Health Talk by Amon

Health Talk by Amon AFYA NDIO UTAJIRI NAMBARI MOJA ULIONAO...

-]Hizi Ndio Dalili za Matatizo ya Viungo na Maungio...!Matatizo ya miguu (Rheumatoid Arthritis) ni ya kawaida.Miguu yako...
22/06/2024

-]Hizi Ndio Dalili za Matatizo ya Viungo na Maungio...!
Matatizo ya miguu (Rheumatoid Arthritis) ni ya kawaida.Miguu yako inapoathiriwa unaweza kupata yafuatayo;

✓Uvimbe au Mvunjiko.
✓Wekundu katika eneo lililoathiriwa.
✓Kuhisi joto karibu na viungo vilivyoathirika.
✓Maumivu ni ya kawaida sana pia.
✓Maumivu ya kisigino.
✓Mabadiliko ya umbo la mguu wako.
Kuna njia nyingi unaweza kufanya, juu yake ni kushughulikia shida k**a hizo pamoja na mazoezi mengi.

:Tuna fomula mpya ya matatizo ya MIFUPA NA VIUNGO ikijumuisha mazoezi ya viungo pamoja na matumizi ya Mchanganyiko wa Lishe...
..Ili kujua zaidi bofya hapa 👉wa.me/+255716287474

Au tupigie simu 0716287474 kupata ushauri wa Bure na Usaidizi wa karibu.

Kadri Umri Unavyosogea Ndivyo Huongeza Hatari Ya Kupatwa Na Kiharusi (Stroke)❗☠️Kiharusi hutokea wakati usambazaji wa da...
05/06/2024

Kadri Umri Unavyosogea Ndivyo Huongeza Hatari Ya Kupatwa Na Kiharusi (Stroke)❗☠️
Kiharusi hutokea wakati usambazaji wa damu kwenye sehemu ya ubongo unapokatizwa au kupunguzwa, na hivyo kuzuia tishu za ubongo kupata oksijeni na virutubisho.Seli za ubongo huanza kufa kwa dakika.Hivyo kadri umri unavyozidi kuwa kwenye hatari ya kupata kiharusi ni bora uende kuchunguzwa kwa uchunguzi zaidi hasa utendaji kazi wa moyo.

Kiharusi ni dharura ya matibabu, na matibabu ya haraka ni muhimu.Hatua za mapema zinaweza kupunguza uharibifu wa ubongo na matatizo mengine.

✍️Pia fahamu kuwa unapotibia 𝐊𝐢𝐬𝐮𝐤𝐚𝐫𝐢, 𝐌𝐨𝐲𝐨 na 𝐒𝐡𝐢𝐧𝐢𝐤𝐢𝐳𝐨 𝐥𝐚 𝐃𝐚𝐦𝐮, 𝐔𝐳𝐢𝐭𝐨 𝐌𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚/𝐔𝐧𝐞𝐧𝐞 huongeza hatari ya kupatwa na 𝕜𝕚𝕙𝕒𝕣𝕦𝕤𝕚.

:SABABU HATARI KWA KIHARUSI:

✅Shinikizo la juu la Damu (High Blood Pressure).

✅Uvutaji wa sigara (Excessive ci******es Smoking).

✅Ugonjwa wa moyo.

✅Kisukari.

✅Mafuta mabaya Mwilini (Kolestro).

✅Kutofanya mazoezi ya mwili na unene kupita kiasi.

:DALILI ZA KIHARUSI:
-Dalili na ishara za kiharusi ni pamoja na:

(1)Tatizo la kuongea na kutoelewa kile ambacho wengine wanasema.

(2)Kupooza au kufa ganzi usoni, mkono au miguu.

(3)Pia, upande mmoja wa mdomo wako unaweza kushuka unapojaribu kutabasamu.

(4)Matatizo ya kuona katika jicho moja au yote mawili.

(5)Maumivu ya kichwa ya ghafla, makali, ambayo yanaweza kuambatana na kutapika, kizunguzungu au fahamu kubadilika

(6)Tatizo la kutembea
-Unaweza kujikwaa au kupoteza usawa wako.

:UDHIBITI WA KIHARUSI:
-Unashauriwa kuwa mlaji wa mimea
-Ongeza unywaji wako wa maji.
-Mazoezi/kutembea
-Epuka vyakula vilivyosafishwa au Kusindikwa.

Health Talk
+25576287474

Kiharusi (Stroke) au Kupalalaizi ni Ugonjwa unaoendelea kupoteza uhai wa wapendwa wetu.Maeneo mengine kwa kukosa uelewa ...
05/06/2024

Kiharusi (Stroke) au Kupalalaizi ni Ugonjwa unaoendelea kupoteza uhai wa wapendwa wetu.

Maeneo mengine kwa kukosa uelewa sahihi juu ya ugonjwa huu wanauhusisha na imani za kishirikina k**a kulogwa.

Maeneo ya mikoa ya Kusini(Lindi, Mtwara na Ruvuma) ugonjwa huu hufahamika k**a Mdudu.
Utasikia flani amefunikwa na Mdudu.
Ok sawa neno zuri kwa mawasiliano maadam tunaelewana.

:
Ugonjwa huu ni miongoni mwa Magonjwa ya Moyo na Mishipa Ya Damu. Ni ugonjwa unaotokana na mtindo mbovu wa maisha hasa ulaji na unywaji usiofaa.

:
Kabla ya stroke, huanza tatizo la Presha na Kisukari wakati mwingine.
Tuwapeleke wagonjwa wetu Hospital kwa matibabu zaidi.
Tupunguze tabia ya kuwapoteza wenzetu kwa kuamini ni ugonjwa wa kulogana.

:
Wasiliana nasi kwa ushauri wa Kitabibu
0716287474

Tunakusaidia kurudisha nguvu Zako Za Kiume kwa kutumia Tiba Lishe yetu tunayoiamini ndani ya muda mfupi.Tupigie simu 071...
10/05/2024

Tunakusaidia kurudisha nguvu Zako Za Kiume kwa kutumia Tiba Lishe yetu tunayoiamini ndani ya muda mfupi.
Tupigie simu 0716287474

BLOOD PRESSURE CATEGORIES:      Mr AmonThe five blood pressure ranges as recognized by the American Heart Association ar...
27/04/2024

BLOOD PRESSURE CATEGORIES:
Mr Amon

The five blood pressure ranges as recognized by the American Heart Association are:

Normal
Blood pressure numbers of less than 120/80 mm Hg (millimeters of mercury) are considered within the normal range. If your results fall into this category, stick with heart-healthy habits like following a balanced diet and getting regular exercise.

Elevated
Elevated blood pressure is when readings consistently range from 120-129 systolic and less than 80 mm Hg diastolic. People with elevated blood pressure are likely to develop high blood pressure unless steps are taken to control the condition.

Hypertension Stage 1
Hypertension Stage 1 is when blood pressure consistently ranges from 130 to 139 systolic or 80 to 89 mm Hg diastolic. At this stage of high blood pressure, health care professionals are likely to prescribe lifestyle changes and may consider adding blood pressure medication based on your risk of atherosclerotic cardiovascular disease, or ASCVD, such as heart attack or stroke.

Hypertension Stage 2
Hypertension Stage 2 is when blood pressure consistently is 140/90 mm Hg or higher. At this stage of high blood pressure, health care professionals are likely to prescribe a combination of blood pressure medications and lifestyle changes.

Hypertensive crisis
This stage of high blood pressure requires medical attention. If your blood pressure readings suddenly exceed 180/120 mm Hg, wait five minutes and then test your blood pressure again. If your readings are still unusually high, contact your health care professional immediately. You could be experiencing a hypertensive crisis.

If your blood pressure is higher than 180/120 mm Hg or you are experiencing signs of possible organ damage such as chest pain, shortness of breath, back pain, numbness/weakness, change in vision or difficulty speaking, do not wait to see if your pressure comes down on its own.

For medical consultation wa.me/+255716287474

Mtoto wako sio roboti, anapaswa kulindwa zaidi ya unavyolinda mali yoyote unayoimiliki.Lishe Bora kwa mtoto wako ndio ul...
18/02/2024

Mtoto wako sio roboti, anapaswa kulindwa zaidi ya unavyolinda mali yoyote unayoimiliki.
Lishe Bora kwa mtoto wako ndio ulinzi Pekee unaopaswa kuwekeza jitihada Zako zote kwani utamlinda dhidi ya Magonjwa mengi yanayowasumbua Watoto.
Ikiwa anabagua vyakula ni ishara tosha kwamba Kuna kitu kinaendelea mwilini mwake.
Wasiliana nasi tukusaidie kutatua changamoto hiyo ya kubagua vyakula.
0716287474

SIKIO lisilo na shida hutoa nta ambayo ndio ulinzi na uhai wa sikio...Pindi sikio liotoapo usaha na majimaji mengine ni ...
18/02/2024

SIKIO lisilo na shida hutoa nta ambayo ndio ulinzi na uhai wa sikio...
Pindi sikio liotoapo usaha na majimaji mengine ni kiashiria kikubwa Cha uwepo wa tatizo kwenye Eardrum ya sikio.
Tunatibu bila Upasuaji wa sikio kwa kutumia Tiba Lishe yetu tunayoiamini ndani ya muda mfupi.

Tupigie simu tukusaidie kuondokana na tatizo Hilo.
0716287474

Kwanini uendelee kuteseka na tatizo linalotibika...?Suluhisho La Tatizo la tezidume ni Lishe Pekee inayoliondoa bila Upa...
10/02/2024

Kwanini uendelee kuteseka na tatizo linalotibika...?
Suluhisho La Tatizo la tezidume ni Lishe Pekee inayoliondoa bila Upasuaji.

Wasiliana nasi uipate Leo.
Tupigie simu,
0716287474
0746387182.

Tatizo la kutokwa jasho usiku lisikunyime amani Tena,Tutakusaidia kushughulikia tezi ya thyroid ambayo ndiyo chanzo chak...
10/02/2024

Tatizo la kutokwa jasho usiku lisikunyime amani Tena,
Tutakusaidia kushughulikia tezi ya thyroid ambayo ndiyo chanzo chake. Ni kwa Kutumia Tiba Lishe yetu tunayoiamini na itamaliza tatizo lako la jasho.

Wasiliana nasi tukusaidie kupona tatizo lako...
0716287474/0746387182

Chunusi husababishwa na MVURUGIKO WA HOMONI...Tumekuandalia Tiba Lishe yetu tunayoiamini itamaliza tatizo lako ndani ya ...
24/01/2024

Chunusi husababishwa na MVURUGIKO WA HOMONI...
Tumekuandalia Tiba Lishe yetu tunayoiamini itamaliza tatizo lako ndani ya muda mfupi tu kwa gharama nafuu....

Tupigie simu kupata package yako Popote Tanzania...
0716287474

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health Talk by Amon posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram