
18/01/2023
TIBA THABITI YA CHANGAMOTO YA TEZI DUME BILA UPASUAJI
Tezi dume ni nini?
Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi.
Ipo wapi?
Tezi dume iko mwishoni mwa kibofu cha mkojo. Pia inauzunguks mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na na mrija wa mkojo wa uume (urethra) na iko mbele kidogo ya utumbo mpana ndani ya fupa la nyonga.
Saratani ya tezi dume ni nini?
Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani..Na hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili, chembechembe asi hizi mwishowe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini
Visababishi hatarishi kwa saratani ya Tezi dume
1)Umri Mkubwa kuanzia miaka 50
2)Nasaba (ukoo wenye historia a saratani hii
3)Lishe hatarishi-nyama nyekundu kwa wingi, mafuta/samli,maziwa ya krimu
4)Unene uliokithiri
5)Ukosefu wa mazoezi
6)Upungufu wa virutubisho,mfano vit D.
7)Maambukizi ya mara kwa mara kwenye tezi dume
Dalili zake ni zipi?
1)Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.
2)Kwenda kukojoa mara kwa mara.
3)Damu ndani ya mkojo.
4)Kushindwa kukojoa.
5)Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.
*Wagonjwa wengi huanza maumivu ya nyonga k**a ni dalili za awali.
Udhaifu katika utoaji wa mkojo pia kunaweza kutokea kwa kuvimba kwa tezi dume bila ya saratani.
Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.
madhara
1) upungufu wa nguvu za kiume
2) Maumivu ya Mara kwa mara wakati wa haja ndogo
3)kushindwa kushiriki tendo la ndoa
4)kifo
Tiba sahihi ya Tezi dume ni👇🏻👇🏻
👉🏻 ipo tiba sahihi ambayo itarejesha tezi dume katika hali ya kawaida na kuuwa seli zote za kansa dawa hii ni yenye virutubisho lishe visivyo na kemikali kabisa
👉🏻kwa maelezo na maswali binafsi ushauri binafsi na uhitaji wa dawa piga namba....0787286554