wa damu na Neva katika mwili hivyo hupelekea kutengeneza changamoto hii.

8️⃣Kuvimba kwa tezi dume.
Tezi dume ni Moja kati ya viungo muhimu katika afya ya uzazi kwa mwanaume na inapokutana na hitilafu k**a Kuvimba hupelekea athari katika uzazi na hata kifo kabisa ikifika hatua ya kansa.

9️⃣Lishe duni na Ukosefu wa mazoezi.
Kutokana na very busy lifestyle wanaume wengi wamekuwa wakila chakula duni yaani vilivyokosa virutubisho sahihi na vyenye mafuta mengi (fast food) na zaidi ya yote Kukosa muda wa kufanya mazoezi hivyo kupelekea kuharibi mzunguko mzuri wa damu na kutengeneza tatizo hili

📌Je wewe ni muathirika wa changamoto hii na umetafuta bila mafanikio suluhisho usiwe na shaka nasi tambua hauko peke yako na usivunjike moyo tatizo hili linatatuka kabisa.
Wasiliana nasi kupitia namba 0678404516 kupata program maalumu ya lishe, virutubisho, mazoezi na mitindo sahihi ya maisha ambayo itakusaidia kuondokana na changamoto yako

‼️JE NITAJUAJE K**A NINA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME....⁉️Wanaume wengi sana wamekuwa wakitembea na kujiamini wakidhani k...
22/09/2023

‼️JE NITAJUAJE K**A NINA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME....⁉️

Wanaume wengi sana wamekuwa wakitembea na kujiamini wakidhani kuwa wako salama na hii ni kwa sababu hawajui ni zipi DALILI AMBAZO zinamuonesha kwamba ana tatizo la upungufu hivyo na kuliacha tatizo kuzidi kuwa kubwa zaidi

📌Zifuatazo ni DALILI KUU 8 AMBAZO mwanaume yeyote akiwa nazo HUASHIRIA uwepo wa changamoto hii.
1️⃣Kushindwa kusimamisha uume au kusimamisha kwa ulegevu.
Mwanaume yeyote ili awe rijali anapaswa kusimamisha uume wake k**a msumari yaani unakuwa mgumu na mkak**avu mbali na hapo ni ishara ya upungufu wa nguvu za kiume.

2️⃣Kuwahi kufika kileleni.
Kwa wastani humchukua mwanaume kamili dakika 7 paka 15 kufika kileleni kwa raundi ya kwanza, k**a mwanaume unapochukua chini ya dakika 5 hii huashiria uwepo wa changamoto hii, wapo wanaume ambao huchukua sekunde chache mno wanapoingia katika uke wa mwanamke na hili ni tatizo kubwa.

3️⃣Kuchelewa mno kufika kileleni au kutokufika kabisa.
Mwanaume unapochukua zaidi ya dakika 30 kufika kileleni katika raundi ya kwanza hii huashiria uwepo wa changamoto ya nguvu za kiume.

4️⃣Kujihisi mchovu Sana hasa baada ya raundi ya kwanza na kulala usingizi mzito.

5️⃣Kushindwa kuenda raundi nyingine na kumuacha mwenzio akiwa bado ana hamu.

6️⃣Kukosa hamu kabisa ya kushiriki tendo la ndoa.
Kwa mwanaume yeyote ni lazima mara kwa mara ajisikie na hulka ya kushiriki tendo endapo akikutana na kitu chochote ambacho huamsha hisia zake mbali
Na hapo huashiria uwepo wa changamoto ya nguvu za kiume.

7️⃣Kutoa mbegu chini ya kiwango au idadi.

8️⃣ Kushindwa kutungisha mimba mwanamke
Lengo la tendo la ndoa ni kustarehe na pia kutengeneza watoto wengine endapo mwanaume unashindwa kutungisha mimba mwanamke wako hii huashiria uwepo wa tatizo hili

📌Ewe mwanaume tambua ya kuwa changamoto hii sio yako peke yako wako wanaume wengi wenye tatizo hili hivyo usife moyo hauko peke yako
Tafadhali wasiliana nasi kupitia namba 0678404516 kupata muongo sahihi wa lishe , virutubisho, mazoezi na mitindo sahihi ya maisha ambayo itakusaidia kuondokana na changamoto yako moja kwa moja

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME (ERECTILE DYSFUNCTION) Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ambayo mwanaume anashindwa kushirik...
22/09/2023

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME (ERECTILE DYSFUNCTION)
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ambayo mwanaume anashindwa kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.

📌 Changamoto hii inakuwa kwa kasi mno nchini na yote ni kwa sababu ya mitindo ya maisha ambayo wanaume wengi tumekuwa tukiishi na tatizo hili sio k**a malaria au mafua ya kwamba unaamka na ghafla unalo bali ni changamoto ambayo hukuwa kwa hatua kidogo kidogo paka pale itakapo jionesha.

📌Kuna makundi matatu ya wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume na makundi hayo ni
1️⃣ Mwanaume ambaye hawezi kusimamisha kabisa uume wako(impotence)
Kundi hili hujumuisha wanaume wote ambao hawawezi kabisa kusimamisha uume wake na mara nyingi tatizo hili ni aidha amezaliwa nalo au limepatikana kutokana na tukio Fulani la maisha aidha la kisaikolojia au kimwili au ajali

2️⃣Kundi la pili ni wanaume ambao wanaweza kusimamisha uume na wanashiriki tendo lakini hawana stamina na uume husimama kwa ulegevu. Kundi hili ndo limejaa wanaume wengi kwani wao Huwa na uwezo wa kushiriki tendo lakini kutokana na sababu Fulani za kimaisha hupelekea wao kupoteza uwezo wao wa kushiriki tendo.

3️⃣Kundi la tatu ni kundi ambalo hujumuisha wanaume ambao huweza kushiriki tendo na tena kwa ufanisi lakini wanashindwa kutungisha wanawake zao ujauzito

📌Takwimu Zinaeleza kuwa kati ya wanaume sita mmoja kati yao ana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hivyo, ewe mwanaume tambua ya kuwa hili tatizo sio la kwako peke yako wapo wanaume wengi wenye changamoto hii jitie nguvu na usivunjike moto kwani tatizo hili linatibika kabisa

Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia namba 0678404516 kupata muongozo sahihi wa kupata program inayojumuisha lishe, mazoezi, mitindo ya maisha na virutubisho ambavyo vitakusaidia kabisa kuondokana na tatizo hili

17/09/2023

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI NINI....?

Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ambayo mwanaume anashindwa kushiriki tendo la ndoa kikamilifu au kushindwa kumtungisha mimba mwanamke alie naye

Tatizo hili limekuwa likuwa kwa kasi sana kitaifa na takwimu Zinaeleza kati ya wanaume sita, mmoja kati yao anatatizo hili na hii ni kutokana na mitindo mibovu ya maisha ambayo tumekuwa tukiishi bila ya kujali matokeo yake kwa siku za mbeleni

Habari njema ni kuwa changamoto hii inatatuka kabisa japo hujitengeneza kwa hatua kwa muda mrefu pia kwa hatua huweza kupotea kabisa

Je wewe ni muathirika wa changamoto hii nasi hakikisha unawasiliana nasi kupitia namba 0678404516 kupata program maalumu ya lishe virutubisho mazoezi na miongozo maalum ya jinsi ya kuondokana na tatizo hili

Virutubisho na lishe kamili ndiyo njia pekee itakayo pelekea mwanaume yeyote kuperform sofa zake ama hulka zake k**a mwa...
17/04/2023

Virutubisho na lishe kamili ndiyo njia pekee itakayo pelekea mwanaume yeyote kuperform sofa zake ama hulka zake k**a mwanaume jinsi vilivyo

Nguvu za kiume ama uwezo mzuri wa mwanaume kushiriki tendo kikamilifu hutokana na uhusiano mzuri kati ya mifumo ilioko k...
17/04/2023

Nguvu za kiume ama uwezo mzuri wa mwanaume kushiriki tendo kikamilifu hutokana na uhusiano mzuri kati ya mifumo ilioko katika mwili na endapo mwanaume akakutana na changamoto hii basi anapaswa kujua upotevu wa nguvu sio ugonjwa Bali ni kiashiria kinachoonesha kupungukiwa au hitilafu katika Moja wapo ya mifumo ya mwili

05/04/2023

Confidence ya mwanaume inajengwa na nguvu mbili muhimu Moja ni nguvu ya pesa na pili ni nguvu za kiume endapo anapopoteza Moja wapo hujikuta akiingia katika dimbwi la mawazo na masonenoko makubwa

Upungufu wa nguvu za kiume hupelekea pia wanaume wengi kupata changamoto za kisaikilojia na kupitia wakati mgumu Sana katika maisha Yao

Je wewe ni muathirika wa changamoto hii na umetafuta suluhisho bila ya mafanikio basi hakikisha umewasiliana nasi kupitia namba 0678404516 kupata muongozo sahihi wa lishe na virutubisho ambavyo vitakusaidia kurekebisha afya yako

04/04/2023

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba 0678404516
Kupata program salama kabisa ya lishe na virutubisho ambavyo vitakusaidia kurekebisha afya yako

03/04/2023

‼️ONYO‼️

Matumizi ya pombe ni Moja kati ya mitindo mibovu ya maisha ambayo hupelekea wanaume wengi kupoteza nguvu zao za kiume hii ni kutokana nà athari za kemikali mbaya katika mwili wa mwanaume

ATHARI ZA MATUMIZI YA POMBE KWA MWANAUME
1️⃣Pombe huathiri seli za legid zilizoko sehemu ya korodani na seli hizi ndizo hufanya kazi ya kuzalisha hormone ya testosterone ambayo ndiyo humpa mwanaume yeyote sifa zake au uwezo wake k**a mwanaume.

2️⃣Pombe pia hutengeneza mafuta mabaya ambayo ndiyo yanayojishikiza katika sehemu za mapaja tumbo na mishipa ya damu na matokeo yake hupelekea kupunguza stamina pumzi na uchangamfu kwa mwanaume yeyote yule

Address

Dar Es Salaam
255

Telephone

+255678404516

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when dommiehealthcare.tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share