05/11/2022
*MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONES IMBALANCE)*
Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.
*DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI*
Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele. Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile:
• Ukavu ukeni
• Maumivu wakati wa tendo la ndoa
• Kutoa jasho usiku
• Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
• Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
• Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
• Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
• Uchovu wa mara kwa mara
• Hasira za mara kwa mara
• Kukosa usingizi
• Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
• Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
• Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
• Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele)
• Maumivu ya viungo
• Upungufu wa nywele kichwani.
• Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
• Kuwa na hamu ya kula vyakula au vinywaji vya wa ndani.
• Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
• Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
• Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
• Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
• Kusinyaa na kupauka kwa
ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
• Maumivu ya kichwa mara kwa mara
• Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
• Kutokupata choo kwa wakati
• Misuli hudondoka
*MADHARA*
🌸 Mimba kuharibika mara kwa mara au Kukosa mtoto au Ugumba
🌸 Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🌸 UTI (Urinary Tract Infection)
🌸 Kuziba kwa mirija ya uzazi
🌸 Uvimbe (Fibroids and Cysts)
Kwa Ushauri na TIBA Sahihi Wasiliana Nasi;