Muro na afya yako

Muro na afya yako Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Muro na afya yako, Medical and health, Dar es salaaam, Dar es Salaam.

NAITWA THOMAS MURO NAMM NI MTALAAM NA MSHAURI WA AFYA HAPA BRIGH FUTURE NATOA HUDUMA YA AFYA KUPITIA BIDHAA ZA VIRUTUBISHO LISHE (FOOD SUPPLIMENTS) NAPATIKANA KWA SIMU NAMBA 0778465396

*UJUE UGONJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE* Dawa Ninayo Mimi-0778465396(WhatsApp/call/smsP.I.D Ugonjwa ambao unasumbua sana,Hay...
07/11/2021

*UJUE UGONJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE*

Dawa Ninayo Mimi-0778465396(WhatsApp/call/sms

P.I.D Ugonjwa ambao unasumbua sana,Haya ni (Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke)

Kwa kitaalamu tunaita (Pelvic Inflamatory Diseases) au kwa kifupi (PID)
Ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya kizazi
(cervix) hali ambayo hujulikana k**a -cervicitis,
nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa -endometritis, na mirija ya uzazi kujaa maji au kuziba (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu k**a -salpingitis.
👉Mwanamke mwenye tatizo hili hatoweza kushika ujauzito mpaka Atapopata matibabu stahiki na kwa wakati.

DALILI ZA UGONJWA HUU WA PID

1👉Mwanamke kuhisi maumivu Makali ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu
2👉Kupata maumivu Makali ya kiuno na mgongo
3👉Mwanamke kupata utoko/Ute au Uchafu sehemu za siri, Utoko huu huambatana na harufu mbaya
4👉Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
5👉Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
6👉Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi
7👉Kupata homa
Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na
Pia kutapika
8👉Kukosa hamu tendo la ndoa na kutokufurahia tendo la ndoa.
9👉Kutokwa na uchafu K**a Mtindi ukeni.. mweupe k**a maziwa Au Brown
10👉Kutokwa na Damu Nzito Sana Au uchafu wa brown wakati wa hedhi.
11👉Kupoteza uwezo wa kushika Mimba.

K**a Una Dalili Zote Au Mojawapo Kati Ya Hizo👆,Ina maana Upo Katika Hatari Ya pid,Tunazo Dawa Kwa Ajili Yako

â–ŞDawa tulizo nazo ni za TIBALISHE sio Antibiotics K**a Za Hospitali Na Farmacy Zipo Za aina mbili ndizo unazopaswa kutumia,Ambazo Ka Pamoja Ziaweza Kutatua Changamoto Hio Ya Pid Katika Mfumo Wa Uzazi Moja ni YUNZHI na FEMICARE,Ukubwa Wa Dose Unatokana Na ukubwa Wa tatizo

TUPO DAR,NA MIKOANI PIA

Kwa Maelezo Zaidi,Wasiliana Nami WhatsApp Kwa Namba 0778465396

04/11/2021

Address

Dar Es Salaaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Muro na afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Muro na afya yako:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram