Afya ya viungo na mifupa

Afya ya viungo na mifupa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ya viungo na mifupa, Medical and health, Dar es Salaam.

FAIDA ZA KUTUMIA PACKAGE YETU YA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME (SILAHA YA NYUMBA) ITAKUSAIDIA KUMALIZA CHANGAMOTO ZOTE HIZO1 ...
14/08/2024

FAIDA ZA KUTUMIA PACKAGE YETU YA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME (SILAHA YA NYUMBA) ITAKUSAIDIA KUMALIZA CHANGAMOTO ZOTE HIZO

1 Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi

2 Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja.

3 Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za Siri.

4 Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii ule uchangamfu unapotea kabisa.

5. Nyeti zinasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa mwanamke Zinasinyaa Hapa Wengi huhisi kwamba Wamerogwa Lakini ukweli Ni Kwamba hawajarogwa.

6. Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.

kushindwa kurudia Mara ya Pili Tatu na nne unakuta ukishatoa Goli Mara Moja, Basi mashine inakata Moto haisimami Tena hata ufanyeje inazidi kulala.

8 Mashine kulala Ndani ya Nyeti Za Mwanamke unakuta upo katika ya Game mzigo unalala ghafla na kulegea Ndani kwa Ndani.

KUIPATA PACKAGE HIYO TUPIGIE SIMO MOJA KWA MOJA KUPITIA NAMBA HII 0715138438.

Au tutumie message Whatsapp kupitia Namba hii 0715138438

NB: LEO TOMETOA OFFER WOTE MTAKAO LIPIA PACKAGE

CHANGAMOTO ZA MIFUPA NA MAUNGIO ZINAWEZA  KUJUMUISHA :-majeraha, ugonjwa wa mifupa k**a vile osteoporosis au arthritis, ...
02/04/2024

CHANGAMOTO ZA MIFUPA NA MAUNGIO ZINAWEZA KUJUMUISHA :-
majeraha, ugonjwa wa mifupa k**a vile osteoporosis au arthritis, na matatizo ya kimetaboliki k**a vile upungufu wa madini ya calcium au vitamin D. Ni muhimu kuzingatia lishe bora, mazoezi ya mara kwa mara, na kuepuka hatari za kuumia ili kudumisha afya bora ya mifupa na maungio.
VISABABISHI VYA CHANGAMOTO YA MIFUPA NA MAUNGIO ni pamoja na:

1. Lishe duni: Upungufu wa madini muhimu k**a calcium na vitamin D unaweza kusababisha udhaifu wa mifupa.

2. Ukosefu wa mazoezi: Mazoezi husaidia katika kudumisha nguvu na muundo wa mifupa.

3. Umri: Mifupa hupungua nguvu na kuwa dhaifu kadiri umri unavyoongezeka, hii huitwa osteoporosis.

4. Maumbile: Baadhi ya watu wanaweza kuwa na hatari kubwa ya matatizo ya mifupa na maungio kutokana na sababu za maumbile.

5. Matumizi ya dawa: Baadhi ya dawa k**a vile corticosteroids inaweza kusababisha upungufu wa madini ya mifupa na kuongeza hatari ya kuvunjika mifupa.

6. Magonjwa: Magonjwa k**a vile arthritis yanaweza kusababisha uharibifu wa maungio na mifupa.

7. Mazingira: Kuumia, ajali, au shughuli zenye hatari kubwa za kimwili zinaweza kusababisha kuvunjika mifupa.
NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA MATATIZO YA MIFUPA NA MAUNGIO KUNAJUMLISHA HATUA KADHAA MUHIMU:

1. Lishe bora: Hakikisha unakula vyakula vyenye kiasi cha kutosha cha calcium na vitamin D, k**a vile maziwa na bidhaa za maziwa, samaki k**a vile samaki wa mafuta, na vyakula vilivyopikwa kwa kuongeza vitamin D.

2. Mazoezi: Fanya mazoezi ya mara kwa mara yanayojumuisha mifupa k**a vile kutembea haraka, kuruka kamba, au mazoezi ya kupiga vyuma. Mazoezi haya husaidia kudumisha nguvu na muundo wa mifupa.

3. Epuka uvutaji sigara na unywaji pombe kupita kiasi: Uvutaji sigara na unywaji pombe kupita kiasi vinaweza kuathiri afya ya mifupa.

4. Pima afya yako: Kupima viwango vya madini ya mifupa na maungio k**a vile calcium na vitamin D inaweza kusaidia kugundua mapema upungufu wowote na kuchukua hatua mapema.

Watu wanapona changamoto zao za mifupa wewe je unasubilia nini 🔥🔥
30/03/2024

Watu wanapona changamoto zao za mifupa wewe je unasubilia nini 🔥🔥

TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO KWA WASUMBULIWAO NA MAUMIVU YA MGONGO KIUNO NYONGA NA MAUNGIO (JOINTS)Maumivu ya kusambaa kuto...
12/03/2024

TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO KWA WASUMBULIWAO NA MAUMIVU YA MGONGO KIUNO NYONGA NA MAUNGIO (JOINTS)

Maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye magoti na nyayo za miguu kufa ganzi

Matatizo haya huweza kumpata mtu yoyote
Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo kushuka na makalio Huenda Hadi kwenye paja na kwenye miguu kuhisi ganzi Kali sana .

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa na kuruka.

SABABU ZA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGO (mgongo, Kiuno, nyonga)

1.Umri Mkubwa hupelekea virutubisho vya msingi kupungua Kwa Kasi mwili na kupelekea Ute Ute kuisha na maumivu makali ya mifupa.

2.Uzito Mkubwa nao huongeza Mkandamizo kwenye joint na kupelekea maumivu yazidi.

3.Kujichua Kwa muda mrefu huchochea maumivu ya mgongo hii nikwasababu madini ya zink hupungua sana .

4.kazi zako ,k**a kazi zako nizakuinama sana maumivu yatazidi zaidi .

5.kulala Kwa muda mrefu ,mawazo nivitu vinavyochangia tatizo Hilo .

MADHARA YA MAUMIVU HAYO NI K**A IFUATAVYO

1.Ganzi Kali sana kwenye miguu na mikono .

2.kushindwa kutembea kabisa na ulemavu wa kudumu.

3.Kuwahi kufika kuleleni mapema wakati wa tendo la ndoa .

4.Stroke/Kiharusi

HABARI NJEMA NI KWAMBA
kwamba baada yakufanya utafiti wa kina kwa mda mrefu sasa tiba imepatikana,tiba ya uhakika na ya haraka
Kwa matibabu ya haraka na sahihi wasiliana nasi,+255715138438

Utajipatia offer maalumu ya msimuu huu wa Ramadhan Mubarak

Whatsap https://wa.me/c/2556715138438

🥲jinsi unavyoweza kupona shida ya MIFUPA na MAUNGIO tena bila upasuaji SOMA HAPA...🥲Changamoto ya MIFUPA na maungio imek...
11/03/2024

🥲jinsi unavyoweza kupona shida ya MIFUPA na MAUNGIO tena bila upasuaji SOMA HAPA...🥲
Changamoto ya MIFUPA na maungio imekuwa ikiwapata watu wengi Karne hii. Idadi kubwa ya watu wanaoteseka na shida hii ni watu rika la miaka 30 na kuendelea na mara chache Kwa watoto WA jinsia zote.

Kwani wewe ni kati ya watu wanaoteswa na changamoto ya viungo na mifupa. Na umeshindwa kupata majibu ya sehem gani sahihi utapata suluhisho baada ya kuhangaika Kwa muda mrefu na kutumia gharama nyingi bila mafanikio ya kutatua changamoto yako...

Inawezekana kabisa Kwa hali uliyonayo Sasa inakutesa kiasi kwamba nashindwa kulala vizur kutokana na maumivu makali ya mgongo, unashindwa kutembea kutokana na maumivu makali ya magoti, unashindwa kupandisha ngazi pia, unashindwa kukimbia kutokana na msuguano katika magoti na maumivu ya nyonga..

Hivyo basi Kuna Habari mpya ya kuwa suluhisho la shida ya mifupa na maungio imepatikana Tena bila upasuaji Wala MATUMIZI ya SINDANO💉 na DAWA💊 za KUPUNGUZA maumivu hivyo kukuepusha kufanviwa upasuaji ama kupata ulemavu wa kudumu...

Kwa kuwa tiba hii imethibitishwa na mamlaka za kitafiti TANZANIA nzima hivyo kukuhakikishia kupona bila madhara yoyote ya kiafya

K**a vile kukusababishia ulemavu wa kudumu, kufanyiwa uwekaji WA vyuma hivyo kufanya gharama za tiba kuwa juu na kushindwa KUHIMILI

nimewasaidia zaidi ya watu 2000 kupona shida hii Tena bila upasuaji ndani ya siku 30 mpaka 90 kutegemea na hatua ya changamoto yako..

USIENDELEE kuteseka wewe, ikiwa wewe ni kati ya wanaosumbuliwa na shida hii ya viungo na mifupa.. wasiliana 0715138438 uwe kati ya watu 20 watakaopewa ushauri na namna nzuri ya kuikabili changamoto hii ndani ya masaa 24

TATUA CHANGAMOTO YA MIFUPA ,MISULI NA MAUNGIO SASA🥲jinsi unavyoweza kupona shida ya MIFUPA na MAUNGIO tena bila upasuaji...
11/03/2024

TATUA CHANGAMOTO YA MIFUPA ,MISULI NA MAUNGIO SASA
🥲jinsi unavyoweza kupona shida ya MIFUPA na MAUNGIO tena bila upasuaji SOMA HAPA...🥲
Changamoto ya MIFUPA na maungio imekuwa ikiwapata watu wengi Karne hii. Idadi kubwa ya watu wanaoteseka na shida hii ni watu rika la miaka 30 na kuendelea na mara chache Kwa watoto WA jinsia zote.

Kwani wewe ni kati ya watu wanaoteswa na changamoto ya viungo na mifupa. Na umeshindwa kupata majibu ya sehem gani sahihi utapata suluhisho baada ya kuhangaika Kwa muda mrefu na kutumia gharama nyingi bila mafanikio ya kutatua changamoto yako...

Inawezekana kabisa Kwa hali uliyonayo Sasa inakutesa kiasi kwamba nashindwa kulala vizur kutokana na maumivu makali ya mgongo, unashindwa kutembea kutokana na maumivu makali ya magoti, unashindwa kupandisha ngazi pia, unashindwa kukimbia kutokana na msuguano katika magoti na maumivu ya nyonga..

Hivyo basi Kuna Habari mpya ya kuwa suluhisho la shida ya mifupa na maungio imepatikana Tena bila upasuaji Wala MATUMIZI ya SINDANO💉 na DAWA za KUPUNGUZA💊 maumivu hivyo kukuepusha kufanviwa upasuaji ama kupata ulemavu wa kudumu...

Kwa kuwa tiba hii imethibitishwa na mamlaka za kitafiti TANZANIA nzima hivyo kukuhakikishia kupona bila madhara yoyote ya kiafya

K**a vile kukusababishia ulemavu wa kudumu, kufanyiwa uwekaji WA vyuma hivyo kufanya gharama za tiba kuwa juu na kushindwa KUHIMILI

nimewasaidia zaidi ya watu 2000 kupona shida hii Tena bila upasuaji ndani ya siku 30 mpaka 90 kutegemea na hatua ya changamoto yako..

USIENDELEE kuteseka wewe, ikiwa wewe ni kati ya wanaosumbuliwa na shida hii ya viungo na mifupa.. wasiliana 0715138438 uwe kati ya watu 20 watakaopewa ushauri na namna nzuri ya kuikabili changamoto hii ndani ya masaa 24

YOUTH EVER ••NIDHAA INAYO ZUIA UZEEE**Bidhaa Hii Huzuia na kuondosha maradhi yote Yatokanayo na UZEE>Hukuzuia UZEE Utoka...
07/03/2024

YOUTH EVER

••NIDHAA INAYO ZUIA UZEEE
**Bidhaa Hii Huzuia na kuondosha maradhi yote Yatokanayo na UZEE
>Hukuzuia UZEE Utokanao na Ngozi kuharibiwa na MIONZI ya jua
>Huzuia Uzee utokanao na Kuugua Maradhi mbali mbali Mara Kwa mara
> Huzuia Maradhi yote ya NGOZI k**a Chunusi,Upele,Harara,MBA,Mapunye
>Nzuri Kwa Waliofanyiwa VIPIMO au TIBA ZA MIONZI
>Huzuia UZEE kutokana na matumizi ya MADAWA mbalimbali na kuondosha SUMU mwilini kutokana na chemical za MADAWA na VYAKULA
> Huongeza MNG’AO ASILI WA NGOZI YAKO
>Huzuia MIWASHO na MCHAFUKO WA DAMU
>Huongeza mnyumbuliko wa Ngozi (Skin Elasticity)
>Huzuia Makunyanzi usoni
>Huondoa MAKOVU na MABAKA mwilini
>Nzuri Kwa WALIO UNGUA NA VIPODOZI, kuharibika Ngozi
>Huzuia PUMU YA NGOZI, ALERGY (Mzio) Aina zote
>Huzuia na kuondosha VITILIGO( kubabuka kwa Ngozi na kuwa na RANGI ISIYO ya kawaida
>Huchochea utendaji kazi wa bacteria 🦠 ASILIA wanaotunza na kulinda Ngozi yako
>Huimarisha UBONGO,Nzuri sana kwa wanaopoteza KUMBUKUMBU
👉Piga cm namba 0715138438
Kwa kupata bidhaa hii adimu na ya muhimu sana
👉BEI NI 300,000/=
OFFER OFFER
📌WATU 5 WA MWANZO WATAPATA PRODUCT HII ADIMU KWA 2,85,000/= karibuni@afya yako mtaji wako.

URIC ACID:NI kemikali ya asili ambayo inapatikana katika mwili WA binadam.kemikalo hii hupatiaka baada ya kuvunjwa vunjw...
29/02/2024

URIC ACID:NI kemikali ya asili ambayo inapatikana katika mwili WA binadam.kemikalo hii hupatiaka baada ya kuvunjwa vunjwa kwa vyakula ambavyo ndani yake kuna kundi la kemikali Aina ya "Purine" ambayo baada ya kuvunjwa ndipo huzalisha kitu kinachojulikana k**a "Uric Acid"
✍🏼katika mwili WA binadamu,kiwango ambacho NI cha kawaida MTU kuwa nacho NI 2.4 -6.0mg/dl(kwa mwanamke) na 3.4-7.0mg/dl(kwa mwanaume)
🩺kiwango cha Uric Acid mwilini hupimwa kwa damu( blood test)
✍🏼kiwango hiki endapi kitazidi mwilini kitasaba bisha matatizo mwilini na hasa katika maeneo ya mwili hasa kwenye maungio ya mifupa/joints
✍🏼katika maungio ya mifupa au joint,MTU anapatwa na maivimakali,kuvimba na kubadilika kwa umbile la maungio ya mifupa na kuwa kumepinda
🩺Hali hii kitaalamu auungonjwa huu hujikana k**a "GOUT"
✍🏼kuzidi kwa kiwango cha utic acid mwilini kinaweza kuwa dalili ya magonjwa k**a vile kisukari, magonjwa ya ini,figo pamoja na saratani n.k...

TATUA CHANGAMOTO YA URIC ACID SASA URIC ACID:NI kemikali ya asili ambayo inapatikana katika mwili WA binadam.kemikalo hi...
29/02/2024

TATUA CHANGAMOTO YA URIC ACID SASA
URIC ACID:NI kemikali ya asili ambayo inapatikana katika mwili WA binadam.kemikalo hii hupatiaka baada ya kuvunjwa vunjwa kwa vyakula ambavyo ndani yake kuna kundi la kemikali Aina ya "Purine" ambayo baada ya kuvunjwa ndipo huzalisha kitu kinachojulikana k**a "Uric Acid"
✍🏼katika mwili WA binadamu,kiwango ambacho NI cha kawaida MTU kuwa nacho NI 2.4 -6.0mg/dl(kwa mwanamke) na 3.4-7.0mg/dl(kwa mwanaume)
🩺kiwango cha Uric Acid mwilini hupimwa kwa damu( blood test)
✍🏼kiwango hiki endapi kitazidi mwilini kitasaba bisha matatizo mwilini na hasa katika maeneo ya mwili hasa kwenye maungio ya mifupa/joints
✍🏼katika maungio ya mifupa au joint,MTU anapatwa na maivimakali,kuvimba na kubadilika kwa umbile la maungio ya mifupa na kuwa kumepinda
🩺Hali hii kitaalamu auungonjwa huu hujikana k**a "GOUT"
✍🏼kuzidi kwa kiwango cha uric acid mwilini kinaweza kuwa dalili ya magonjwa k**a vile kisukari, magonjwa ya ini,figo pamoja na saratani n.k...

FAIDA YA KULA TUNDA LA NDIZI ASUBUHI NA JIONI. Ndizi zina virutubisho vingi k**a vile vitamini, nyuzinyuzi, protini, wan...
15/02/2024

FAIDA YA KULA TUNDA LA NDIZI ASUBUHI NA JIONI.

Ndizi zina virutubisho vingi k**a vile vitamini, nyuzinyuzi, protini, wanga, madini ya chuma na virutubisho vya sukari k**a ‘Sucrose’ na ‘Fructose’.

FAIDA ZAKE NI........
_ Kuondokana na tatizo la kiungulia (heartburn).
_ Kuondoa pressure kwa sababu ina madini ya sodium (Na) na potassium (K).
_ Kuongeza nguvu mwili kutokana na madini, vitamin pamoja na wanga yenye 'Glycemic '.
_ Kuondokana na magonjwa ya vidonda vya tumbo.
_ Husaidia wagonjwa wa anaemia kwasababu ndizi ina madini chuma hivyo ina protein ya (haemoglobin) husaidia damu kuzunguka salama.
_ Huondoa mgandamizo wa mawazo.
Ndizi zina muunganiko wa pekee ambao kitaalam huitwa ‘Tryptophan’ hii ni asidi inayopatikana kwenye protini, ambayo husaidia kwa kutotokea mgandamizo wa mawazo. Virutubisho hivi vikiingia mwilini vinabadirika na kuwa ‘Serotonin’ ambayo hupatikana moja kwa moja kwenye ubongo, huweka misuli sawa na husaidia mtu ajisikie furaha na kuondokana na mawazo.

14/02/2024

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya viungo na mifupa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram