Ersi health-Care

Ersi health-Care afya

*DALILI ZINAZOONESHA KUWA UNA UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI**Kuna dalili nyingi k**a zifuatazo>*πŸ‡1.MIWASHO SEHEMU ZA SIRIπŸ‡...
28/07/2022

*DALILI ZINAZOONESHA KUWA UNA UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI*
*Kuna dalili nyingi k**a zifuatazo>*

πŸ‡1.MIWASHO SEHEMU ZA SIRI
πŸ‡2. VIPELE VIDOGO VIDOGO UKENI
πŸ‡3. KUTOKWA UCHAFU MWEUPE AU WA RANGI YA KIJIVU UKENI WENYE HARUFU MBAYA

πŸ‡4. VIDONDA AU MCHUBUKO UKENI

πŸ‡5. KUTOKWA NA HARUFU MBAYA UKENI

πŸ‡6. KUPATWA NA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA

πŸ‡7. KUVIMBA NA KUWA MWEKUNDU KATIKA MDOMO WA NJE WA UKE

πŸ‡8. KUWAKA MOTO NDANI NA NJE YA UKE
Whatsup no:+255674616207

*DALILI ZINAZOONESHA KUWA UNA UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI**Kuna dalili nyingi k**a zifuatazo>*πŸ‡1.MIWASHO SEHEMU ZA SIRIπŸ‡...
28/07/2022

*DALILI ZINAZOONESHA KUWA UNA UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI*
*Kuna dalili nyingi k**a zifuatazo>*

πŸ‡1.MIWASHO SEHEMU ZA SIRI
πŸ‡2. VIPELE VIDOGO VIDOGO UKENI
πŸ‡3. KUTOKWA UCHAFU MWEUPE AU WA RANGI YA KIJIVU UKENI WENYE HARUFU MBAYA

πŸ‡4. VIDONDA AU MCHUBUKO UKENI

πŸ‡5. KUTOKWA NA HARUFU MBAYA UKENI

πŸ‡6. KUPATWA NA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA

πŸ‡7. KUVIMBA NA KUWA MWEKUNDU KATIKA MDOMO WA NJE WA UKE

πŸ‡8. KUWAKA MOTO NDANI NA NJE YA UKE

Whatsup no:+255674616207

*UNAJUA KWANINI HUPONI U.T.I.❓*➑️ *kwa watu wazima hasa wale wanaofanya ngono zembe wanapata magonjwa ya zinaa kwa urahi...
28/07/2022

*UNAJUA KWANINI HUPONI U.T.I.❓*

➑️ *kwa watu wazima hasa wale wanaofanya ngono zembe wanapata magonjwa ya zinaa kwa urahisi na hivyo wanakuwa tayari wana U.T.I*

➑️ *Uwezo wa bakteria kujishika kwenye njia ya mkojo hivyo kutotibika na kurudia tena.Ni muhimu ukajifunza kwa nini hili linaweza kuwa ndo Sababu kwako*

➑️. *Sababu nyingine ni wanawake kuwa non sector yani kuwa na damu grupu A, B na AB ambao hawawezi kuzalisha kinga nzuri dhidi ya hao bakteria. Au mfumo mzima wa kinga ya mhusika kuwa uko chini mno. Hili ni somo pana ila ukilielewa itakusaidia sana.*

➑️ *Lakini pia kushindwa kuzingatia usafi kamili na hivyo kujiambukiza U.T.I. wenyewe kila wakati. Wengi wanadhani wanajua kuzingatia usafi kumbe hawajajua vizuri na hawataki kujifunza. Matokeo yake U.T.I. inazidi kuwatesa kila wakati.*

*SISI TUNALO SULUHISHO*πŸ’―

Karibu Ersi health-Care
27/06/2022

Karibu Ersi health-Care

Karibu Kwa program ya kuondoa sumu....Program hii itadumu Kwa muda wa siku 21.Ntatoa miongozo  mbalimbali BURE katika KU...
23/06/2022

Karibu Kwa program ya kuondoa sumu....

Program hii itadumu Kwa muda wa siku 21.

Ntatoa miongozo mbalimbali BURE katika KUKABILIANA na mlundikano wa sumu nyingi mwilini.

Pia program hii itahusisha utumiaji wa viinilishe vilivyotengenezwa maalumu Kwa ajili ya kusaidia kuondoa sumu Kwa haraka mwilini bila kukuachia madhara katika Afya yako. Hii detox pack inapatikana Kwa Tsh 138,000 kwenye ofa.

wahi mapema kupata detox pack yako Kwa bei ya OFA na furahia muonekana na mvuto mpya baada ya kumaliza program hii.

Nakutakia siku njema.

22/06/2022
Ipo zaidi ya Viagra,,,,pia kaa ukijua Tiba zetu ni Asili inaondoa Chanzo Cha Tatizo kabisa na kumaliza
22/06/2022

Ipo zaidi ya Viagra,,,,pia kaa ukijua Tiba zetu ni Asili inaondoa Chanzo Cha Tatizo kabisa na kumaliza

Unachangamoto hii usiogope kusema Eris health care wanakupa suluhisho!!!
22/06/2022

Unachangamoto hii usiogope kusema Eris health care wanakupa suluhisho!!!

Kutana na Ersi health-Care tukuhudumie
22/06/2022

Kutana na Ersi health-Care tukuhudumie

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ersi health-Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram