Afya ni mtaji

Afya ni mtaji Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ni mtaji, Medical and health, DAR ES SALAAM, Dar es Salaam.

NAITWA HARUNI KIBONA NA MIM NI MTALAAM WA AFYA HAPA BRIGHT FUTURE NATOA HUDUMA YA AFYA KUPITIA BIDHAA ZA VIRUTUBISHO LISHE (FOOD SUPPLIMENTS) NAPATIKANA KWA SIMU NAMBA 0764796923

 # 0764796923   DALILI ZA MTU MWENYE U.T.I # Kujihisi mchovu na kutokujisikia vizuri. # Kukojoa kwa shida na kujilazimis...
01/03/2022

# 0764796923

DALILI ZA MTU MWENYE U.T.I

# Kujihisi mchovu na kutokujisikia vizuri.

# Kukojoa kwa shida na kujilazimisha

# Maumivu wakati wa kukojoa

# Kukojoa kiasi kidogo na mara kwa mara

# Mkojo kutoa harufu kali

# Mkojo kuwa na rangi tofauti zisizo za kawaida kwa mfano wekundu kiasi

# Kichefuchefu au kutapika
Maumivu ya tumbo, au pande za mwili karibu na tumbo mpaka sehemu za misuli

# Joto laweza kuongezeka

JINSI YA KUEPUKANA NA U.T.I

# Kunywa maji mengi
Acha kutumia dawa za uzazi wa mpango
# Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
# Kojoa hata kidogo baada ya kujamiiana
# Punguza au acha kunywa pombe na kutumia sigara huchochea kuathiri kibofu
# Kuwa msafi hasa sehemu za siri ili kutoruhusu bakteria
# Usipulizie spray kwenye sehemu za siri

Contact; 0764796923

Address

DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni mtaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ni mtaji:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram