Furaha ya Tiba

Furaha ya Tiba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Furaha ya Tiba, Doctor, Mwenge Complex, Dar es Salaam.

30/08/2023

*UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS) NA SULUHISHO LAKE*

*FIBROID NI NINI?*
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi (ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama
ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

*Kuna aina kuu zifuatazo za fibroids:*
1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizaz)

*Watu wafuatao wako hatarini kupatwa na ugonjwa huu fibroids*
1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi
4.unene
5.kuingia hedhi mapema

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu huwaga unaongezeka
kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids.

*Dalili za fibroids*
1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa
hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpangilio
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi

*Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo*

1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha
mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu

Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:
1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza
mishipa ya kupitisha mayai kutoka
kwenye mfiko wa mayai yaani ovari
2.Uvimbe pia unazuia yai
lililorutubishwa kujishikiza kwenye
kizazi..hasa submucosal fibroids
3.Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.

*MATIBABU*
1.Wanawake wengi wanafibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina dalili hahawezi kwenda hospitali na hawa ndo siku wakibeba ujauzito uvimbe unaongezeka kwa sababu ya vichocheo kuongezeka hivyo hawa watu Wanabainika wanapofanyiwa ultrasoudi ndipo wanakutwa navyo.lakini kitaamu
hospitali hawatibu uvimbe wa namna hii
2.Uvimbe ambao ni mkubwa(k**a inavyoonekana kwenye picha hapo) wenyewe
hutibiwa kwa namna zifuatazo (hospital)
A.Dawa ambazo ni gharama sana mfano donazol wengi masikini hawawezi kumdu kununua
B.Vidonge vya maumivu
C.Vidonge vya kuzuia damu k**a
tranexamic acid na dawa za uzazi wa mpango(COCs)
2.Njia ya pili ni operation nazo zipo
operation aina nyingi inategemea na uvimbe ukubwa na wingi wake.
1.Myomectomy hii ni operation ya
kuondoa uvimbe mmoja mmoja bila
kuondoa kizazi kwa wale wenye uvimbe mmoja uko sehemu nzuri
2.Total abdominal hysterectomy. Hii
operation unaondoa kizazi chote k**a uvimbe umekaa vibaya na viko vingi.

Hebu jiulize kwa nini mpaka upate
dalili ndo uanze kushughulikia au kutafuta Matibabu ? Kwa nini ubebe ujauzito huku una uvimbe kisa bado mdogo? Au kwa nini ukae na uvimbe kisa bado mdogo?
tambua uvimbe huu sio kansa hvyo
ondoa hofu. Mbali na donazole ambayo ni ya gharama na haishauliwi itumiwe kwa mda mrefu ina sababisha mwanamke anakua na sifa za kiume.

*UKIFANYIWA OPERATION USIDHANI UVIMBE UMEISHA UNAOTA PEMBENI HADI UTAKAPOWEKA VICHOCHEO SAWA.*

Sasa suluhisho lako lipo tuna dawa
ambao imetengenezwa kitalamu katika mfumo wa vidonge na vimetengenezwa kwa mimea baada ya utafiti na majaribio ya kutosha na viwanda vya madawa vikubwa hapa duniani. Utapata suluhisho lako bila madhara kwani ni 100% naturally mimea ambayo
imefanyiwa research.

Hii dawa inaondoa uvimbe bila UPASUAJI na bila madhara k**a donazol. K**a una ndugu au rafiki mwambie suluhisho lipo
na mshilikishe kuokoa afya yake.

☎️📞Kwa MAWASILIANO zaid 0767107525

*UREMBO WA ASILI KWA MWANAMKE*  Siri ya mwanamke kuonekana mrembo na kijana kuondoa chunusi, mabaka, makunyanzi ya usoni...
30/03/2022

*UREMBO WA ASILI KWA MWANAMKE*

Siri ya mwanamke kuonekana mrembo na kijana kuondoa chunusi, mabaka, makunyanzi ya usoni na ung'arisha ngozi kwa njia ya Asili.

*FEMINERGY CAPSULES* Imetengenezwa kiasili na kwa kiwango cha hali juu cha mbegu za zabibu ambazo hujulikana kuwa na kiwango kikubwa kinachopambana ba uzee kinachoitwa PROANTHOCY ANIDISM(OPC)

*_Kazi ya feminergy_*
➡Huondoa makunyanzi.
➡Huondoa makovu yaliyo achwa na chunusi.
➡Hung'arisha ngozi na kuondoa mabakaa yasiotakiwa.
➡Huifadhi unyevu wa ngozi.
➡Huzuia magonjwa yaletwayo na umri k**a kansa, kisukari, Magonjwa ya moyo, Macho na Alzheimer's (Watu wazima kupoteza kumbukumbu) Huifanya Organi zako kufanya kazi bila kuzeeka mapema.

*_Faida za feminergy_*
°Husaidia mishipa ya damu itanuke na kusinya hivyo kuiwezesha presha ya damu.
°Husaidia madhara ya mionzi ya jua, simu, Tv na mionzi mingine mwilini mwako.
°Husaidia kupambana na Allegy, Athma na mwili kukosa Nguvu.

**Kwa nini uchague feminergy**
--->Ni ya Asili.
Imetengenezwa na mbegu
0767107525

29/03/2022

TATIZO LA UKE MKAVU

Kwa kawaida kwa kila mwanamke,uke wake unapaswa kuwa na hali ya unyevunyevu kutokana na ute mwepesi unaozalishwa ili kusaidia kuuweka uke katika hali hii.
Hormone inayojulikana k**a estrogen ndo inayofanya kazi ya kufanya ute ute huu kuzalishwa ili kufanya uke kuwa na unyevunyevu na kuta za uke kuwa zinavutika(elastic).Pia ute huu husaidia kuweka sawa mazingira rafiki kwa mbegu za kiume,ili zinapokuwa zimeingia zisiweze kufa hadi zinapolifikia yai.

Kushuka kwa kiwango cha hormone ya estrogeni ni chanzo kikubwa cha kupungua kwa ute huu na kufanya uke kuwa mkavu.Kiwango cha hormone kinaweza kushuka kutokana na sababu mbali mbali k**a tutavyoona katika makala hii.

Inaweza kuonekana ni jambo dogo,lakini kutokua na unyevunyevu wa kutosha inaweza kuathiri maisha ya muhusika haswa katika swala la kujamiiana.Ikiwemo kusababisha tatizo la maumivu wakati wa tendo la ndoa, na kupata tatizo la fangasi za ukeni mara kwa mara

CHANZO CHA TATIZO
Tatizo la uke kuwa mkavu linawakumba sana watu waliofikia ukomo wa hedhi (Menopause) Kutokana na sababu kwamba mwanamke anapofikia kipindi hiki mwili unapunguza au kuacha kutengeneza hormone hii ya estrogen. Hali hii hupelekea kuta za uke kuwa nyembamba na hazivutiki tena hali ambayo kitaalamu inajulikana k**a Vaginal Atrophy.

Kiwango cha estrogen kinaweza pia kushuka kutokana na vitu vifatavyo:

1.Kuzaa na kunyonyesha. Kipindi hiki mwili unazalisha hormone ya maziwa (prolactin hormone) ambayo pia inazuia kuzalishwa kwa hormone ya estrogen.
2.Matibabu ya saratani. (Tiba ya mionzi na dawa za saratani)
3.Kutolewa mifuko ya mayai( ovaries)
4.Dawa zinazozuia uzalishwaji wa hormone ya estrogen kwa watu wenye tatizo la Uvimbe kwenye kizazi, (fibroids na endometriosis)

SABABU NYINGINE ZA UKE KUWA MKAVU NI:
SJOGREN SYNDROME ,Huu ni ugonjwa ambao kinga ya mwili inaharibu cell zinazotengeneza huu unyevunyevu
Dawa kutibu mzio( allergy) na mafua
Kusafisha uke hadi kwa ndani (douching)
Kusafisha uke kwa kutumia sabuni zenye kemikali
Kutoandaana kabla ya kufanya ngono.

☎️📞0767107525

*K**a wewe haupati ujauzito basi naomba kabla ya yote nina maswali kadhaa ya kukuliza.*Nayo ni; ●Je, mzunguko wa siku za...
27/03/2022

*K**a wewe haupati ujauzito basi naomba kabla ya yote nina maswali kadhaa ya kukuliza.*

Nayo ni;

●Je, mzunguko wa siku zako upo sawa, yaani haubadilikibadiliki?

●Je, ulishawahi kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango?

●Je unapata maumivu yoyote ya tumbo chini ya kitovu?

●Je unasumbuliwa na P.I.D au U.T.I?

●Je unapata maumivu ya mgongo au kiuno au nyonga?

●Je unapata maumivu ya tumbo wakati unakaribia kuingia period?

●Je, unakosa ute ute sehemu za siri wakati wa tendo la ndoa?

●Je, unapata mauimvu makali wakati wa tendo la ndoa au kutokwa damu baada ya tendo?

●Je unakosa hamu ya tendo la ndoa?

●Je unatatizo la mirija ya kuziba?

● Je, una uvimbe kwenye kizazi kwakujua au kutokujua?

●Je ulishawah kutoa mimba ambayo haikutolewa katika nmna salama?

Nijibu maswali haya niweze kukusaidia kumaliza tatizo lako.

*K**a jibu la moja ya maswali hapo juu ni NDIYO basi ndicho kizuizi cha wewe kupata ujauzito na nahitaji nikusaidie leo*

WASILIANA NAMI KWA SIMU NAMBA 0767107525

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}**BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya...
24/03/2022

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}*

*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*
➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa

*CHANZO CHA BAWASIRI*
➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
➖ Tatizo sugu la kuharisha
➖ Ujauzito
➖ Uzito wa mwili kupita kiasi
➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
➖ Kupata haja kubwa ngumu
➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
➖ Kunywa pombe
➖ Kula sana nyama nyekundu
➖ Vidonda vya tumbo
➖ Ngiri(Chango/Hernia
➖ Kula sana pilipili
➖ Kunyanyua vitu vizito

*DALILI ZA BAWASIRI*
➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
➖ Kupata kinyesi chenye damu
➖ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
➖ Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda


*MADHARA YA BAWASIRI*
➖ Upungufu wa damu mwilini
➖Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
➖ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
➖ Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
➖ Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
➖ Kupata tatizo la kisaikolojia
➖ Kutopata ujauzito
➖ Mimba kuharibika

Call➖text&sms➖whatsapp👇

0767107525

SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA 🙏🙏🙏

VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)Ni vidonda vilivyo wazi ambavyo hutokea katika kuta za tumbo,sehemu ya juu ya utumbo md...
23/03/2022

VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)

Ni vidonda vilivyo wazi ambavyo hutokea katika kuta za tumbo,sehemu ya juu ya utumbo mdogo au kwenye kuta za koromeo kutokana na bacteria waitwao H.pylori na asid inayozalishwa kwenye kuta za tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito. nk

AINA YA VIDONDA VYA TUMBO.

Kuna aina tatu ya vidonda vya tumbo

* GASTRIC ULCERS

Hivi ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya tumbo,kwenye kuta za tumbo.

* ESOPHAGEAL ULCERS

Hivi ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya koo la chakula,kwenye kuta za koo la chakula.

* DUODENAL ULCERS

Ni vidonda ambavyo katika sehemu ya juu ya utumbo mdogo uitwao DUODENUM.

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Ø Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Ø Matumizi ya mara kwa mara ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin(bayer), (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Ø Msongo mawazo (stress)
Ø Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Ø Kunywa pombe na vinywaji vikali kupitiliza.
Ø Uvutaji wa sigara.
Ø Kuto kula mlo kwa mpangilio maalumu
Ø Kansa ya tumbo

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na kuendelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vina dalili k**a;

Ø Kupata maumivu ya tumbo ya kuwaka moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
Ø Kupatwa na kiungulia(heartburn) karibu na chembe ya moyo
Ø Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
Ø Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Ø Kupata haja kubwa ya rangi ya kahawia au nyeusi cheenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
Ø Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
Ø Kushindwa kupumua vizuri

JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO

Ø Kunywa maji mengi
Ø Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo
Ø Punguza (balance) kiwango cha lehemu (choresterol) mwilini
Ø Usivute sigara
Ø Punguza au acha kunywa pombe
Ø Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
Ø Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za vidonda vya tumbo na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa.

Wasiliana nami☎️📞0767107525

JE UNAFAHAMU MADHARA YA SUMU MWILINIAsilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo k...
23/03/2022

JE UNAFAHAMU MADHARA YA SUMU MWILINI

Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao. Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chazo halisi cha sumu hizi.

VYANZO VYA SUMU

Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana ;
1. Matumizi ya dawa mara kwa mara
2. Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara
3. Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia
4. Ukosekanaji wa lishe na mlo kamili.
5. Matumizi ya madawa makali.
6. Uzito mkubwa
7. Mitindo ya maisha
8. Njia za uzazi wa mpango za kisasa

DALILI ZA KUWA SUMU NYINGI MWILINI

1. Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele nk.
2. Kuwa na uzito wa kupindukia
3. Kutopata choo au kupata choo kigumu
4. Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza
5. Kichwa kuuma kila mara
6. Kupata miwasho
7. Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti, nyonga
8. Kuwa na hasira mara kwa mara.
9. Tumbo kujaa gesi nk

MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU
1. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
2. Kupata maambukizi ya figo
3. Kupata maambukizi ya Ini
4. Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
5. Husababisha uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.
6. Hupelekea matatizo shinikizo la damu la juu (high blood pressure)
7. Mvurugiko wa homoni na kupelekea hedhi kuvurugika, maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.
8. Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.

SULUHISHO LA KUDUMU

Kwa watu wenye changamoto hizo tumewaandalia lishe mbadala yenye virutubisho muhimu ili kuondokana na matatizo hayo.

FAIDA ZA KUFANYA DETOXIFICATION

•Husaidia katika kuondoa matatizo ya upataji choo kigumu au mtu anayekosa choo.

•Husaidia katika kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu na upumuaji katika Mwili.

• Husaidia katika kuimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke pale atakapoitumia na Bidhaa zetu nyingine.

• Huweka hedhi sawa na kuondoa maumivu wakati wa hedhi.

• Husaidia kuongeza virutubisho na kuupa Mwili afya.

Kulainisha Ngozi na kuifanya Ngozi kuwa ng'avu na inayovutia

•Huondoa uchovu Na kuupa nguvu mwili
Huondoa maumivu ya kichwa cha mala kwa mala

Karibu tutibu tatizo hili la Sumu Mwilini Zinapatikana Nchi Nzima Pig sms
☎️📞0767107525

DALILI ZA HORMONE IMBALANCE         By health benefits Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. H...
23/03/2022

DALILI ZA HORMONE IMBALANCE
By health benefits
Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele.
Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile:

✍️Ukavu ukeni

✍️Maumivu wakati wa tendo la ndoa

✍️Kutoa jasho usiku

✍️Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi

✍️Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa

✍️Mabadiliko ya siku za hedhi

✍️kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)

✍️Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi

✍️Uchovu wa mara kwa mara

✍️Hasira za mara kwa mara

✍️Kukosa usingizi

✍️Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara

✍️Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula

✍️Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe

✍️Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)

✍️Maumivu ya viungo

✍️Upungufu wa nywele kichwani

✍️Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)

✍️Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)

✍️Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea

✍️Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi

✍️Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini

✍️Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango

✍️Maumivu ya kichwa mara kwa mara

✍️Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)

✍️Kutokupata choo kwa wakati

✍️Misuli hudondoka

💊MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONl

💉Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.

💉Njia hizo husababisha saratani ya kizazi, CD4 kushuka, sehemu ya uke kuwa baridi, huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua,

💉huathiri mtoto atakayezaliwa,

💉huathri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria),

💉kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.

💉Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi k**a yafuatayo:

•Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu

•Mimba kuharibika mara kwa mara;

•Kukosa mtoto au Ugumba

•Maumivu wakati wa tendo la ndoa

•Kuwa na tabia na maumbile ya kiume

•UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara

•Kuzeeka mapema

•Kuziba kwa mirija ya uzazi

•Saratani

•Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke
📞 0767107525

SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBAKwa kawaida mwanamke anatakiwa apate ujauzito ndani ya mwaka mmoja baada tu ya kuole...
23/03/2022

SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA

Kwa kawaida mwanamke anatakiwa apate ujauzito ndani ya mwaka mmoja baada tu ya kuolewa au kuanza uhusiano. Tunategemea baada ya miaka miwili hadi mitatu baada ya kupata mtoto apate mwingine labda k**a hajaamua yeye pamoja na mumewe. Ujauzito unapatikana baada ya kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu, yaani katika kipindi ambacho mwanamke anaweza kupata ujauzito (siku za BARAKA).

Swala hili pia linaangalia kwa upande wa pili wa mwanaume ambaye pia tunategemea ana uwezo huo wa kumpa mwanamke mimba kwa kuwa na mbegu zenye ubora na nyingi, pia awe na nguvu za kutosha za kufanya tendo ili mwezi wake apate ujauzito.

ZIPO AINA MBILI ZA KUTOSHIKA MIMBA (INFERTILITY)

1.AINA YA KWANZA (PRIMARY INFERTILITY)
Hii ni kwa wale ambao mke na mume hawakuwahi kubahatika kupata mtoto hata mmoja tangu waoane au wawe kwenye mahusiano ilhali wanakutana kimwili bila kutumia kinga yoyote ile.

2.AINA YA PILI (SECONDARY INFERTILITY)
Hii ni kwa wale ambao mke na mume walishazaa mara moja lakini hawafanikiwi kupata mtoto mwingine ilhali wanakutana kimwili bila kutumia kinga yoyote.

BAADHI YA VITU VINAVYOSABABISHA MWANAMKE KUSHINDWA KUPATA MIMBA:

1. Kutokuwa na uwiano mzuri wa homoni (Hormonal Imbalance)

2. Ovaries kushindwa kutoa mayai

3. Kuziba kwa mirija ya uzazi

4. Mirija ya uzazi kujaa maji

5. Uvimbe katika kizazi (uterine fibroids)

6. Magonjwa k**a vile PID, kisonono, kisukari nk

7. Kuwa na msongo wa mawazo (stress)

8. Utoaji wa mimba mara kwa mara (Abortion)

9. Kuwa na uzito kupita kiasi (over-weight)

10. Matumizi ya pombe, bangi, sigara, ulevi kupindukia

11. Matumizi ya dawa kiholela bila ushauri wa daktari

12. Endometriosis. Hii ni hali ambayo seli za ndani ya mfuko wa uzazi huanza kuota nje ya fuko hilo au hata sehemu nyingine.

Hizo hapo ni baadhi tu ya sababu zinazoweza kusababisha mwanamke asipate ujauzito.

DALILI

1. Mwanamke anayesumbuliwa na maumivu chini ya tumbo mara kwa mara naye yupo katika hatari hii kwani upo uwezekano wa kuathiri mirija yake ya uzazi na ikaziba kabisa, mzunguko wa hedhi unavurugika na kupoteza hamu ya tendo la ndoa

2. Wanawake wengine hupata maumivu ya kiuno na tumbo kwa muda mrefu sio dalili nzuri, matiti au chuchu kutoa maziwa pia huathiri kwa kiasi kikubwa uzazi na inakua vigumu kupata ujauzito hasa kwa wasichana

3. Maumivu wakati wa hedhi pia si dalili njema katika mfumo wa uzazi kwani inaweza kuwa una maambukizi sugu ya kizazi (chronic p.i.d), uvimbe katika kizazi (uterine fibroids) na nyinginezo.

KUMBUKA kuwa mwanamke kushindwa kubeba ujauzito hata na mwanaume pia anahusika hivo ni vyema mkashughulikia afya zenu kwa pamoja ili muweze kupata majibu kwa pamoja.
Karibu na ukaishe vema mwaka huu kwako. Na mwakani wakati k**a huu uwe mama pia.

UTAITWA MAMA

0767107525

Address

Mwenge Complex
Dar Es Salaam
+255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Furaha ya Tiba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category