Tabasamu Lako

Tabasamu Lako KARIBU TABASAMU LAKO UPATE ELIMU NA TIBA KWA MAGONJWA MBALIMBALI YA MWANAMKE

MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KUAMUA JINSIA 1.Lazima mwanamke ajue mzunguko wake (menstrual cycle)siku ya 1-282.Lazima mzun...
04/05/2023

MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KUAMUA JINSIA
1.Lazima mwanamke ajue mzunguko wake (menstrual cycle)siku ya 1-28
2.Lazima mzunguko wako uwe na mpangilio sahihi(unaweza ukachunguza mzunguko wako kwa miezi minne mfululizo)
3.PH ya uke lazima iwe kiwango sahihi 4-5.5(PH)inayotakiwa iwe
4.Ushirikiano kati ya mwanamke na mwanaume
Wakati wa tendo.

JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME
Ili uweze kupata mtoto wa kiume kisayansi unashauriwa kushiriki tendo la ndoa siku ambayo yai litakuwa limetoka k**a mzunguko wako uko sahihi ni siku ya 14
Njia nyingine ya kujua yai limetoka baba anaingiza vidole viwili ukeni wakati wa asubuhi na ukikuta uteute ujue yai limetoka kwahiyo jioni mnashiriki tendo la ndoa kwa ajili ya kupata mtoto wa kiume

KWANINI USHIRIKI TENDO LA NDOA WAKATI YAI LIMETOKA ILI KUPATA MTOTO WA KIUME?

Kisayansi chromosome Y ambayo inahusika katika kutunga mimba ya mtoto wa kiume ina spidi kubwa sana ni nyepesi na haiwezi kuishi mda mrefu kwahiyo ukishiriki tendo la ndoa wakati yai limetoka maana yake unaongeza nafasi ya kupata mtoto wa kiume

JINSI YA KUPATA MTOTO WA K**E .

Ili ufanikiwe kupata mtoto wa k**e utatakiwa ushiriki tendo la ndoa siku tatu kabla ya yai kupevuka yani hapa ni baada ya kujuwa mzunguko
KWANINI USHIRIKI TENDO LA NDOA SIKU TATU KABLA
Hii ni kwasababu chromosome X ambazo ndo zinaunda mtoto wa k**e huwa zina sifa ya kuwa na maisha marefu na kutembea taratibu hivyo yai likitolewa litakuta chromosome X ziko hai

KUPATA WA KIUME
Kula nyama, ndizi ,Vyakula vya chumvi k**a chips ila usizidishe chumvi,karanga na vyakula vingine vya potassium na sodium
Chromosomes Y zinahitaji pH ya alkane kuliko asidi ndio maana wazee waliona hili
Kuna mengi kuhusu wazee wa zamani ila nmeongelea haya ya mlo kwa maana yana mantiki kibaiolojia

MAMBO YANAYOWEZA ATHIRI KUPATA MTOTO UNAYEMTAKA
1. Kushindwa kuhesabu siku( tumia chart niliyokuwekea)
2. Mzunguko mbovu wa hedhi(Tumia Nature's way virutubisho 1oo% asilia)
3. Kutokuwa na PH sahihi ukeni tumia Nature's way food supplement virutubisho 100% au viini lishe kukuhakikishia mzunguko wako wa hedhi hautofautini tofautiani, majira yakae vizuri. kinachosababisha ni hitilafu ktk mfumo mzima wa uzazi na homoni husika

Piga cm / tuna ujumbe whaspp kwenda 0752 976 425

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Telephone

+255752976425

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tabasamu Lako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tabasamu Lako:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram