Afya ya uzazi

Afya ya uzazi Ninatatua matatizo yote ya Uzazi kwa Wanawake/&Wanaume Kwa kutibu.Pia nafanya vipimo vya mfumo mzima wa Uzazi
+255718013125.

Baadhi ya shuhuda hizoHitaji la Tiba 0689301145
01/07/2025

Baadhi ya shuhuda hizo
Hitaji la Tiba 0689301145

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO Shirika la Afya  kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA  OFA KWA WATU WATA...
26/05/2025

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO

Shirika la Afya kutoka CHINA/ GCAT HOSPITAL, IMETOA OFA KWA WATU WATAKAO fika katika vituo vyake vyote, KUPATA HUDUMA YA VIPIMO NA MATIBABU,,Ofa hii niya👇👇
▪️ Vipimo vya mfumo mzima wa uzazi pamoja na Kutibiwa magonjwa yote ya uzazi..k**a vile Tezi dume,ngiri pamoja na Kushindwa kurudiaTendo.Upande wa wanawake tiba ni k**a vile Kuondoa uvimbe,kuondoa p.i.d sugu,mvurugiko wa hommon,ugumba nk.Kumbuka kipimo ni Tshs 30,000/= tu
▪️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;

✅Matatizo yote yanayo wakabili wanawake.
✅Matatizo yote yanayo wakabili wananume

TIBA ZETU NI TIBALISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
👉 Kuosha
👉 Kulinda/ Kukinga
👉 Kujenga
👉 Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu imara . Tupo Dar es salaam Majumba sita Airport na Mikoani pia tunapatikana

Wasiliana nasi
0718013125

UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE    👇 Pelvic Inflammatory Disease Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbu...
24/05/2025

UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE
👇
Pelvic Inflammatory Disease
Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo-:

👉 Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi . Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua . Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe .

DALILI ZA UGONJWA WA PID
1️⃣ Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣ Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣ Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣ Uke kuwa wa ulaini sana
6️⃣ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣ Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣ Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣ Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟 Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula
MADHARA YA PID
• Ugumba
• Kansa ya shingo ya kizazi
• Mirija ya uzazi kuziba
• Majeraha kwenye mirija ya uzazi

Wahi sasa tiba yipo iliyoandaliwa kitalamu zaidi Virutubisho lishe wasiliana nami . Tunapatkana

PIGA/WHATSAPP 0718013125

MWANAUME! UNAJUA "PERVIC FLOOR MUSCLE "NI NINI!??🔸️🔸️🔸️HUU NI MSULI AMBAO UNAMUWEZESHA MWANAUME KUSIMAMISHA UUME WAKE KW...
22/05/2025

MWANAUME! UNAJUA "PERVIC FLOOR MUSCLE "NI NINI!??

🔸️🔸️🔸️HUU NI MSULI AMBAO UNAMUWEZESHA MWANAUME KUSIMAMISHA UUME WAKE KWA MUDA MREFU, "HUU NDIO MSULI MKUBWA AMBAO UMESHIKILIA UUME.
💪IKIWA HUU MSULI UMEPATA UDHAIFU, UUME HUSIMAMA KWA MUDA MFUPI, UNALEGEA, HATIMAE KUSINYAA KABISA!.
💪MSULI HUU UMEUNGANISHA UUME NA TUNDU LA HAJA KUBWA, NA SEHEMU YA MWANZO WA UTI WA MGONGO.

💪💪VITU VINAVYOFANYA MSULI HUU KULEGEA NA KUWA DHAIFU 💪💪
1.BAWASILI-Kutokwa na vinyama sehemu ya haja kubwa.
2.KUPATA CHOO KIGUMU-Hii ninpale unavyokuwa ukitumia nguvu kubwa kupata haja, hivyo husababisha msuli huu kulegea.
3.KUVIMBIWA (TUMBO KUJAA GESI)-Tumbo linavyojaa gesi baada ya kushindwa kumeng'enya chakula fulani,basi msuli huu kulegea.
4.KUJICHUA (PUNYETO)-Punyeto pia husababisha msuli huu kulegea! Na dalili utaiona wakati wa kukojoa, au kutoa mbegu za kiume, (shahawa) hazitoki kwa kasi k**a kawaida, haziruki, zinafanya kudondoka k**a matone ya mvua.
5.UZITO MKUBWA-Kitambi pia hulegeza msuli huu.
piga simu au njoo kwenye watssap no 0718013125

MAWASILIANO+255718013125
22/05/2025

MAWASILIANO+255718013125

Matokeo ni ndani ya Siku tatu,Wengi wamepona kabisa.MAWASILIANO ZAIDI+255718013125
21/05/2025

Matokeo ni ndani ya Siku tatu,Wengi wamepona kabisa.

MAWASILIANO ZAIDI+255718013125

TUWE makini sana
06/05/2025

TUWE makini sana

HATA WEWE unaweza kupona+255718013125
07/04/2025

HATA WEWE unaweza kupona+255718013125

Kufanikiwa NI laZma 0718 013 125
06/04/2025

Kufanikiwa NI laZma 0718 013 125

*DALILI ZA FANGASI   SEHEMU ZA SIRI KWA MWANAMKE* *1️⃣ Maumivu na miwasho kwenye mashavu ya uke na sehemu ya juu ya uke*...
17/03/2025

*DALILI ZA FANGASI SEHEMU ZA SIRI KWA MWANAMKE*

*1️⃣ Maumivu na miwasho kwenye mashavu ya uke na sehemu ya juu ya uke*.
*👉 Maumivu wakati wa kukojoa ama kufanya tendo la ndoa*.
*👉Uuke kuwaka moto kwa ndani.*
*👉Kuvimba kwa mashavu ya uke na kuwa mekundu.*
*👉Kuota mapele na maruturutu kwenye uke.*
*👉 Kutokwa na majimaji kwenye uke.*
*👉 Kutokwa na majimaji mazito meupe na yenye. harufu mbaya kwenye uke.*




*NJIA ZA KUPAMBANA NA FANGASI HAWA*

*Kuwacha kutumia madawa ya kusafishia ama kuunga uke*
*Kutokuvaa nguo mbichi*
*Kutokuvaa nguo za* *kubana hususani za* *mpira*
*Kuwa msafi muda wowote*
*Kuosha kichwa cha uume na ngozi ya govi mara kwa mara*
*Kuosha uke mara kwa mara*
*Kutumia pedi zilizo kavua na safi na kubadilisha mara kwa mara* . *BEA HEALTH NUTRITION TUPO KWA AJILI YAKO +255718013125*

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya uzazi:

Share