JUA AFYA YAKO

JUA AFYA YAKO TUNAWASAIDIA WATU WENYE CHANGAMOTO KAMA
1:UZAZI
2:UZITO
3:SKIN CARE

*this is what really means to be in a BIG BUSINESS*
28/07/2024

*this is what really means to be in a BIG BUSINESS*

Afya ya ngozi (CHUNUSI au MBA)Umeshahangaika kutafuta suluhisho la ngozi yako lakini halitaki kuisha. Wengi wetu hutafut...
15/02/2023

Afya ya ngozi (CHUNUSI au MBA)

Umeshahangaika kutafuta suluhisho la ngozi yako lakini halitaki kuisha. Wengi wetu hutafuta suluhisho la nje hali ya kuwa tatizo limeanza ndani na unachagua bidhaa sio rafiki kwa ngozi yako.

Kutana na bidhaa asili zilizotengenezwa kwa kuzingatia afya ya mtumiaji na kutumika nchi zaidi ya 155 duniani ambazo zitakusaidia kutatua changamoto hiyo

Afya ya Ngozi(CHUNUSI au MBA)Ushawahi kutafuta suluhisho la ngozi yako lakini halitaki kuisha, ngoja nikujuze siri ya ku...
15/02/2023

Afya ya Ngozi(CHUNUSI au MBA)

Ushawahi kutafuta suluhisho la ngozi yako lakini halitaki kuisha, ngoja nikujuze siri ya kuwa na mwonekano mzuri wa ngozi yako na kupata suluhisho la pekee kwa afya ya ngozi yako.

Kuna aina tofauti za ngozi, huenda hujui aina gani ya ngozi yako ndio maana unajaribu kutumia njia mbalimbali ambazo hazikusaidii lakini pia wengi hutumia bidhaa ambazo sio rafiki na mara nyingi tatizo huanza ndani.

Kutana na bidhaa asili zilizotengenezwa kwa kuzingatia afya ya mtumiaji na kutumika nchi zaidi ya 155 duniani ambazo zitakusaidia kutatua changamoto hiyo

K**A UNAUZITO ULIOPITILIZA MAKALA HII INAKUHUSU:Tatizo la uzito uliopitiliza au unene linawasumbua watu wengi sana dunia...
12/02/2023

K**A UNAUZITO ULIOPITILIZA MAKALA HII INAKUHUSU:

Tatizo la uzito uliopitiliza au unene linawasumbua watu wengi sana duniani, unene uliopitiliza unaathiri afya kiujumla kwani ndio chanzo cha magonjwa makubwa k**a;
-kisukari
-magonjwa ya moyo
-upungufu wa nguvu za kiume
-presha
-hormonal imbalance
-matatizo ya uzazi
-saratani

Njia rahisi na sahihi kiafya ili kupunguza uzito au unene uliopitiliza ni kutumia nutritional program ambayo itakupa faida mbalimbali k**a vile;
-kusafisha utumbo mpana
-kuondoa mafuta mabaya(cholesterol)
-kuondoa sumu na takamwili
-kukupa mwili nguvu usichoke ovyo
-kukupa mwonekano mzuri
-kusafisha ngozi na kuwa na mwonekano mzuri wa ngozi yako
-kufanya mwili kuwa mwepesi
-kukupa virutubisho muhimu mwilini huku ukiwa unapungua

12/02/2023

K**A UNAUZITO ULIOPITILIZA MAKALA HII INAKUHUSU;

Tatizo la uzito mkubwa ni tatizo linalosumbua watu wengi sana na ndio chanzo cha magonjwa makubwa. Takribani watu bilioni 1 na zaidi wanasumbuliwa na tatizo hili la uzito mkubwa au unene.

Magonjwa yanayosababishwa na uzito uliopitiliza ni k**a:
👉Kisukari
👉Magonjwa ya moyo
👉Hormonal imbalance
👉upungufu wa nguvu za kiume
👉Saratani ya matiti
👉presha
👉Matatizo ya uzazi

Njia sahihi ya kutumia ili kuweza kupunguza uzito uliopitiliza kiurahisi ni kutumia nutritional program ambayo itakusaidia

-kuondoa mafuta mabaya(cholesterol)mwilini

-kusafisha utumbo mpana

-kuondoa takamwili

-kuongeza nguvu mwili usichoke

-kukupa mwonekano mzuri

-kuufanya mwili kuwa mwepesi

-inang'arisha ngozi na kuwa na mwonekano mzuri wa ngozi yako

Fibroids ni nini?Fibroids ni uvimbe usio wa saratani ambao hujitokeza kwenye kuta za mfuko wa mimba,uitwao uterusi, uvim...
27/11/2022

Fibroids ni nini?

Fibroids ni uvimbe usio wa saratani ambao hujitokeza kwenye kuta za mfuko wa mimba,uitwao uterusi, uvimbe huu husababisha kubadilika kwa shape na size ya kizazi na pia dalili zingine mbaya. Wanawake wengi huanza kupata maumivu makali wakati wa hedhi kutokana na uwepo wa uvimbe kwenye kizazi(fibroids . Ni jambo la msingi zaidi kwa wanawake wote kuchukua hatua katika kuzuia kutokea kwa fibroids.

Tafiti mbalimbali zinaonesha kwamba kuzuia au kutibu tatizo la kupanda kwa presha ya damu husaidia kupunguza hatari ya kupata uvimbe kwenye kizazi (fibroids). Utafiti uliofanyika katika chuo kikuu cha Havard unasema kuna uhusiano mkubwa kati ya presha ya damu na hatari ya kupata uvimbe kwenye kizazi(fibroids) kwa wanawake wanaokaribia kukoma hedhi.

Unajuaje k**a tayari una uvimbe kwenye kizazi (fibroids)

Je fibroids inaweza kusababisha kuvuja damu, maumivu ya mgongo na dalili zingine mbaya? Inawezekana kabisa lakini siyo kila mwanamke mwenye fibroids hupata dalili hizi, lakini pia uwepo wa dalili hizi siyo lazima kwamba una fibroids, unaweza kuwa na tatizo lingine la kiafya, ushauri mzuri ni kuonana na dactari haraka ili kupata vipimo. Zifuatazo ni dalili zinazojitokeza kwa wanawake wengi zaidi wenye uvimbe kwenye kizazi

▪Kupata Hedhi inayochukua siku nyingi kuanzia 7 na zaidi
▪Hedhi nzito
▪Kujiskia umeshiba mda mwingi
▪Maumivu ya nyonga
▪Kupata mkojo mara kwa mara na kushindwa kutoa mkojo wote kwenye kibofu.
▪Kukosa choo kwa muda mrefu au kupata choo kigumu
▪Kupata maumivu wakati watendo la ndoa
▪Maumivu chini ya mgongo na kwenye miguu.
▪Madhara mablimbali ya uzazi k**a ugumba na mimba kutoka.

Uvimbe kwenye kizazi(fibroids) wakati wa ujauzito:

Wakati mwingine mwanamke anaweza kupata fibroids akiwa kwenye ujauzito, ni dalili gani zinaweza kujionesha?
Uvimbe kwenye kizazi(fibroids) inaweza kusababisha shida wakati wa kujifungua na kupelekea mwanamke kujifungua kwa upasuaji. Inaweza kupeleke ugumba pia k**a tatizo ni kubwa sana kutokana na kwamba inakuwa vigumu kwa yai kurutubishwa na kisha kujishikiza kwenye ukuta wa uterus maana tayar kumesambaa uvimbe. Kwa wanawake ambao bado hawajazaa hushauriwa kutumia dawa ili kupunguza ukubwa wa uvimbe kabla ya kupata ujauzito, k**a tatizo ni kubwa zaidi basi upasuaji hufanyika kabla ya kushika mimba. Kumbuka ni vizuri kufanya vipimo kabla hujaamua kushika ujauzito, hii itakusaidia kupunguza hatari ya kumpoteza mtoto.

Fibroids huweza kuongezeka ukubwa wakati wa ujauzito kutokana na kiasi kikubwa cha homoni ya estrogen. Kuvuja damu na maumivu ya tumbo pia huweza kutokea kutokana na uvimbe kupoteza damu yake. Kwahiyo madactari wa wanawake hupendekeza mgonjwa kufanyiwa ultrasound mara kwa mara ili kufatilia maendeleo ya uvimbe.

Aina za uvimbe kwenye kizazi(fibroids)

Jina la kitabibu la fibroids ni leiomyoma au myoma. Ukubwa, mahali ulipo uvimbe na pia idadi ya vimbe hizi inachangia zaidi kwenye uwepo wa dalili mbaya aatakazopata mwanamke. Inawezekana kabisa kuwa na aina zaidi ya moja ya fibroid katika md mmoja k**a zitatokea mahali tofauti tofauti kwenye uzazi wa mwanamke. Aina kuu za uvimbe kwenye kizazi(fibroids) ni k**a zifuatazo

▪Intramural fibroids; ni aina marrufu zaidi na zinawatokea zaid wanakwake. Aina hii ya fibroid hukua na kumea kwenye misuli ya ukuta wa uterus. Kadiri zinavokua basi husababisha kupanuka au kuvutika kwa kizazi na kusababisha dalili k**a hedhi ya muda mrefu inayoambatana na maumivu ya nyonga.

▪Subserosal fibroids: aina hii ya fibroids hukua nje ya ukuta wa mfuko wa mimba, wakati mwingine kuelekea kwenye kibofu cha mkojo. Aina hii ya fibroids huweza kusababisha maumivu ya chi ya mgongo kutokana na kwamba uvimbe huu unasukuma nerve za sipnal na kusababisha presha kubwa kwenye eneo la chini ya mgongo.

▪Submucosal fibroids: aina hii ya fibroid hukua karibu na ukuta wa uterus. inaweza kusababisha bleed ya muda mrefu na shida kwenye kushika ujauzito.

▪Cervical fibroids: hizi hukua kwenye tishu za mlango wa kizazi ambao huitwa cervix, hutokea mara chache sana ukilinganisha na aina zingine za fibroids.

Vihatarishi gani vinaongeza uwezekano wa kupata fibroids: dalili zifuatazo zinaongeza uwezekano kwa mwanamke kupata uvimbe kwenye kizazi

▪Kurithi: k**a mama au dada yako aliwahi kuugua tatizo hili basi wewe pia utakuwa kwenye hatari zaidi ya kupata uvimbe huu.

▪Umri: uvimbe kwenye kizazi (fibroids) hutokea zaidi kwa wanawake wanaokaribia kukoma hedhi kuanzia miaka 35 mpaka 40.

▪Lishe: matumizi ya vyakula vya wanga na sukari kupita kiasi huongeza hatari ya kupata fibroids

▪Uzito mkubwa na kitambi: wanawake wenye uzito mkubwa na kitambi wako kwenye hatari zaidi ya kupata fibroids .

▪Wanawake wenye shinikio kubwa la damu
Matumizi ya njia za kupanga uzazi: k**a vidonge huongeza ukuaji wa fibroids kwani vidonge hivi huweza kupandisha homoni ya estrogen kwa wingi

▪Kubalehe mapema: wanawake wanaobalehe mapema na kuanza kupata hedhi chini ya miaka 10 wako kwenye hatari zaidi ya kuugua fibroids.

▪Na pia wenye matatizo ya tezi ya Thairodi.

Natumaini mmepata kujifunza mengi kuhusiana na hii hali ambayo inasumbua wanawake duniani sisi k**a wa shauri wa kiafya tunatoa elimu juu ya afya lakini pia tunasambaza virutubisho au tiba lishe ambayo inasaidia kukupa kinga dhidi ya fibroids au k**a tayari una fibroids hivi virutubisho vyetu vitakusaidia kuyeyusha huo uvimbe karibuni nyote na sambaza taarifa njema kuhusiana na page yetu usisahau kulike na kusharw ili taarifa hii iwafikie wengi zaidi na kwa maelezo zaidi au jinsi ya kupata hivi virutubisho tuwasiliane kwa kupiga/Sms 0786611081 (Ipo pia whatsapp) na tunadeal na magonjwa mengi sugu k**a kisukari, Tezi dume, cancer, nguvu za kiume n.k.

Karibuni Nyote Tanzania yenye Afya Bora Inawezekana.

Mgonjwa wa Fibroids (Vimbe katika tumbo la uzazi) amepona baada ya kutumia Bidhaa zetu za Alliance In Motion Global hivi Ni virutubisho vya asili na havina m...

UFAHAMU UGONJWA WA  TEZI DUME NA MADHARA YAKE. Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiun...
21/11/2022

UFAHAMU UGONJWA WA TEZI DUME NA MADHARA YAKE.

Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini.

Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.

Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mno. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.

Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.

Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume,

mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.

Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13

II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi.

Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume

- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini

- Uwepo wa sumu nyingi mwilini

- Kutokufanya mazoezi

- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara

- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)

- Msongo wa mawazo ( Stress )

- Magonjwa ya zinaa

- Umri mkubwa

- Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,

- Historia ya Familia (Kurithi)

- Sababu za kimazingira (Ethnicity)

III. DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

Mtu mwenye tatizo katika tezi huanza kwa dalili ndogo ndogo sana,

Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10.

Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne.

Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki bali Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako

mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu

- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu

- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo

- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa

- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.

- Homa

- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu

- Miguu kuwa dhaifu

- Kushindwa kumudu tendo la ndoa , au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa

- Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa

- Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji

- Tumbo kuja gesi mara kwa mara

IV. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA

Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama.

Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.

Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka

- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.

- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa

- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)

- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)

- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)

- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume

- Kifo

V. SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA.

SULUHISHO PENDWA

a) Suluhisho Linalopendwa

Watu wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.

Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.

Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka

1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:

Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali k**a madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.

2. Madawa

“Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”

– Johnathon Waxman, Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London

3. Upasuaji

Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”

– Johnathon Waxman

Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.

SULUHUSHO LA KUDUM

b) Suluhisho la kudumu (Bora)

Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho ambavyo mwili unavihitaji. Hivyo basi program maalumu ya virutubisho imeandaliwa

Kwa watu wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume.

Kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu . Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika mwili wa mwanaume ili kutengeneza afya bora na nadhifu.

Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo: Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.

Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha afya yake ya Tezi Dume (Prostate Gland) na mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume,

awasiliane nasi Utapata ufumbuzi.
Wasiliana nasi

+255786611081

+255786611081

JE UNAFAHAMU UZITO MKUBWA (OBESITY) NI TISHIO KWA AFYA YAKO??K**A UNA CHANGAMOTO HII BASI HII MAKALA NI MUHIMU SANA KWAK...
18/11/2022

JE UNAFAHAMU UZITO MKUBWA (OBESITY) NI TISHIO KWA AFYA YAKO??

K**A UNA CHANGAMOTO HII BASI HII MAKALA NI MUHIMU SANA KWAKO, KWANI UTAPATA ELIMU NA SULUHISHO SAHIHI.

🔰Uzito mkubwa wa kupindukia ni tatizo kubwa la kiafya katika maisha yetu ya kisasa.

🔰Uzito unapozidi kiwango ambacho kinahitajika kwa mtu husika kunachangia matatizo mengi ya kiafya.

🔰Kwa mujibu wa Takwimu zilizotolewa na shirika la afya duniani, zaidi ya watu bilioni 1.5 duniani wamezidisha uzito wa miili yao. Milioni 500 kati yao huwa na uzito wa kupindukia.

🔰Tatizo hili la UZITO uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini.

🔰Njia rahisi inayokubalika ya kuweza kugundua k**a mtu ni MZITO/MNENE kupita kiasi inafahamika k**a kipimo cha Body Mass Index (BMI).

🔰Vipimo hivi vya BMI ndio vinaweza kukujulisha k**a unene ulionao unastahili kulingana na umri, urefu na uzito wako.

🔰Magonjwa yanayoweza kuambatana na tatizo la unene/uzito uliopitiliza ni;

▪Kisukari.

▪shinikizo la damu.

▪Matatizo ya kizazi.

▪kiharusi

▪Magonjwa ya moyo.

▪Kiwango cha juu cha lijamu kwenye damu.

▪Saratani ya matiti.

▪Saratani ya tezi dume.

▪Saratani ya utumbo mpana pamoja na maeneo ya haja kubwa.

▪ Matatizo ya mzunguko na mishipa ya damu k**a vile kuvimba kwa Vena za miguuni.

▪kutokupumua vizuri wakati mtu yupo usingizini.

▪ Upungufu wa nguvu za kiume

▪Ugonjwa wa mifupa k**a yabisi. nk

🔰Epuka kupunguza UZITO kwa kufanya DIET na MAZOEZI TU

🔰Kiafya sio nzuri, kupungua utapungua lakini huwezi kudetox mwili wako kwa kutoa sumu tulizonazo na vilevile ngozi yako itanyauka kwa kuunyima mwili virutubisho muhimu kwa kufanya diet.

HII NI NJIA SAHIHI NA BORA YA KUPUNGUZA UZITO KIAFYA ILIYOTHIBITISHWA KWA AJILI YA AFYA YAKO.

🔰Nutritional Program ni njia sahihi ya kupunguza mwili kiafya iliyothibitishwa kwa ajili ya afya yako.

🔰Pia imetengenezwa na viini LISHE vya asili vya mmea wa aloe vera na asali ya nyuki wadogo kwa ajili ya kupunguza unene na mafuta yaliyozidi mwilini, Na kusafisha sumu mwilini.

🔰PROGRAM Hii Itakupa faida nyingi k**a ifuatavyo :-

◆ Itakusaidia kuondoa Mafuta Mabaya (cholesterol) mwilini

◆ Itakusaidia kusafisha njia Ya mmeng'enyo Wa Chakula (alimental canal)

◆Virutubisho vilivyopo vitakusaidia kusafisha Sumu Mwilini (Detoxification)

◆Itakusaidia Kupunguza Uzito.

◆Itakufanya ujenge SELI mpya na kukufanya NGOZI yako ing'ae na iimarike mara dufu.

◆Itakusaidia Kuboresha Muonekano Wako Pamoja Na Kuwa Na Afya Bora.

🔰Watu Wengi Wametumia program hii na imewapa matokeo mazuri, naamini na wewe ukiamua kutumia programu hii utakuwa miongoni mwao, kwa kuwa na mwili wenye mwonekano mzuri na wenye afya

JE UNGEPENDA KUANZA KUTUMIA PROGRAMU HII... KUPITIA NAMBA 0786611081 PGA WHATSAPP KUNCHEKI NIKUPATIE PROGRAM HII

Address

Goba
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255786611081

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JUA AFYA YAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram