Nayla health care

Nayla health care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nayla health care, Medical and health, mlimani city, Dar es Salaam.

Pazia nzuri kwa bei nzuri 0620203585
17/02/2024

Pazia nzuri kwa bei nzuri 0620203585

Vyombo bei poa
24/01/2024

Vyombo bei poa

0620203585
22/01/2024

0620203585

15,000 mto na foronyq
22/01/2024

15,000 mto na foronyq

Kero yako ni ipi? Suluhisho lipo karibu upate tiba na ushauri pia
13/08/2021

Kero yako ni ipi? Suluhisho lipo karibu upate tiba na ushauri pia

 #  # #  BIDHAA hizi za VIRUTUBISHO LISHE toka BFSUMA zinafaida zifuatazo:••Huimarisha KINGA YA MWILI ••• HUYEYUSHA VIMB...
14/03/2021

# # # BIDHAA hizi za VIRUTUBISHO LISHE toka BFSUMA zinafaida zifuatazo:

••Huimarisha KINGA YA MWILI

••• HUYEYUSHA VIMBE SEHEMU MBALI MBALI ZA MWILI BILA UPASULIWAJI na kuzuia zisijirudie

***Husaidia wenye Matatizo ya HORMON IMBALANCES

***Nzuri kwa wenye CANCER/SARATANI AINA mbali mbali

***Nzuri Kwa waathirika wa VIRUSI 🦠 VYA UKIMWI

*** Nzuri Kwa waathiri wa HOMA YA INI /hepatitis B

•••Huimarisha utendaji kazi wa MOYO,INI ,Figo,Kongosho na Mapafu

•••Nzuri Kwa Waliofanyiwa VIPIMO/TIBA ZA MIONZI ,huwasaidia kupunguza madhara ya MIONZI na kuwafanya wapone haraka etc

SHARE kwa watu na Groups mbali mbali uweze KUWASAIDIA WENGI 🙏🙏

Piga/WhatsApp; 0765438647

 #  # # Full dose ya BAWASIRI bila UPASULIWAJI BIDHAA hizi hutokomeza matatizo yafuatayo:••• VIDONDA VYA TUMBO ••• TUMBO...
11/03/2021

# # #

Full dose ya BAWASIRI bila
UPASULIWAJI

BIDHAA hizi hutokomeza matatizo yafuatayo:

••• VIDONDA VYA TUMBO
••• TUMBO KUJAA GESI MARA KWA MARA
•••KIUNGULIA MARA KWA MARA
••• Hyrochloric ACID nyingi TUMBONI
••• TUMBO KUWAKA MOTO
••• CHEMBE YA MOYO

*** WASIOPATA CHOOO
*** WANAOPATA CHOO KIGUMU na kidogo k**a cha MBUZI
*** MAUMIVU MAKALI WAKATI wa kwenda HAJA KUBWA

***HAJA KUBWA ILIYOCHANGANYIKA NA DAMU
*** KUTOKWA NYAMA /UVIMBE KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA

••• MATATIZO TA MAWE KWENYE FIGO(kidney stones)

••• KICHEFU CHEFU na kutokuwa na HAMU YA KULA etc.

SHARE kwa WATU na GROUPS mbali mbali UWEZE KUWASAIDIA WENGI WANAOTESEKA 🙏🙏

Piga/WhatsApp: 0765438647 / 0620203585

DR COW SMART GUMMIES  Tshs. 75600.  Ni kirutubisho kilichotengenezwa katika mfumo wa p**i ndani yake kina mafuta ya SAMA...
06/03/2021

DR COW SMART GUMMIES Tshs. 75600. Ni kirutubisho kilichotengenezwa katika mfumo wa p**i ndani yake kina mafuta ya SAMAKI, MAZIWA, MATUNDA YENYE MCHANGANYIKO WA VITAMINI C, kwa matumizi ya watoto na watuwazima. KAZI ZAKE: 1. INAONGEZA HAMU YA KULA. 2. INASAIDIA KATIKA UKUAJI WA MIFUPA NA UBONGO. 3. INASAIDIA WATU WENYE MATATIZO YA MACHO KUTOKANA NA VITAMIN C KWA WINGI ILIYO NDANI YAKE. 4.INAONGEZA MADINI YA CHUMA. 5.INASAIDIA UKUAJI WA MIFUPA NA KUONDOA CHANGAMOTO ZA ULEMAVU KWA MTOTO. 6. INAMSAIDIA MAMA MJAMZITO KUKUZA VIZURI KIUMBE TUMBONI KUTOKANA NA WINGI WA MADINI YA CHUMA. 7.INASAIDIA KUSHIKIRIA MJI WA MIMBA MAMA ASIWEZE KUJIFUNGUA KABLA YA WAKATI( MISCARRIAGE)

05/03/2021

⭐VIDONDA VYA TUMBO

Ni ugonjwa ambao hutokea pale ambapo kuta za utumbo mkubwa kupata vidonda au utumbo mdogo kupata vidonda, na hualibuliwa na vyakula vyenye makemikali mengi ,na kutokula kwa wakati,,,Na vidonda hivi hujitokeza baada ya kuharibika kwa kuta za utumbo

💫ZIJUE AINA ZA VIDONDA VYA TUMB,,Kuna aina mbili za vidonda vya tumbo
1️⃣Ganstric arsasi,Hutokea ndani na ni kwenye utumbo mkubwa
2️⃣Deordenal arsas,hivi hutokea kwenye utumbo mdogo kwenye sehemu ya juu ya utumbo

⭐JE MTU ATAJUAJE K**A ANA VIDONDA VYA TUMBO 👇🏻DALILI ZAKE
🌹Maumivu makali ya tumbo
☘️Kiungulia (heat burning)
🌸Tumbo kujaa gesi
🌺Kichefu chefu mpaka kutapika
🍀Kupata haja kubwa yenye rangi ya kahawaia
🌺Kujisaidia choo chenye damu
☘️Kupoteza hamu ya kula na kupoteza uzito

SABABU AU VISABABISHI VYA VIDONDA VYA TUMBO
☘️Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu mwilini k**a vile asprin
🌺Bacteria aina ya herectobacteria,,huyu ni Bactria ambaye huingia kwenye utumbo na kuutuboa hivyo husababisha vidonda vya tumbo
🍀Kuwa na msogo wa mawazo (stress)
🌸Kula vyakula vyenye kuzalishwa na acid mfano mbilimbi na Malimao
🌹Kunywa pombe na vinywaji vingine vikali kam vile piwa/gongo
🌸Kutokula kwa wakati maalum

⭐MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO
🌹Kupata kansa ya utumbo
☘️kukosa hamu ya kula
🌸kuwa na kichefu chefu mara kwa mara
🍀Kupata maumivu ya tumbo mara kwa mara
🌺Tumbo kujaa gesi na kupata viungulia

⭐NJIA ZA KUJIKINGA NA VIDONDA VYA TUMBO
🌹Kupunguza msongo wa mawazo
🌸Kufanya mazoezi
☘️Kula vyakula bora ,usile vyakula vyenye acid

UGONJWA HUU UNATIBIKA PIA PIGA SIMU KWA TIBA NA USHAURI

0765438647

Huu ni ute ambao kila mwanamke anatakiwa kuupata anapokuwa katika siku zake za hatari ama siku za kupata mimba ukikosa h...
28/02/2021

Huu ni ute ambao kila mwanamke anatakiwa kuupata anapokuwa katika siku zake za hatari ama siku za kupata mimba ukikosa huu ute unaashiria matatizo katika kizazi

Pia kwa baadhi ya wanawake huwa wanakosa huu ute sababu ya kitumia uzazi wa mpango kuwa na tatizo la hormone imbalance au pid

Kwa elimu zaidi juu ya magonjwa haya nitumie mesej kwa wasap namba 0765438647

KWANINI UFANYIWE UPASUAJI AU UTOLEWE KIZAZI SABABU YA UVIMBE?  TUMIA REFINED YUNZH KWA SABABU.......!✔Hutibu fibroids (u...
27/02/2021

KWANINI UFANYIWE UPASUAJI AU UTOLEWE KIZAZI SABABU YA UVIMBE? TUMIA REFINED YUNZH KWA SABABU.......!
✔Hutibu fibroids (uvimbe kwenye kizazi bila upasuaji)

✔Hupandisha na kuimarisha kinga za mwili hivyo kuwa na msaada kwa wote wajaliao afya zao na hata wenye kinga daifu

✔Husaidia sana wagonjwa wenye kansa na wale walio kwenye tiba ya mionzi au dawa za kansa

✔Husaidia wanawake wenye tatizo la hormone imbalance, wenye matatizo ya P.I.D na kurekebisha hedhi zao na kuondoa kabisa maumivu ya tumbo la hedhi

✔inasaidia kutibu kabisa HPV Human papiloma virus ni UGONJWA mbaya sana na unawasumbua san wanawake huwa k**a visunzu vinavyoota ukeni
maelezo na ushaur zaid;;:
👉

Tuishi humo afya n mtaj!!!

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nayla health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Nayla health care:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram