Oxford Herbal Clinic

  • Home
  • Oxford Herbal Clinic

Oxford Herbal Clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Oxford Herbal Clinic, Medical and health, Dar es salaam, .

Hi
11/02/2023

Hi

group maalumu kwa ajili ya kukuelimisha namna ya kutunza ngozi yako kuwa Bora na nadhifu, halisi na asilia. Ndani ya group utajifunza YAFUATAYO

- Ni Nini chanzo cha kuwa na ngozi isiyo Bora na Nadhifu

-Ni Nini Dalili za kuwa na ngozi isiyo Bora na nadhifu

-Ni madhara gani nitakayopata nikiwa na ngozi isiyo Bora na nadhifu

-Ni Nini suluhisho la kuwa na ngozi isiyo Bora na nadhifu

-Je naweza kuwa na ngozi Bora

MASOMO YOTE NI BURE https://chat.whatsapp.com/HYJOdgaVL6S4AMpTnWSxpH

group maalumu kwa ajili ya  kukuelimisha namna ya kutunza ngozi yako kuwa Bora na nadhifu, halisi na asilia. Ndani ya gr...
11/02/2023

group maalumu kwa ajili ya kukuelimisha namna ya kutunza ngozi yako kuwa Bora na nadhifu, halisi na asilia. Ndani ya group utajifunza YAFUATAYO

- Ni Nini chanzo cha kuwa na ngozi isiyo Bora na Nadhifu

-Ni Nini Dalili za kuwa na ngozi isiyo Bora na nadhifu

-Ni madhara gani nitakayopata nikiwa na ngozi isiyo Bora na nadhifu

-Ni Nini suluhisho la kuwa na ngozi isiyo Bora na nadhifu

-Je naweza kuwa na ngozi Bora

MASOMO YOTE NI BURE https://chat.whatsapp.com/HYJOdgaVL6S4AMpTnWSxpH

11/01/2023
MAUMIVU MAKALI WAKATI WA HEDHI Huashiria changamoto nyingi katika mfumo wa Uzazi k**a vile:•KUVURUGIKA KWA HOMON ZA UZAZ...
08/12/2022

MAUMIVU MAKALI WAKATI WA HEDHI

Huashiria changamoto nyingi katika mfumo wa Uzazi k**a vile:

•KUVURUGIKA KWA HOMON ZA UZAZI (HORMONE IMBALANCE)
•UVIMBE KWENYE KUTA ZA KIZAZI (ENDOMETRIOSIS)
•VIMBE MAJI KWENYE VIFUKO VYA MAYAI (OVARIAN CYST)

na hali hii huchangia sana mwanamke KUTOPATA UJAUZITO kwa wakati na hatimaye hupelekea UGUMBA.

Wasiliana nasi

0758644390
_

X POWER COFFEEHii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;1. Fresh maca2. Ginseng powder3...
08/12/2022

X POWER COFFEE

Hii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;

1. Fresh maca
2. Ginseng powder
3. Tongkat ali
4. Epimedium
Viambata hivi vimetoka nchi za
KOREA,CHINA,USA,INDIA,PERU

Kahawa hii haina CAFFEINE,imetolewa Kwa kutumia teknolojia bora ili kuwafaa watu Wa aina zote.

Kazi muhimu za Hii Kahawa;

1. Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.

2. Kuupa mwili Nguvu zaidi

3. Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.

5. Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.

6. Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.

7. Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume

8. Kuufanya uume usimame barabara k**a msumari

9. Kusafisha mishipa ya damu

10. Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi
11. Haina kemikali ni ya asili kabida 100%

Tunapatikana Dar Es Salaam,Kibaha Mbezi mwisho, Dodoma, Arusha, Mwanza

EPUKA AIBU YA KUFIKA HARAKA KILELENI.X POWER COFFEE

Kwa mahitaji piga
0758644390

08/12/2022

VIDONDA VYA TUMBO

-Aina, Chanzo, Dalili & Tiba

UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus.

Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO
Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

1.Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
2. Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ila vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;
1.Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa
k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
2.Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
3.Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
4.Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
0758644390

UTOAJI WA MIMBA KIHOLELA📌📌📌👉🏽Maelezo haya yanahusu utoaji holela wa mimba 👇🏽👇🏽👇🏽●Utoaji wa mimba husababisha matatizo me...
08/12/2022

UTOAJI WA MIMBA KIHOLELA📌📌📌

👉🏽Maelezo haya yanahusu utoaji holela wa mimba 👇🏽👇🏽👇🏽
●Utoaji wa mimba husababisha matatizo mengi k**a vile
•homa
•maumivu makali ya tumbo na mwili kwa ujumla •kichefuchefu
•kutapika
•kuharisha
•maambukizi sugu ya mfumo wa uzazi
•ugumba au hata kifo.
Hapa chini kuna changamoto tatu za ziada za kitendo hiki zilizoelezewa kwa undani👇🏽

🌱1.KUPOTEZA DAMU NYINGI

Mifepristone hukinyofoa kijusi kwenye mfuko wa uzazi huku misoprostol ikisababisha kujikaza kwa misuli ya mfuko huu ili kukilazimisha kijusi hiki kiharibike,kinyofoke na kutolewa nje k**a damu na uchafu.

Hali hizi mbili zinaweza kusababisha ukapoteza damu nyingi sana,kumbuka miligram 1 ya damu iliyopotea inaweza kuchukua miezi kadhaa kuirudisha na damu ndiyo mafuta ya mwili.Ikipungua afya yako itakuwa mashakani

🌱2.KUENDELEA KWA UJAUZITO

Siyo kila mara zoezi hili hufanikiwa kwa 100%.Ripoti ya
N.Bernard,E.Elefant,P.Carlier na M.Tebacher ya January 24,2013 yenye kichwa cha habari "Continuation of pregnacy after first trimester exposure to mifepristone;an observational perspective study" iliyojumlisha mimba 105,mimba 94 zilizonusurika kutolewa zilifika miezi 9 na watoto kuzaliwa wakiwa wazima lakini walikuwa na ulemavu wa maisha (wa kudumu) na mimba 10 kati yake zikiharibika wiki kadhaa kabla ya kufikia wiki ya 38.

Taarifa hii inatoa onyo ya madhara ya kutoa mimba kiholela ikiwa zoezi halitafanikiwa,ni hatari kwa afya ya mtoaji na inaweza kusababisha huzuni na mateso ya kudumu ya kimwili na kiakili kwa mtoto atakayezaliwa

🌱3.KUTOKUHARIBIKA KIKAMILIFU KWA UJAUZITO

2-10% ya watu wote wanaojaribu kufanya kitendo hiki, mimba huwa hazitoki zote,baadhi ya sehemu zilizoharibiwa hubaki ndani ya mwili hivyo kusababisha kuvuja kwa damu nyingi,maumivu makali ya tumbo,maambukizi sugu ya mfumo wa uzazi,ugumba,utasa na hata kifo ikiwa hatua sahihi hazitachukuliwa mapema k**a vile upasuaji au kusafishwa kwa mtu huyu.

Kwa msaada zaidi 0758644390

08/12/2022

TIBU MAGONJYA YAFUATAYO KWA UHAKIKA KUTUMIA TIBA ASILI ( ni food supliments hazina kemikali yoyote)👇🏿
👉🏽VIDONDA VYA TUMBO
👉🏽BAWASILI
👉🏽CHANGAMOTO ZA NGUVU ZA KIUME KWA UHAKIKA 100%
👉🏽MAGONJWA YA NGOZI K**A FANGASI,UPELE,CHUNUSI,MAPUNYE,MAJIPU NK
👉🏽UZAZI KWA WANAWAKE,UGUMBA,KUPATA HEDHI ISIYO NA MPANGILIO,MAUMIVU MAKALI
WAKATI WAKATI WA HEDHI
👉🏽KUONGEZA UZITO
👉🏽KUPUNGUZA UZITO,MAFUTA,KUONDOA KEMIKALI
USHAURI NI BURE
○WAKAZI WA DAR UNALETEWA BIDHAA MPAKA ULIPO NDO ULIPE KW FREE DELIVERY NA KWA 📌📌📌WAKAZI WA MIKOANI TUNATUMA
WOTEE MNAKARIBISHWA

Tuwasiliane kwa maelezo zaid 0758644390

TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TIBA YAKEFIBROID NI NINI?Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega S...
08/12/2022

TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TIBA YAKE
FIBROID NI NINI?
Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega SIKIO📌📌📌📌📌
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao
huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi)
au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.
Kuna aina kuu zifuatazo za fibroids👇🏿👇🏿👇🏿
👉🏽Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
👉🏽intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
👉🏽 Subserosal(nje ya kizaz)
Watu wafuatao wako hatarini ya kupata ugonjwa huu fibroids🥺🥺🥺👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
👉🏽Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
👉🏽miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
👉🏽kurithi
👉🏽unene
👉🏽kuingia hedhi mapema
Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini na mara
nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. , Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.
Dalili za fibroids📌📌
1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna
harufu lkn mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedthi ambayo husababishwa
na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu
makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpango
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi
Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo.👇🏿👇🏿👇🏿
1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu
cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu
Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto👇🏿👇🏿👇🏿
1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha
mayai kutoka kwenye ovari

Kwa msaada zaidi wasiliana 0758644390

CHANZO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 kinachopelekea Upungufu wa nguvu za kiume ni k**a vile...
08/12/2022

CHANZO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 kinachopelekea Upungufu wa nguvu za kiume ni k**a vile:
 Maradhi kadhaa k**a kisukari; presha ya kupanda; presha ya kushuka
 Vyakula tunavyokula
 Tabia na mtindo wa maisha vinavyoweza kupelekea baadhi ya viungo kutofanya
kazi vizuri k**a uvutaji wa sigara; unywaji wa pombe; madawa ya kuleva;
kufanya kazi kupita kiwango na kukosa muda wa kupumuzika
 Tabia za kujichua/punyeto (ma********on) na matatizo ya kukosa usingizi na
kuchelewa kulala usiku.
 Kutokunywa maji ya kutosha, tatizo la kufunga choo hasa pale unapotumia
nguvu nyingi kusukuma choo; kutofanya mazoezi; ukosefu wa kumbukumbu
_
📌📌DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Kitendo cha baadhi ya viungo hivyo kutofanya kazi vizuri basi hapo hutokea upungufu
katika nguvu za kiume.

Upungufu huo unaweza kuleta dalili zifuatazo👇🏿3
 Kukosa hamu ya mapenzi
 Uume kusimama kwa uregevu
 Kuwahi kufika kileleni
 Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
 Kushindwa kurudia tendo la ndoa
 Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
 Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji
 Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia
kichefuchefu;
 Kutokuwa na uwezo wa kumpa mimba mwanamke
_
⚠️SULUHU YA TATIZO
>Wanaume wengi wanapopungukiwa nguvu za kiume hukimbilia kutafuta dawa za
kuongeza nguvu za kiume, na siyo kutibu.

>Ni kosa kubwa kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume bila kujua chanzo cha tatizo coz Upungufu wa nguvu za kiume lazima utibiwe kuanzia chanzo cha tatizo.

> kwa maana ya kwamba mzizi wa tatizo sharti ung'olewe kwanza! Mathalani, k**a tatizo ni la homoni, au ugonjwa wowote basi
ijulikane kwanza.
_
Ushauri na tiba
Whatsapp au piga 0758644390📞📞

________

06/12/2022

Umechoshwa na hi hali ya kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya k**a shombo la samaki huko sehemu za siri kiasi cha kukufanya kunuka uchi ,kuchafua nguo ya ndani

Au kukulazimu hata kuvaa pedi ili mladi tu uwe comfortable
Kwanini unateseka nipigie tuongee nikushauri vizur zaidi ndg ikibidi nikupe suluhuhisho sahihi la Tatizo lako

Nipigie nikupe suluhisho
Call me
☎📞 0758644390

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Oxford Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram