G&M health centre suluhisho la tezi dume.

G&M health centre suluhisho la tezi dume. Karibu ujieliimishe , ujikinge ,na upate suluhisho kwa tatizo la uvimbe na kansa ya tezi dume bila

11/10/2021

SHUHUDA YA TEZI DUME NA MCHUNGAJI MARTIN .
Karibu Sana kwa ushauri juu ya tezi dume .Tezi dume inatibika Bila upasuaji .Epuka madhara makubwa unayoweza kuyapata kwa kuondoa tezi dume kwa njia ya Upasuaji .kwa ushauri wasiliaa nasi kwa namba 0757898003

10/10/2021

Shuhuda kutoka kwa mchungaji Martin juu ya kupona kwake tezu tme .karibu sana i

KINGA NA TIBA  YA TEZI DUME BILA UPAUAJI.,(0757898003)Tezi dume nini ..ni tez inayopatikana kwa mwanaume tu..ipo kuzungu...
27/09/2021

KINGA NA TIBA YA TEZI DUME BILA UPAUAJI.,(0757898003)

Tezi dume nini ..ni tez inayopatikana kwa mwanaume tu..ipo kuzunguka njia ya mkojo karibu na kibofu cha mkojo..kazi ya tezi dume ni kutengeneza majimaji ya shahawa,na kurutubisha mbegu za kiume yaani kuzipa chakula..
Mtu anapofukisha miaka arobaini na kuendelea hiyo tezi huanza KUVIMBA ikiibana njia ya mkojo.
Hivyo pale unapokojoa mkojo hauishi Kwenye kibofu unabakia..

Hapo MTU huanza kupata dalili zifuatazo.
1.kukojoa Mara kwa Mara Hasa nyakati za usiku.Mara Tatu au Zaidi
2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.
3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani
4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.
5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo
6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.
7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana..

UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE TEZI YAKO IMEANZA KUVIMBA TAYARI..Yaani unatatizo LA uvimbe wa tezi dume..
Mara nyingi suluhisho imekua upasuaji lakini upasuaji ukifeli watu wanakosa nguvu za kiume..
Sasa KUNA SULUHUSHO..
Dawa ya asili inayokinga na kutibu tezi dume bila upasuaji. Imewasaidia wengi sana..haina kemikali, imetengenezwa kwa mtishamba unaoitwa prostaep(flavnoids na polypeptide) itakusaidia.imethibitishwa na Tfda,cGMP,na Halal,unaweza tumia kujitibu au kujikinga (0757898003)

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when G&M health centre suluhisho la tezi dume. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to G&M health centre suluhisho la tezi dume.:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram