Afya Tip

Afya Tip TUNAHUSIKA NA AFYA KWA
WANAWAKE NA WANAUME
KUPITIA VIRUTUBISHO LISHE NA MAZOEZI

TIBA ASILIA YA UGONJWA WA MIFUPA➡️Ili kusaidia watu wenye matatizo ya mifupa, sasatumekuletea dawa maalum ya asili iliyo...
19/05/2023

TIBA ASILIA YA UGONJWA WA MIFUPA

➡️Ili kusaidia watu wenye matatizo ya mifupa, sasa
tumekuletea dawa maalum ya asili iliyo katika mfumo
wa capsules (vidonge) inayoweza kufanya yafuatayo;
-Kuimarisha mifupa na misuli pamoja na kujenga
viungio vya mwili.
-Pia inaondoa uvimbe katika joints.
-Pia inaboresha mzunguko wa damu katika mifupa.
-Pia inaondoa maumivu katika viungo vya mwili
➡️INAMFAA KWA WATU WA AINA GANI?
-Inafaa kwa watu wote wenye matatizo ya mifupa.
-Wanawake waliomaliza kuzaa na waliokoma hedhi.
-Watu wote wenye kusumbuliwa na misuli.
-Mtu yeyote anayetaka kuimarisha Viungo na
kuongeza ufanisi katika mwili wake.
➡️KWA MAWASILIANO JINSI YA KUPATA TIBA ZETU
Tunapatikana Dar Es Salaam kwa walio mikoani
tutawasiliana jinsi ya kutuma.
WhatsApp/sms 0714138382

♐UGONJWA WA BAWASIRI - ( Hemoroid ) ♐▶️ Ni pale mishipa ya veins (nyama) zinapojitokeza eneo la haja kubwa (A**s)Hali hi...
19/05/2023

♐UGONJWA WA BAWASIRI - ( Hemoroid ) ♐

▶️ Ni pale mishipa ya veins (nyama) zinapojitokeza eneo la haja kubwa (A**s)
Hali hii humfanya mtu ajisikie hali ya kukera sana na wakati mwingine maumivu makali.

▶️ Hali ya kukera hutokea kipindi Mgonjwa anapojaribu Kwenda chooni kupata haja kubwa ila kwa wengine hali hii huwafanya wapate maumivu kila wakati na kujisikia vibaya sana na kushindwa kufanya mambo mengine.

▶️ Mara nyingi bawasiri huendana na kupata Choo Chenye damu.

▶️ Kawaida eneo la haja kubwa lina mishipa ya damu mingi aina ya VEINS na mishipa hii IPO juu juu sana. Sasa presha inapoongezeka eneo hili mishipa hiyo hupasuka na hujitokeza kwa nje hivyo huonekana k**a nyama zimejitokeza.

▶️ Ingawa wakati mwigine BAWASIRI hujitokeza ndani kabisa ya njia ya haja kubwa hivyo hufanya bawasiri iwe ya ndani bila nyama kutokea nje ya haja kubwa MTU atajisikia hali ya kukera bila nyama kutoka nje kwa hiyo hii inaitwa BAWASIRI ya ndani.

▶️ SABABU ZA BAWASIRI KUTOKEA🕳

1⃣KUPATA CHOO KIGUMU.

▶️ Choo kigumu huongeza presha eneo la haja kubwa hivyo husababisha bawasiri kutokea
Hii hutokea zaidi kwa watoto wadogo na watu wenye constipation au wenye tatizo la kutopata choo.

2⃣UZAZI (MIMBA).

Huongeza presha eneo la nyonga hivyo huongeza presha eneo la haja kubwa hivyo huongeza nafasi ya kupata bawasiri

3⃣KITAMBI (OBESITY).

Pia huongeza presha eneo la nyonga, hii hupelekea huongeza presha eneo la haja kubwa.

4⃣KUNYANYUA VITU VIZITO🕳

Pia huongeza presha eneo la haja kubwa,pia huongeza nafasi ya kupata bawasiri

▶️ Mara nyingi watu wengine hufanyiwa UPASUAJI kutatua tatizo hili kwa jinsi lilivyo.

▶️ TIBA YA BAWASIRI BILA UPASUAJI🕳

▶️ Zipo tiba za aina nyingi katika kutatua ugonjwa huu! Ila kwetu sisi tunatumia njia mbadala ambayo huondoa tatizo hilo Kabisa na hutakuwa na haja ya kufanyiwa upasuaji. KWA USHAURI NA TIBA WASILIANA NAMI KWA 0714138382

*FAHAMU DALILI HATARI ZA KISUKARI NA TIBA YAKE  BILA KUCHELEWA*  *• Kukojoa mara kwa mara* :Jee, umekuwa na tabia ya kwe...
03/04/2023

*FAHAMU DALILI HATARI ZA KISUKARI NA TIBA YAKE BILA KUCHELEWA*

*• Kukojoa mara kwa mara* :
Jee, umekuwa na tabia ya kwenda kupata haja ndogo mara kwa mara? K**a jibu ni ndiyo, basi figo zako sasa haziwezi kuirudisha glucose kwenye mfumo wa damu na badala yake zinachukua maji kutoka kwenye damu na kusababisha kibofu kijae mara kwa mara.

• *Kiu Isiyoisha:*
K**a unakojoa mara kwa mara, utapata kiu isoisha kwa sababu mwili unahitaji kurudisha maji uliyopoteza kwenye mkojo.

• *Njaa Kali:*
K**a isulin yako haifanyi kazi au k**a huna insulin, mwili wako unakosa glucose ya kuupa nguvu. Katika kutafuta njia nyingine ya kupata nguvu, mwili utakuwa na njaa ili uupatie chakula.

*• Kupungua uzito kusiko kawaida*
Hili huwatokea zaidi wagonjwa wa Type 1 Diabetes kwa sababu kwa kukosa insulin na seli kukosa chanzo cha kupata nguvu, mwili huanza kuvunjavunja misuli na kuyeyusha mafuta ya mwili ili upate nguvu hiyo halix inayochangiwa zaidi na tabia ya kisukari cha aina hiyo kujitokeza kwa ghafla.

• *Uchovu wa mwili:*
Mwili unapokosa glucose ya kuzipa seli nguvu, uchovu hutokea mara kwa mara.

• *Hasira:*
Hasira zinaweza kuwa ni sababu ya mwili kukosa nguvu, au masharti ya vyakula

• *Kutoona vizuri:*
Ugonjwa huu husababisha mtu kushindwa kuviona vitu vizuri. Tatizo hili hutibika lakini mara nyingine hali huweza kuwa mbaya kiasi cha kuwa na tatizo la kudumu au kupata upofu.

*• Uwezo mdogo wa kushiriki tendo la ndoa:*
Hili ni tatizo hasa la wanaume wenye umri unaozidi miaka 50, ambapo mara nyingi watakosa uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kikamilifu au uwezo wao wa kufanya tendo hilo kufa kabisa (Erectile Dysfunction).

Kwa ushauri na Matibabu kumaliza kabisa tatizo hili.
Wasiliana nasi Kwa namba Zifuatazo;
No:0714138382Au
Unaweza kutembelea ofisi zetu zilizopo
Mbezi Luis
Dar es salaam.
TUNAJALI AFYA YAKO KWANZA 🩺🤝💓🙏

TIBU NGUVU ZA KIUME KWA SIKU 15-30 TUBILA KUTUMIA KEMIKALI BALI KWA VYAKULA, MAZOEZI PAMOJA NA PROGRAM MAALUMWASILIANA N...
03/04/2023

TIBU NGUVU ZA KIUME KWA SIKU 15-30 TU
BILA KUTUMIA KEMIKALI BALI KWA VYAKULA, MAZOEZI PAMOJA NA PROGRAM MAALUM
WASILIANA NASI 0714138382
USHAURI NI BURE

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255714138382

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Tip posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram