Dr Thomas

Dr Thomas DR THOMAS SUMA HEALTH CARE, wanashughulika na matibabu ya magonjwa sugu kwa Tiba lishe na mimea. KARIBUNI SANA

�����

DR THOMAS SUMA HEALTH CARE;

Ni suluhu ya magonjwa sugu ya uzazi K**a vile;

KWA MWANAMKE

~Ugumba na kuziba kwa mirija ya uzazi.
~Kulegea kwa kizazi
~Kupata maumivu makali wakati wa hedhi
~Kukosa hedhi/ kupata hedhi kwa muda mrefu
~P.I.D, U.T.I, Fangas sugu, Kutokwa na uchafu na harufu mbaya ukeni.
~Mimba kuharibika
~Saratani ya shingo ya kizazi
~Uvimbe kwenye via vya uzazi


KWA MWANAUME

•TEZI DUME
•HERNIA/NGIRI
•Upungufu wa nguvu za kiume
•Wanaoshindwa kuzalisha. DR THOMAS SUMA HEALTH CARE TUNATIBU PIA MAGONJWA MENGINE K**A VILE;

•Kifua kikuu
•Kisukari
•Shinikizo la damu(BP)
•Matatizo ya mifupa
•Ngozi
•Kansa
•Uzito/unene kupita kiasi

na mengine mengi.

,NGUVU KAZI YAKO.

Stroke( kiharusi) Ni tatizo linalotokea kwenye ubongo ambapo mtiririko wa damu wa eneo fulani la ubongo kukosa damu na v...
13/01/2022

Stroke( kiharusi) Ni tatizo linalotokea kwenye ubongo ambapo mtiririko wa damu wa eneo fulani la ubongo kukosa damu na virutubishi muhimu na seli za eneo Hilo huanza kufa.

Hili linaweza kutokea pale mishipa ya damu ya kuelekea kwenye eneo Hilo ikiziba au mishipa ndani ya ubongo Katika eneo hilo kupasuka. Seli za ubongo za eneo Hilo zikianza kufa kwa kukosa damu, shughuli zote zinazoendeshwa na eneo Hilo la ubongo husimama kwa mfano kumbukumbu na misuli. Kiharusi Ni ugonjwa wa ghafla hivyo Tiba inatakiwa ipatikane mapema iwezekanavyo.

Kiharusi inaweza kumpata mtu yoyote wakati wowote.

AINA ZA KUU ZA KIHARUSI
➡️ Kiharusi kinachotokana na kuziba kwa mishipa ya damu ya ubongo.
➡️ Kiharusi kinachotokana na kupasuka kwa mishipa ya damu ya ubongo.

Vitu vinavyochangia mtu kupata Kiharusi

➡️ Ugonjwa wa SHINIKIZO kubwa la DAMU (presha)
➡️ Uvutaji sigara
➡️ Ugonjwa wa KISUKARI
➡️ Magonjwa ya moyo hasa ugonjwa wa mtetemo wa moyo (atrial fibrillation)
➡️ Tatizo la mafuta mengi kwenye moyo ( Lehemu au cholesterol)
➡️ Uzito uliopitiliza
➡️ Unywaji wa pombe uliokithiri.
➡️ Kutokufanya mazoezi.

****Endapo una Ndugu jamaa rafiki au jirani kuwa sehemu ya msaada kwa kumpa taarifa tuweze kumsaidia ndani ya siku 90 na kupona kabisa kwa Tiba lishe zenye kuondoa kiharusi/stroke/kupalalaizi na athari alizopata***

Tupigie simu au WhatsApp; +255 692-936-639....

Hormone Imbalance ( Mvurugiko wa Homoni)_ ____ Ni matokeo ya uzalishwaji wa homoni za uzazi kwa mwanamke kutokuwa sawa k...
10/01/2022

Hormone Imbalance ( Mvurugiko wa Homoni)_

____ Ni matokeo ya uzalishwaji wa homoni za uzazi kwa mwanamke kutokuwa sawa kutokana na Ongezeko la sumu mwilini, magonjwa ya maambukizi kwenye via vya uzazi na kupungua kwa Kinga ya mwili.

Dalili za Hormone Imbalance

💉 Kupungua hamu ya tendo la ndoa
💉 Kutoshika ujauzito
💉 Mzunguko wa hedhi kubadilika badilika
💉 Kutopata usingizi vizuri.
💉 Kuongezeka uzito
💉 Kupata choo kwa shida
💉 Mapigo ya moyo kutokuwa sawa
💉 Maumivu wakati wa tendo la ndoa
💉 Maumivu ya kichwa
💉 Mafua Mara kwa Mara
💉 Kupoteza kumbukumbu
💉 Uchovu Mara kwa Mara
💉 Ngozi kavu.

Athari za Hormone Imbalance

💉 Ujauzito kuharibika haribika
💉 Kutoshika ujauzito
💉 UTI ya Mara kwa Mara
💉 Kasi ya maambukizi kwenye via vya uzazi k**a fangasi/Miwasho ukeni, Kutokwa na uchafu n.k
... Afyanjema2022...

Kwa TIBA 💊 NA USHAURI 👨‍⚕️ tupigie simu au WhatsApp 0692-936-639

Figo Zikifeli, Maana Yake Ufanisi wa Kazi za Figo Umepungua au ni 0%Kazi za Figo✍🏻Kazi muhimu ya figo ni kutengeneza mko...
06/01/2022

Figo Zikifeli, Maana Yake Ufanisi wa Kazi za Figo Umepungua au ni 0%

Kazi za Figo

✍🏻Kazi muhimu ya figo ni kutengeneza mkojo na kuondoa vitu visivyofaa, chumvi chumvi ya ziada mwilini.

1️⃣Kutoa Uchafu/Sumu Mwilini

Kusafisha damu kwa kutoa uchafu ni kazi muhimu sana ya figo. Vyakula tunavyokula huwa na protini. Protini ni muhimu kwa kukua na kurekebisha mwili. Lakini jinsi protini invyotumika na mwili hutoa uchafu. Mkusanyiko wa uchafu huu ni k**a sumu kwenye mwili. Figo huchuja damu na uchafu hatari (wa sumu) na hutolewa katika mkojo. zimeshindwa, kiwango cha creatine na urea kitakuwa juu katika uchunguzi wa damu.

Creatinine na urea ni aina mbili muhimu ya uchafu ambao kiwango chake katika mwili wa binadamu huweza kupimika. Kiwango chake katika damu huonyesha jinsi figo zinavyofanya kazi na zikifeli tunapata shida.

2️⃣Kutoa Maji (Fluid)

Figo hutoa maji zaidi k**a mkojo na kubakiza kiwango muhimu cha maji katika mwili. Kwa hivyo figo huweka kiwango kamili cha maji yanayohitajika katika mwili.

Figo zikifeli, hushindwa kutoa maji zaidi k**a mkojo. Maji mengi mwilini huchangia kuvimba kwa mwili.

3️⃣Kusawazisha Madini na Kemikali

Figo husawazisha madini na kemikali k**a sodium, potassium, hydrogen, calcium, phosphorus, magnesium na bicarbonate na husawazisha kiwango kamili cha fluid kwenye mwili.

Kubadilika kwa kiwango cha sodium uweza athiri fahamu ilhali kubadilika kwa kiwango cha potassium huweza kuwa na madhara makubwa kwa mapigo ya moyo na kufanya kazi kwa mishipa. Kuweka kiwango sawa cha calcium na phosphorus ni muhimu kwa afya ya mifupa na meno. Hivyo, Figo Zikifeli Huambatana na matatizo mengi kiafya.

4️⃣Kuchunga Shinikizo la Damu

Figo hutoa hormoni mbalimbali (rennin, angiotensin, aldosterone , prostaglandin, n.k) na kusawazisha maji na chumvi kwenye mwili ambayo hufanya kazi muhimu kwa kulinda msukumo wa moyo.

Usumbufu wa kutoa hormone na kusawazisha chumvi na maji kwa mgonjwa mwenye ugonjwa wa figo uongeza msukumo wa damu kwenye moyo (Shinikizo la Damu/High Blood Pressure).

5️⃣uzalishaji wa Chembechembe Nyekundu za Damu

Erythropoietin inayotolewa kwenye figo hufanya kazi muhimu katika kutoa chembechembe za damu nyekundu (RBC). Figo likishindwa husababisha figo hilo kutoa erythropoietin kidogo ambayo baadaye husababisha kupungua kwa RBC na matokeo yake huwa hemoglobin kidogo (anemia).

Kwa sababu ya kutoa erythropoietin kidogo kwa wagonjwa ambao wana shida ya kushindwa kwa figo, hemoglobin haiwezi kuongezeka hata k**a itaongezewa kwa madini ya chuma na vitamin.

6️⃣Kuendeleza Mifupa Yenye Afya

Figo hubadilisha vitamin D katika hali yake ya kutumika, ambayo n muhimu kwa kunyonya calcium kutoka kwenye chakula, kukua kwa mifupa na meno na kuweka mifupa yenye afya. Katika hali ya figo kushindwa kufanya kazi, na kwa sababu ya upungufu wa vitamin D kunafanya kukua kwa mifupa kunapungua na kuwa hafifu. Kushindwa kukua inaweza kuwa ishara ya kwanza kwa watoto walio na shida ya kushindwa kwa figo.

✍🏻Ukiona dalili hatarishi za moyo au Figo, chukua maamuzi ya kufanya vipimo Ili kugundua hitilafu iko wapi. Aidha, zingatia ulaji unafuata kanuni na taratibu Bora za Mlo kamili, acha pombe na sigara na punguza matumizi holela ya madawa ya hospitali.

MSAADA WA KIMATIBABU
PIGA 📞 SMS 💬 WHATSAPP 0692-936-639

>>> Fangasi/ Miwasho ukeni Husababishwa na Ongezeko kubwa la bacteria wazuri  wajulikanao K**a "lactobacillus". Bacteria...
30/12/2021

>>> Fangasi/ Miwasho ukeni Husababishwa na Ongezeko kubwa la bacteria wazuri wajulikanao K**a "lactobacillus". Bacteria hawa kazi kubwa wanalinda uke kutoingilia na bacteria wachafu wanaosababisha maambukizi K**a vile wa fangasi wanaoitwa "Vaginal Candidasis"

Kiwango Cha bacteria wazuri ukeni kinapoongezeka au kupungua na kuanza kudhibitiwa na bacteria wachafu ndipo mwanamke anaanza kupata Miwasho mkali ambao uwenda kupelekea hata michubuko kwenye kuta za uke na Kuhisi kuwaka moto baada au wakati wakushiriki tendo la ndoa.

👉 Harufu mbaya, maumivu wakati wakus*x, michubuko ukeni na kubadilika badilika kwa siku za hedhi huwa Ni Dalili na athari mojawapo za kukaa na tatizo la Miwasho ukeni/fangasi.

Madhara mengine makubwa ni K**a vile;-

👉 Hormonal Imbalance (kubadilika badilika kwa siku za hedhi)

👉Kupata ugonjwa wa Pelvic Inflammatory Diseases (P.I.D)

👉Kuziba kwa mirija ya uzazi

👉 Kuharibika kwa kizazi hata kupelekea Saratani na uvimbe kwenye kizazi endapo bacteria watafanikiwa kuingia ndani zaidi.

HABARI NJEMA: Tumewaandalia dawa maalumu za kutibu mfumo mzima wa uzazi kwa mwanamke, Changamoto na kuondoa athari za magonjwa ya maambukizi kwenye via vya uzazi... Endapo umehangaika mahosptalini bila mafanikio.

Wasiliana NASI

Kwa Tiba na Ushauri usisite kutupigia simu au WhatsApp 0692-936-639

Dr Thomas 👨‍⚕️

*SHINIKIZO KUBWA LA DAMU : MUUAJI ANAYEUA KIMYA KIMYA*Shinikizo la damu (Presha ) humaanisha nini?Shinikizo la damu ni m...
26/12/2021

*SHINIKIZO KUBWA LA DAMU : MUUAJI ANAYEUA KIMYA KIMYA*

Shinikizo la damu (Presha ) humaanisha nini?
Shinikizo la damu ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa inayosafirisha damu. Shinikizo hili hupimwa kwa mkanda wa mpira unaovalishwa mkononi na kujazwa hewa.

Kwa miaka ya karibuni imekuwa sio jambo geni kusikia mtu kafariki ghafla kwa sababu amepata shida ya kiafya iliyosababishwa na presha yake kupanda na kuwa juu kupita kiasi. Katika dunia nzima inakadiriwa ndani ya mwaka presha huchukua roho za watu wapatao milioni 7.5 idadi ambayo ni zaidi kuliko jumla ya wakazi wote wa jiji la Dar Es Salaam. Wakati huohuo pamoja na kusababisha vifo vingi pia presha huchangia ulemavu kwa zaidi ya watu milioni 57 ambayo ni zaidi ya jumla ya wananchi wote wa Tanzania.
Shirika la afya duniani (WHO) linakadiria kuwa ukichukua watu 100 wenye umri wa miaka 25 na kuendelea ukawapima presha basi 40 kati yao watakuwa na shida ya presha zao kuwa kubwa kupitiliza.

*Presha kubwa ya damu ni sawa na muuaji anayeua kimya kimya…..*

*Shinikizo la damu (Presha ) humaanisha nini?*

Shinikizo la damu ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa inayosafirisha damu. Shinikizo hili hupimwa kwa mkanda wa mpira unaovalishwa mkononi na kujazwa hewa.

*Sababu za baadhi watu kuwa na presha kubwa ya damu……….*

Mara nyingi sababu ya watu wengi kupata tatizo la presha ya damu kuwa juu huwa hazijulikani.

Lakini kuna baadhi ya mambo huchangia presha ya damu kwa mtu kupanda kupita kiasi

1. Umri mkubwa zaidi ya miaka 65 : Wazee huwa na presha ya juu kuliko vijana na waztoto.

2. Kuwa na unene uliopitiliza
3. Kuwa na ndugu wa damu wenye matatizo ya presha
4. Kuwa mazoea ya kutumia chumvi nyingi kwenye vyakula
5. Kuwa mlevi kupindukia
6. Kutopata usingizi wa kutosha nk.

*Kumbuka Madhara ya kuishi na presha ya juu ya damu huwa ni makubwa……*

*Iwapo presha yako ya damu ni kubwa basi hii ina maana mishipa yako ya damu na moyo vipo katika shinikizo kubwa. Shinikizo hili likiendelea huweza kusababisha madhara makubwa katika mwili ambayo huweza kuchukua hata Uhai.*

Baadhi ya madhara ni pamoja na

· Moyo kushindwa kufanya kazi
· Moyo kutanuka
· Shambulio la moyo
· Kiharusi
· Kuharibu figo na figo kushindwa kufanya kazi
· Kusababisha upofu

Iwapo una shinikizo
kubwa la damu ukijitahidi kupunguza kiasi cha presha una nafasi kubwa ya kuzuia madhara haya yasitokee.

_Kanuni zinazoweza kukusaidia kudhibiti kiwango cha presha ya damu_

1. Kupima presha mara kwa mara
Kiwango cha upimaji presha inatakiwa iwe k**a ifuatavyo : watu wazima wenye umri kati ya miaka 18 hadi 39 wenye presha iliyo sawa, wasio na hatari yoyoyte ya kupata tatizo la presha hutakiwa kupima presha kila baada ya miaka 2 hadi 3. Watu wazima wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea wenye kiwango cha presha kilicho sawa hutakiwa kupima presha kila mwaka.

2. Kula lishe nzuri hasa mboga za majani zaidi, nafaka zisizokobolewa, matunda
3. Kupunguza uzito iwapo wewe ni mnene
4. Kuacha sigara iwapo unavuta sigara
5. Kupumzisha akili na kupunguza misongo ya mawazo
6. Kupunguza kiwango cha chumvi unayotumia kwenye chakula
6. kufanya mazoezi
7. Dhibiti kiwango cha pombe iwapo unakunywa

_HABARI NJEMA_ Tunayo program inayotumia technologia kutengeneza virutubisho lishe kwenye mfumo wa vidonge vyenye kuondoa kabisa presha. Wasiliana NASI tuwasaidie ndani ya mwezi mgonjwa anakuwa yupo vizuri kabisa, kwetu tunampa mfumo wa maisha na dozi zenye kuondoa presha ya urithi pamoja na ile itokanayo na ulaji wa vyakula.

MLETE mama Baba, Bibi Shangazi mjomba, mpe taarifa asiweze tena kuishi kwa Sheria za ugonjwa Bali apone na aweze kufurahia maisha.

Program Ina *experience* kubwa imewasaidia wote waliokuja kwetu, tunafurahi kupokea mawasiliano yako kwa huduma hii.

🇹🇿💚💛🖤💙

PIGA 📞 SMS 💬 WHATSAPP; 0692-936-639

DALILI KUWA UNA MAAMBUKIZI KWENYE VIA VYA UZAZI KWA MWANAMKE.        Hizi ndizo Dalili za mwanamke mwenye magonjwa ya ma...
15/12/2021

DALILI KUWA UNA MAAMBUKIZI KWENYE VIA VYA UZAZI KWA MWANAMKE.
Hizi ndizo Dalili za mwanamke mwenye magonjwa ya maambukizi kwenye via vya uzazi;--
👉Maumivu makali chini ya kitovu.
👉Maumivu ya nyonga/kiuno.
👉 Maumivu makali kipindi Cha hedhi.
👉Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya ukeni.
👉Kutokwa na Ute wenye rangi ya mtindi(maziwa),Njano au Kahawia.
👉Kukojoa Damu.
👉Kutokwa na mabonge mabonge ya damu kipindi Cha hedhi.
👉 Kupata daamu ya hedhi SIKU 3/ WIKI NZIMA SIKU 7.
👉 Kuchukua miezi miwili na zaidi mwanamke kuona siku zake.
👉Hedhi isiyo na MPANGILIO; Inabadilika badilika (Hormonal Imbalance)
👉 Kupata maumivu kipindi Cha kushiriki tendo.
👉Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
👉Kupata Dalili za ujauzito wakati Hana.
👉Mimba kuharibika na kutoka.
👉Ugumba/kukosa uwezo wa kushika ujauzito.
👉Kutokwa na damu zisizo na mpangilio ukeni.

ATHARI za kutotibu na kupona kabisa Dalili za maambukizi kwenye via vya uzazi
-Ugumba na kuziba kwa mirija ya uzazi
-Kulegea kwa kizazi
-Uvimbe kwenye kizazi
-Saratani ya shingo ya kizazi
-Maumivu makali kipindi Cha hedhi
-Kukosa hamu ya tendo la ndoa

MWISHO; Haijalishi muda wa tatizo lako linatibika, Ni maamuzi na utayari wakuishi kwa furaha tena.

KARIBU

🌱🌱 DR THOMAS SUMA HEALTH CARE 🌱🌱 kwa Tiba za magonjwa ya uzazi. Tuna furaha kuwa sehemu ya kurejesha Amani Maishani mwako.
Tupo Dar es Salaam na tunakufikia popte ulipo.

Wahi usisubiri kansa/uvimbe ambao utakugharimu zaidi na kukupatia maumivu wakati wote.

PIGA 📞 SMS 💬 WHATSAPP: +255 692936639

MARUDIO.🤱🤱 KILA MWANAMKE NI MAMA🤰🤰Ipi Changamoto kwako kushindwa kupanda Daraja na kuitwa mama.√Mimba kuharibika na kuto...
10/12/2021

MARUDIO.

🤱🤱 KILA MWANAMKE NI MAMA🤰🤰

Ipi Changamoto kwako kushindwa kupanda Daraja na kuitwa mama.

√Mimba kuharibika na kutoka.

√Ugumba(kukosa uwezo wa kushika ujauzito)

FURAHA YETU 👨‍⚕️ Kuwa sehemu ya HISTORIA ya kurejesha AMANI Katika maisha yako.

KARIBU 🙏🏼 🌱🌱 DR THOMAS SUMA HEALTH CARE 🌱🌱

💚💛MUNGU NI MWEMA🖤💙

HAUNA SABABU YA KUKATA TAMAA.

Tunaomba IMANI yako, Tukusaidie. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

MAWASILIANO: PIGA 📞 SMS 💬 WHATSAPP NAMBA 0692936639 ..... +255 692 936 639

Like page yetu shirikisha na wengine

SHINGO YA KIZAZI NI NINI?Shingo ya kizazi (cervix) ni kiungo cha mwili kinachopatikana kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke...
06/12/2021

SHINGO YA KIZAZI NI NINI?

Shingo ya kizazi (cervix) ni kiungo cha mwili kinachopatikana kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke. Ni sehemu ya mji wa mimba (Uterus) inayotokezea kwenye uke (tupu) wa mwanamke.

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI?

Ni mabadiliko hasi (yasiyo ya kawaida) ya chembechembe hai zilizopo kwenye shingo ya kizazi. Mara nyingi saratani hii ikiwa inaanza haionyeshi dalili yoyote hivyo mgonjwa hawezi kuchukua hatua yoyote kukabiliana na tatizo hili kwa wakati huu
Kwa kiasi kikubwa saratani hii husababishwa na maambukizi ya mda mrefu (persistence infection) ya virusi viitwavyo Human papilloma, ambavyo huenezwa kwa njia ya kujamiiana

MAMBO MENGINE YANAYOCHANGIA KUPATA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

👉Kufanya ngono zembe
👉Kuwa na wapenzi wengi
👉Kukoma siku katika umri mkubwa
👉Utumiaji mafuta mengi katika chakula.
👉Kutokufanya mazoezi ya mara kwa mara.
👉Unene kupita kiasi
👉Uvutaji sigara.
👉Utumiaji wa pombe kupita kiasi.
👉Historia ya saratani ya matiti katika familia

Endapo una tatizo hili/ndugu jamaa rafiki, tunatibu na kupona kabisa Katika hatua za awali bila upasuaji Wala kutumia mionzi...

Tiba zetu za Saratani ni kuepusha madhara yatokanayo na mionzi.

Karibuni Sana.

MAWASILIANO:
PIGA 📞 0692 936 639

SMS 💬 0692 936 639

WHATSAPP +255 692 936 639

Share Like page kuwafikia walengwa🙏🏼🙏🏼🙏🏼

🇹🇿MWANAMKE NI MAMA🤰🤰   🌱🌱DR THOMAS SUMA HEALTH CARE🌱🌱Wana habari njema kwa mama zetu, wenye matatizo ya;- •Kutoshika uja...
06/12/2021

🇹🇿MWANAMKE NI MAMA🤰🤰

🌱🌱DR THOMAS SUMA HEALTH CARE🌱🌱

Wana habari njema kwa mama zetu, wenye matatizo ya;-

•Kutoshika ujauzito.
•Ujauzito kuharibika
•Mimba kutunga nje ya mfuko wa kizazi.
•Kulegea kwa kizazi
•Mimba kutoka
•Na uvimbe kwenye kizazi

💙 MJULISHE NDUGU JAMAA RAFIKI JIRANI APATE SULUHU YA TATIZO LA UZAZI🖤

MAWASILIANO: PIGA 📞 SMS 💬 WHATSAPP

+255 692 936 639

KARIBUNI SANA🌱🌱🇹🇿💚💛

SABABU ZINAZO SABABISHA MWANAMKE  KUSHINDWA KUPATA UJAUZITO.Tatizo la kutopata mimba linawasumbua wengi na huwapata fami...
04/12/2021

SABABU ZINAZO SABABISHA MWANAMKE KUSHINDWA KUPATA UJAUZITO.

Tatizo la kutopata mimba linawasumbua wengi na huwapata familia kadhaa katika jamii, huweza kumpata mtu mmoja kati ya wanandoa 12 na ni tatizo linalowapata watu zaidi ya milioni 24 duniani kote.

Ugumba ni hali ya kutoweza kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka mmoja au zaidi kwa wenzi ambao wamekuwa wakifanya mapenzi bila kutumia njia zozote za uzazi wa mpango. Mtiririko wa upataji ujauzito ni k**a ifuatavyo;

Baada ya mwezi mmoja wa ndoa uwezo wa kushika ujauzito ni asilimia 20, baada ya miezi mitatu ya ndoa ni asilimia 50, baada ya miezi sita ya ndoa ni asilimia 75 na baada ya miezi 12 ni asilimia 90 mwanamke huweza kupata ujauzito.

Hali hii inaweza kutokea kutokana na tatizo kwa mwanaume au mwanamke, ingawa baadhi ya watu wamekuwa wakidhani wanawake peke yao ndio ambao hupata tatizo hilo.

NINI SABABU ZA KUSHINDWA KUSHIKA UJAUZITO

- Kuziba kwa mijrija ya kupitisha mayai
- Ovari kushindwa kutoa mayai ya uzazi au kutoa mayai isiokuwa na nguvu (lazy egg).
Mirija ya kupitisha mayai inaweza kuziba kutokana na;
- Ugonjwa wa Pelvic Inflammatory Disease (PID) ambao unatokana na magonjwa ya zinaa yasiyotibiwa k**a kisonono na klamidia.
- Mirija ya mayai kujaa maji
- Utoaji mimba usio salama (unsafe abortions)
- Upasuaji maeneo ya kiunoni
- Ugonjwa wa endometriosis
Ovari kushindwa kutoa mayai ya uzazi inaweza kutokana na;
- Umri mkubwa wa mwanamke, hasa miaka 35 – 40 na kuendelea.
- Uvutaji wa sigara
- Saratani ya Ovari
- Mionzi (radiations)
- Ugonjwa wa Polycystic ovarian disease (Ovarian Cyst)
Sababu nyingine za ugumba kwa mwanamke zinaweza kuwa;
- Makovu katika mji wa uzazi kutokana na kutoa mimba.
- Mabonge ya kizazi (uterine fibroids)
- Kuziba kwa shingo ya uzazi
- Kulegea shingo ya uzazi
- Hommon imbalance
- Kisukari
- Matatizo ya tezi ya shingo (hyperthyroidism)
- Kufanya mazoezi ya kupitiliza (excessive exercising)

MATIBABU
Matibabu ya ugumba huhusishwa wenzi wote wawili, mwanaume na mwanamke. Yanahitaji uvumilivu

Kwa mawasiliano wasiliana nami
PIGA......SMS....WhatsApp 0692936639 Dr Thomas.....___

Matibabu upone kabisa piga simu namba Dr Thomas +255 692 936 639DALILI ZA KUWA UNA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME;1. Mwanaum...
04/12/2021

Matibabu upone kabisa piga simu namba

Dr Thomas +255 692 936 639
DALILI ZA KUWA UNA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME;
1. Mwanaume kuwahi kufika kileleni kabla ya mwanamke, na kukosa nguvu/ hamu ya kuendelea na tendo la ndoa ( Pre-mature ej*******on)
2. Uume kusimama kwa ulegevu/ na kushindwa kuendelea kusimama kwa muda mrefu wakati tendo la ndoa likiendelea ( Erectile dysfunction)
3. Uume kuwa mdogo k**a wa mtoto
4. Kukosa hamu ya tendo la ndoa ( Low s*x drive )
5. Kushindwa kumpa mwanamke ujauzito n.k.
: SABABU ZA KUWA NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
➡️ Uoga wakati wa kufanya tendo la ndoa (Anxiety)
➡️ Kupiga punyeto (kujichua)

Address

Kinondoni Studio
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:30
Tuesday 08:00 - 18:30
Wednesday 08:00 - 18:30
Thursday 08:00 - 18:30
Friday 08:00 - 18:30
Saturday 09:00 - 17:30

Telephone

+255692936639

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Thomas posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr Thomas:

Share

Category