Woman Health

Woman Health Natoa Ushauri na Tiba Juu ya Changamoto Mbalimbali za kiafya

*🌹Njia salama za kupunguza maumivu kipindi cha hedhi...*Kwanza lazima utambue kuwa Maumivu kipindi cha hedhi ni kitu kin...
14/11/2021

*🌹Njia salama za kupunguza maumivu kipindi cha hedhi...*

Kwanza lazima utambue kuwa Maumivu kipindi cha hedhi ni kitu kinachokosesha raha na kukera sana kwa wanawake wengi. Maana kinaweza kutatiza shughuli zako za kila siku k**a masomo, biashara na hata shuguli za kiofisi. Tatizo la maumivu kipindi cha hedhi kwa kitaalamu tunaita dysmennorrhea.
.
Naleta kwenu somo hili lenye uchambuzi wa kina kwa tatizo hili linalowatesa kinamama wengi na wadada. Utajifunza nini maana yake, tatizo linaanza vipi na namna gani utumie ili kumaliza shida hii.

*Dysmenorrhea Ni Kitu Gani?*
Dysmenorrhea ni jina la kitabibu kwa maumivu kipindi cha hedhi. Maumivu ambayo hutokana na kusinyaa kwa misuli ya mji wa mimba. Wakati wa hedhi misuli husinyaa, ili kuruhusu kumeguka kwa ukuta na kutoa damu iliyochanganyika na yai ambalo halikurutubishwa nje. Maumivu haya yamegawanyika katika aina mbili
Aina Ya Kwanza Ya maumivu ya Kawaida (Primary Dysmenorrhea):
Maumivu haya ni ya kawaida kabisa kwa wanawake wanapopitia kipindi hikia ambacho hujirudia kila mwezi. Maumivu kikawaida huanza kati ya siku moja ama mbili kabla ya hedhi kuanza kutoka. Mwanamke hujiskia maumivu haya kwenye tumbo la chini, kwenye nyonga na kiuno kwa ujumla.
Maumivu haya yanaweza kuwa madogo au yakawa makali sana na huisha ndani ya masaa 12 mpaka 72. Yanaweza kuambatana na kutapika na kupata kizunguzungu. Kwa wanawake wengi maumivu haya ambayo ni ya kawaida kabisa hupungua kadiri umri unavoenda na pia pale mwanamke akijifungua.
Maumivu Aina Ya Pili Yasiyo Ya Kawaida (Secondary Dysmenorrhea):
Maumivu haya ni kutokana na tatizo fulani la kiafya kweye via vya uzazi vya mwanamke. Changamoto k**a vile uvimbe ambayo siyo wa saratani ndani ya mfuko wa mimba (uterine fibroids), kukua kwa tishu laini za mfuko wa mimba kuelekea kwenye viungo vingine k**a uke na mifuko ya mayai,Kuziba kwa mirija ya uzazi au maambukizi katika mfumo wa uzazi (endometriosis).
Na pia kupanuka kwa ukuta wa uterus kutokana na kukua kwa tishu za ndani za uterus kuelekea ukuta wa nje (adenomyosis). Maumivu haya pia yasiyo ya kawaida yanaweza kuwa yamesababishwa kwa athari za bacteria ama virusi katika via vya uzazi.
Kikawaida maumivu haya huanza mapema zaidi wakati wa hedhi na huchukua muda mrefu zaidi kuisha ukilinganisha na maumivu yake ya kawaida (primary dysmenorrhea). Na pia maumivu haya yanakuwa hayaambatani na kutapika, kuharisha, kizunguzungu wala kukosa nguvu na ganzi.
Maumivu Kipindi Cha Hedhi Kwa Kiasi Kikubwa Hulenga Katika Viungo Hivi
1.Via vya uzazi.k**a maumivu yako ni kutokana na kukua Zaidi kwa tishu za uterus basi maumivu husambaa hadi kwenye tumbo la uzazi.
2.Tumbo la chini-huathirika pia na maumivu haya kwa kiasi kikubwa, k**a maumivu haya ni kutokana na kukua kwa tishu za uterus basi mwanamke anahisi k**a ameunguzwa na kitu cha moto kwenye tumbo.
3.Maumivu ya chini ya mgongo- mara nyingi hutokana na kukua kwa tishu za uterus kuelekea kwenye uke na pia kwenye mifuko ya mayai.

4.Miguu– maumivu yanaweza pia kuelekea kwenye hips yakishuka chini ya miguu na kufanya mwanamke kushindwa kutembea .
5.Maumivu ya kisaikologia hutokea pia kwa kiwango kukubwa kwa wanawake ambao maumivu yao ya hedhi ni kutokanana kukua tishu za uterus bila mpangilio, wanawake hawa hupata msongo wa mawazo kutokana na kufikiri kwamba
Pengine tatizo la uvimbe haliwezi kupona na hakuna dawa
Ama hawataweza kupata mtoto kwa siku za baadae
Mahusiano ya Rafiki ama wapenzi wao yatavunjika k**a wakijua ana tatizo la uvimbe
Ama kufikiri jinsi ambavyo hawatafanya kazi zao kwa ufasaha na kutofurahia maisha k**a mwanzo walipokuwa wazima.

*Nini Chanzo Cha Maumivu Kipindi Cha Hedhi?*

Maumivu haya hutokana na kitendo cha misuli ya uteras kukaza na kusinyaa. Kitendo hichi huratibiwa na homoni ya prostaglandins. Ni kawaida kwa uterus ambao ni mfuko unaobeba mimba kusinyaa kipindi chote cha mzunguko wa hedhi ambacho kwa wengi huchukua siku 28.
Lakini utofauti ni kwamba wakati wa kutoa hedhi yenyewe mfuko huu husinyaa na kujikaza zaidi na hivo kukatisha hewa safi ya oxygen kufika kwenye misuli ya mfuko huu wa mimba.
Maumivu ni matokeo ya kukosekana kwa muda kwa hewa ya oxygen kwenye baadhi ya misuli ya uterus

*Nini Cha Kufanya Pale Unapopata Maumivu Kipindi Cha Hedhi*
Kuna njia nyingi ambazo husaidia kupunguza maumivu ya hedhi ambazo unaweza kutumia ukiwa nyumbani kwako pasipo kwenda hospitali. Lakini k**a maumivu haya yanatokana na shida zingine za kiafya unashuariwa kutumia Program 1 ambayo humaliza tatizo hili

Pia ukiwa nyumbani unadhauriwa kufuata njia zifuatazo

1.Tumia maji ya uvuguvugu kukandakanda mahali pa tumbo la chini ukiwa umelala chalikukanda tumbo ili kupunguza maumivu ya hedhi

2.Usitumie vinywaji na vyakula vyenye caffeine mfano majani ya chai na kahawa

3.Fanya masaji kwenye upande wa chini wa mgongo na sehemu ya tumbo la chini.

4.Pata muda mwingi wa kupumzika kupunguza maumivu ya hedhi

5.Weka ratiba ya kufanya mazoezi mara kwa mara, tafiti zinasema wanawake wanaofanya mazoezi hupunguza maumivu ya hedhi kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na wasiofanya mazoezi.

*Ni Kipindi Gani Unatakiwa Kumuona Daktari Ili Kupata Matibabu Na Ushauri Zaidi*
K**a maumivu yako ni makali zaidi kuliko kawaida na yanachukua zaidi ya siku . Hakikisha unamwona daktari wako haraka, kwanini?. Kwasababu yawezekana maumivu yako siyo ya kawaida na yaweza kuwa una uvimbe ama maambukizi ya bacteria na virusi kwenye mfuko wa mimba au kuziba kwa mirija ya uzazi.

Hivo kuwahi hospitali itasaidia kutibu tatizo lako mapema kabla halijawa kubwa. Pia tunashauri kuwahi kumwona dactari kwa sababu ukuaji wa tishu za mfuko wa mimba unahusishwa na kusababisha saratani ya shingo ya kizazi, na hivyo kujua chanzo cha tatizo lako mapema kutasaidia kulitibu mapema.

*Tiba Kupitia Program 1*

Program 1 ni dose asili kabisa na imetengenezwa nchini Marekani kupitia mimea,matunda na madini mbalimbali Kwa miaka zaidi ya 9 ambayo tumekuwa tukihudumia wagonjwa wetu wa matatizo ya hedhi na homoni, tumepokea na tunaedelea kupokea shuhuda lukuki kutoka kwa wagobjwa wetu wakifurahia nguvu na uwezo wa program hii 1.
Program 1 inakuwa na jumla ya vidonge 120,dawa ya maji na muongozo maalumu wa daktari wakati wa matumizi.
Baada ya kutumia Program 1 Pia tegemea faida zifuatazo

1.Maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi kuisha kabisa

2.Husaidia katika zoezi la Homoni kubalansi

3.huongeza uwezo wa Mzunguko wa hedhi kurekebika.

4.Huchochea Hedhi yako kuwa nyepesi na ya kawaida

5.Husaidia kizazi kuimarika sana hata kuongeza chansi ya kushika mimba k**a wewe ni muhanga wa kukosa mimba kwa muda mrefu.
Bei ya Program 1 ni 214700/=
Kuipata wasiliana nasi kupitia 0757432186 au fika katika fika ofisi ilio karibu na mkoa uliopo.

Njoo Upate Ushauri na Tiba Juu ya Changamoto Mbalimbali Za Kiafya Kupitia 0757432186.Pia unakaribishwa kupata mafunzo kw...
06/11/2021

Njoo Upate Ushauri na Tiba Juu ya Changamoto Mbalimbali Za Kiafya Kupitia 0757432186.
Pia unakaribishwa kupata mafunzo kwa njia ya WhatsApp Kupitia 0757432186.Mafunzo Haya ni buree

06/11/2021
06/11/2021

*🌹Je,Ulishawahi Jiuliza Kwanini hushiki Ujauzito..?*

Hizi ndizo sababu pamoja na hatua 3 za kusafisha kizazi chako na kurekebisha mpangilio wa hedhi.
Je unafahamu kwamba kusafisha kizazi ni hatua muhimu katika kuuandaa mwili kushika ujauzito?
Mfuko wa mimba ni kiungo kimoja cha ajabu chenye urefu wa sm 7 na upana wa sm 5. Kiungo hiki kimetengenezwa kwa muunganiko wa kuta tatu ambazo ni perimetrium(ukuta wa nje),myometrium (ukuta wa kati). Ndani ya myometrium kuna kuta zingine laini zilizotengenezwa kwa misuli.
Ukuta wa tatu ni endometrium(ukuta wa ndani).Ndani ya endometrium kuna tezi ambazo ndizo zinaratibu mpangilio wa hedhi.Ukuta huu ndio humeguka na kutolewa nje k**a hedhi pale mwanamke anapokuwa kwenye siku zake.
*Sababu zinazopelekea Kizazi chako Kutofanya Kazi vizuri*
Kizazi chako kinafanya kazi muda wote ili kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya kiumbe kitakachotungwa. Kazi hizi zinaratibiwa na mpangilio mrefu wa vichocheo ambavyo vinafanya kazi kwa kutegemeana. Kwa hivo kihatarishi chochote ambacho kinavuruga mpangilio huu kinafanya hata uwezo wa kushika mimba kupugua.
Zifuatazo ni sababu zinapekelea kuharibu afya ya kizazi chako na kukuletea ugumba..

*1. Mtindo wa maisha*
Wanawake wanaoishi pasipo kufanya mazoezi na kutumia mda mwingi wakiwa wamekaa, ama shughuli zisizoshugulisha mwili wanakuwa kwenye hatari zaidi ya kupungua uwezo wa kushika mimba. Maisha haya ya kizembe hupelekea kupungua kwa mzunguko wa damu kwenye via vya uzazi. Kutoshughulisha mwili pia kunapunguza uwezo wa misuli ya kizazi na hivo kupunguza uwezo wa kuhifadhi ujauzito.

*2.Uvimbe wa fibroid kwenye kizazi*
Uvimbe huu hufanyika mara nyingi kwenye kuta za kizazi na kusababisha maumivu makali wakati wa hedhi. Dalili zingine ni kupata hedhi nzito na inayochukua mmda mrefu na maumivu ya nyonga. Unaweza kusoma zaidi kuhusu uvimbe wa namna hii na namna ya kurekebisha lishe ili kupona. Bofya hapa kusoma zaidi makala ya fibroids.

*3.Makovu kwenye kizazi*
Makovu haya kwenye kizazi yanaweza kufanyika kutokana na sababu mbalimbali. Baadhi ya sababu hizi k**a zilivoelezewa kwa msaada wa Chuo kikuu cha California, shule ya udaktari ni pamoja na

-mimba kuharibika
-utoaji wa mimba
-upasuaji wakati wa kujifungua
-matumizi ya kitanzi ili kuzuia mimba
-kuugua magonjwa ya zinaa na PID
-uvimbe kwenye ukuta wa ndani wa kizazi (endometriosis)
Wanawake waliowahi kufanyiwa upasuaji kwenye kizazi wapo kwenye hatari zaidi.

*4.Kuvurugika kwa homoni*
Homoni zinafanya kazi kubwa katika kuratibu utendaji wa shughuli za mwili kwenye kizazi. Homoni zinapovurugika hupelekea matatizo k**a uvimbe kwenye kizazi (endometriosis na fibroids ) na uvimbe kwenye mayai (Polycyst ovarian syndrome)

*Utagunduaje k**a vichocheo vyako vimevurugika. Angalia uwepo wa dalili hizi*

-hedhi kuvurugika
-kupata hedhi ya muda mrefu zaidi ya siku 5
-uzito mkubwa na kitambi
-kuota ndevu
-maumivu makali ya tumbo kipindi cha hedhi
-kukosa hamu ya tendo la ndoa na
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kizazi kuinama.
Kwa kawaida kizazi kinatakiwa kuwa kimenyooka upande wa juu na chini pale mtu akiwa wima. Kutokana na sababu mbalimbali inaweza kupelekea kizazi kuinama kuelekea nyuma au mbele.
Kizazi kinaweza kuinama kutokana na kutanuka kwa kwa misuli baada ya kujifungua, makovu na uvimbe k**a fibroids na endometriosis. Kizazi kilichoinama kinaweza kuleta dalili k**a maumivu makali, kuvurugika kwa hedhi, kuugua UTI mara kwa mara, ugumu kwenye kuvaa pedi na pia maumivu wakati wa tendo la ndoa.

*Jinsi gani uimarishe afya ya kizazi?*

Hapa chini ni maelezo ya jumla namna ya kurekebisha mtindo wako wa maisha ili kuimarisha afya ya kizazi. K**a una magonjwa k**a fibroids, ovarian cysts na kuziba kwa mirija hakikisha unayatibu kwanza kisha fuata mpangilio huu

1.Mazoezi: Hii ni hatua ya kwanza kabisa kuelekea kwenye kusafisha kizazi chako. Mazoezi ya kutembea ni mazuri zaidi hata k**a wewe ni mvivu wa kwenda gym au uwanjani, yanasaidia kuimarisha mzunguko wa damu na unyumbulikaji wa misuli kwenye kizazi.

2. Self Fertility Massage: Kufanya msaji eneo ya tumbo chini ya kitovu pande zote kulia na kushoto ni njia moja rahisi ambayo unaweza kuifanya ukiwa nyumbani pasipo gharama. Masaji ya tumbo inasaidia
Kuimarisha mzunguko wa damu kwenye kizazi,ovari na mirija ya uzazi
Kusaidia uwiano wa vichocheo
Kuongeza uwezo wa kizazi kujisafisha kwa kutoa tishu zilizokufa na damu ya hedhi
Kuimarisha usambazaji wa hewa safi ya oksijeni kwenye kizazi na Kuimarisha misuli ya kizazi.

3.Uzazi Package (Program 1)
Uzazi Package ni moja ya njia nzuri ya kusafisha kizazi na kurekebisha homoni zako kwa kuimarisha uwezo wa ini.Ini ni kiungo kinachochuja sumu kwenye mwili, sumu hizi hujumuisha homoni zilizozidi ambazo zinaweza kupelekea kuvuruga mpangilio wa homoni.
Uzazi Package pia inajumuisha kusafisha mfuko wa mimba kwa kutoa mabaki ya tishu na damu illiyoganda ambazo hazikutolewa kipindi cha hedhi. Hatua hii inatumia Dawa asili (herbs) na virutubisho ili kusapoti afya ya kizazi na kuimarisha mzunguko wa damu.

Kwa Ushauri zaidi piga 0757432186

06/11/2021

Karibu Upate Ushauri na Tiba juu ya Changamoto Mbalimbali za Kiafya kupitia 0757432186

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Woman Health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Woman Health:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram