Marboy Health and Sports

Marboy Health and Sports Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Marboy Health and Sports, Medical and health, Dar es Salaam.

KARIBUNI SANA, WEWE UNAEJALI ZAIDI AFYA YAKO
KARIBU SANA, WEWE UNAEJALI ZAIDI KUFANYA MAZOEZI

WELCOME YOU, WHOM YOU CARES MORE ABOUT YOUR HEALTH
WELCOME YOU, WHOM YOU CARES MORE ABOUT DOING EXERCISES

13/07/2022

Habari? Karibu kwenye Group letu la *Afya*
Gusa link πŸ”— hii πŸ‘‡ https://chat.whatsapp.com/Dh54ZbDv1g6J8oqYC2Y77B
Utakwenda kujifunza *Magonjwa* mbalimbali yatokanayo na *Mazingira* yanayotuzunguka. Pia utakwenda kuzifahamu *Tiba* sahihi kwa kutumia *Virutubisho Lishe*
Karibu sana!

Habari!? Karibu! Muda wowote unaweza Kupatwa na Changamoto zilizopo kwenye Picha hii πŸ‘‡πŸ‘‡Hifadhi "Save" ili tuwasiliane kw...
08/07/2022

Habari!? Karibu!
Muda wowote unaweza Kupatwa na Changamoto zilizopo kwenye Picha hii πŸ‘‡πŸ‘‡
Hifadhi "Save" ili tuwasiliane kwa Kutatua Changamoto hiyo. Karibu sana...

DR. TS HERBAL TOOTHPASTE 🌿Ni Dawa ya meno iliyotengenezwa kwa Virutubisho Lishe asiliaKwa Bei ya TSH. 15,000/=Mawasilian...
05/07/2022

DR. TS HERBAL TOOTHPASTE 🌿
Ni Dawa ya meno iliyotengenezwa kwa Virutubisho Lishe asilia
Kwa Bei ya TSH. 15,000/=
Mawasiliano: 0686020272
Whatsapp: https://wa.me/255686020272
Faida za Bidhaa hii:
1.Hulinda Kinywa na meno dhidi ya Bacteria wabaya.
2. Hutibu changamoto za ganzi kwenye meno na fizi.
3. Hutibu jino lililotoboka
4. Hutibu na kukomesha changamoto ya meno kutokwa na damu.
5. Huondoa Harufu mbaya ya kinywa.
6. Hung'arisha meno na kukupa Ujasiri kwa kila Tabasamu na mwonekano mzuri wa kinywa.
Karibu utibu kinywa kwa Virutubisho Lishe asilia.

FEMICARE ni bidhaa iliyotengenezwa kwa Virutubisho Lishe asilia.Mawasiliano: 0686020272Whatsapp: https://wa.me/255686020...
02/07/2022

FEMICARE ni bidhaa iliyotengenezwa kwa Virutubisho Lishe asilia.
Mawasiliano: 0686020272
Whatsapp: https://wa.me/255686020272
Kwa Bei nafuu ya Tsh. 30,000/= tuu
Bidhaa hii hutatua changamoto zifuatazo:
1. U.T.I Sugu
2. Fungus sugu ukeni
3. Mwasho ukeni
4. Kutokwa na uchafu ukeni
5. Harufu mbaya ukeni

Pia:
1. Hurudisha Asili ya uke
2. Hupambana na Bacteria wabaya wanaotokana na Mazingira tunayoishi, hasa vyoo tunavyotumia
3. Hulinda na kutunza uke 100%
4. Humfanya mwanamke awe na Uhuru hasa akiwa na mwenza wake na katika Tendo la Ndoa.

ANATIC HERBAL SOAP (SABUNI YA NGOZI)Kwa Bei nafuu: TSHS. 8,000/= tuu.Mawasiliano: 0686020272Whatsapp: https://wa.me/2556...
01/07/2022

ANATIC HERBAL SOAP (SABUNI YA NGOZI)
Kwa Bei nafuu: TSHS. 8,000/= tuu.
Mawasiliano: 0686020272
Whatsapp: https://wa.me/255686020272
Ni Sabuni ya Ngozi inayosaidia
1. Kuondoa Chunusi kwenye ngozi
2. Kuondoa mba, mapunye na miwasho ya ngozi
3. Kuondoa Harufu mbaya ya ngozi na kikwapa
4. Kuongeza unyevunyevu kwenye ngozi
5. Kuondoa mikunjo kwenye ngozi
6. Kuongeza ulaini na unyororo kwenye ngozi

πŸ•³"RHEUMATISM - ( UGONJWA WA BARIDI YA BISI )πŸ•³ β–Ά "RHEUMATISM" NI NINI ?Β·β–Ά Ni Ugonjwa Unao athiri Viungo/Maungio ( Joints ...
21/05/2022

πŸ•³"RHEUMATISM - ( UGONJWA WA BARIDI YA BISI )πŸ•³

β–Ά "RHEUMATISM" NI NINI ?

Β·β–Ά Ni Ugonjwa Unao athiri Viungo/Maungio ( Joints ) na misuli inayozunguka Maungio na Wakati Mwingine Inasababisha Mgonjwa huwa anatokewa na uvimbe mdogo mdogo k**a (sugu) kwenye miguu au mikono.

β–Ά Magonjwa yatokanayo na ugonjwa baridi ni arthritis,gout (ulaji wa nyama ya mbuzi)spondilitis na rheumatic diseases.

"πŸ•³DALILI"

β–Ά Utaona viungo vimevimba mfano magoti,miguu,wakati mwingine utasikia maumivu makali kwenye viungo halafu viungo vinakuwa vyekundu na pia misuli inavuta ukiona hali hii ujue kuwa kinga ya mwilini imezidiwa sehemu za viungo.

β–Ά Ugonjwa wa baridi huwa unaathiri(joint fluid)ute wa viungo yaani arthritis halafu hii joint fluid inapoisha husababisha viungo kusagana na maumivu makali huwa yanatokea hata ugonjwa wa muda mrefu unaweza uk**aliza ute mwilini.

πŸ•³"MAGONJWA YA BARIDI NI K**A YAFUATAYO" :πŸ•³

β–Ά Ankylosing spondylitis :- Huu ni ugonjwa ambao unaathiri watu wengi na unashika sehemu za uti wa mgongo uti wa mgongo unauma na kuvuta,huwa inatokea sana kwa vijana ambao wana umri wa miaka 20 na kuendelea.

β–Ά Huwa inashika pia sehemu za kiuno,magoti, mabega na kusababisha maumivu makali kwenye misuli na pia mgongo huwa unakak**aa na kusababisha kuzimia wakati mwingine maana unashika uti wa mgongo.

Β·β–Ά Fibromyalgia :- Ni maumivu ambayo yanaathiri sehemu za misuli ya mwili mzima , Nyama za mwili huwa zinauma,ukigusa sehemu inauma na huwa inasababisha ukosefu wa usingizi.inawatokea sana kwa wanawake kuliko wanaume.

β–Ά Gout :- Huwa inatokana na ongezeko la uric acid kwenye figo, ukila nyama za mbuzi za kuchoma bila kunywa maji mengi,inaweza ikaongeza uric acid kwenye figo na kuleta athari kwenye magoti na miguu kuvimba.huwa inatokea sana kwa wanaume kuliko wanawake.

β–Ά Infectious arthritis : Ni ugonjwa wa baridi ambao unasababishwa na maambukizi ya bacteria au virus(unaitwa lyme disease)ambao unatokana na kung’atwa na kupe ambao wanakuwa wamebeba bacteria maalum ambao wanaingia kwenye viungo na misuli na kusababisha maummivu na uvimbe.

β–Ά Juvenile idiopathic arthritis:- Huwa inatokea kwa watoto wadogo na huwa inasababisha maumivu makali,kuvimba miguu.

Afya ya mifupa Yako ni Muhimu sana ..Je unalisha nini mifupa Yako ?Mifupa Yako hutengenezwa kwa madini k**a callicium , ...
20/05/2022

Afya ya mifupa Yako ni Muhimu sana ..

Je unalisha nini mifupa Yako ?
Mifupa Yako hutengenezwa kwa madini k**a callicium , magnesium n.k

Je unakula vyakula bora vyenye madini ya kutengeneza mifupa?

Kurudisha gegedu zilizo haribika ,mtu kupata maumivu makali kwenye joints epuka hatua hii gegedu zinaweza kuzalishwa upya kwa kupitia tiba asili

Mazoezi ni Muhimu sana kwa Afya ya mwili ..
Kula mlo kamili ni Afya ya mwili
LISHA cell Yako kutengeneza mfumo mzuri wa mwili wako ..
Kulala fofo BILA Mawazo ni mlo kamili .
Fanya yote kwa uaminifu ili kuweza kuyaepuka magonjwa sugu mwlini mwako ..
Changamoto yeyote ya Kiafya tafadhali tupigie πŸ“ž +255686020272 kwa ushauri na Tiba au fika ofisini kwetu

Epuka maumivu ya mgongo ya Muda mrefu Yana madhara makubwa sana madhara yake ni πŸ‘‡1. Kufanyiwa upasuaji au kuwekewa Disc ...
20/05/2022

Epuka maumivu ya mgongo ya Muda mrefu Yana madhara makubwa sana madhara yake ni πŸ‘‡
1. Kufanyiwa upasuaji au kuwekewa Disc bandia na kutakufanya usipone ila kuvumilia maumivu tu.

2.kupoteza Nguvu za kiume

3.kupata stress za kudumu na
Kulala kitandani maisha Yako yotee

Lipo suluhisho TIBU kabla tatizo alijawa kubwa..

Lipo suluhisho πŸ“ž+255686020272

Pale ambapo kichwa kinauma  kuambatana na pingili za mgongoni ...kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mgongo (spinal cord) ...
19/05/2022

Pale ambapo kichwa kinauma kuambatana na pingili za mgongoni ...kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mgongo (spinal cord) na ubongo ..
Na uti wa mgongo huambatana na nerves zinazokwenda hadi kwenye kichwa kwenye muunganiko kati ya (atlasa na axis)

K**a unachangamoto ya maumivu ya kichwa yanayoambatana na maumivu ya kichwa.. tafadhali tupigie ili kupata tiba na ushauri kwa hara zaidi

Kuharibika kwa Disc (cervical vertbrae ) Hupelekea maumivu makali ya kichwa shingoni hadi kushuka kwenye mikono ...

K**a unachangamoto hii tafadhali usipuuzie njoo upate Tiba mapema kabla ya madhara hayajawa makubwa
Tupigie πŸ“ž+255686020272

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI BILA UPASUAJI {NDANI NA NJE}**0686020272**BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*βž– Ni ugonjwa unaotokana...
19/05/2022

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI BILA UPASUAJI {NDANI NA NJE}*

*0686020272*

*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*
βž– Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kupelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.

*CHANZO CHA BAWASIRI*
βž– Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
βž– Tatizo sugu la kuharisha
βž– Ujauzito
βž– Uzito wa mwili kupita kiasi
βž– Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
βž– Kupata haja kubwa ngumu
βž– Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
βž– Kunywa pombe
βž– Kula sana nyama nyekundu
βž– Vidonda vya tumbo
βž– Ngiri(Chango/Hernia
βž– Kula sana pilipili
βž– Kunyanyua vitu vizito

*DALILI ZA BAWASIRI*
βž– Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
βž– Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
βž– Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
βž– Kupata kinyesi chenye damu
βž– Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
βž– kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
βž– Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
βž– Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
βž– Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)

*MADHARA YA BAWASIRI*
βž– Upungufu wa damu mwilini
βž–Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
βž– Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
βž– Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
βž– Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
βž– Kupata tatizo la kisaikolojia
βž– Kutopata ujauzito
βž– Mimba kuharibika
Callβž–textβž–whatsappπŸ‘‡

+255686020272

WhatsApp https://wa.me/255686020272

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Marboy Health and Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Marboy Health and Sports:

Share