10/11/2020
*MAUMIVU BAADA YA KUSHIRIKI TENDO LANDOA.*
Leo nitatizo linalowasumbua wanawake wengi mno.
💥Maumivu baada ya Kushiriki tendo landoa ni kitu cha kawaida,inakadiriwa kua Mmoja 1 kati ya wanawake 3 Hupatwa na maumivu baada ya tendo landoa.
🌺Ni Muhimu kutambua sababu ya maumivu ya hayo, Hizi BAADHI ya sababu ambazo huweza kuwa ndio chanzo cha maumivu baada ya tendo landoa...
1:Ugonjwa wa U.T.I
Inakadiriwa kwamba kwa kila wanawake 5 , mmoja 1 Ana ugonjwa wa UTI ,Maumivu ndani na nje ya eneo la uke ni moja kati ya dalili za U.T.I, kuvimba kwa Eneo la Siri kutokana na maambukizi ni moja ya athari za U.T.I, Mwenza wako anapoingiza na kutoa uume ana aweza kusababisha wewe kupata maumivu wakati wa tendo landoa
2:Ukubwa wa Uume wa mwenza wako,
Urefu wa kawaida wa Uke ni Nchi 5 na urefu wa kawaida wa uume ni Nch 6 , kwahiyo kitendo cha kuingiza na kutoa huweza kuathiri sehemu za ndani za uke na kupelekea maumivu,pia urefu wa tendo la ndoa unachangia pia.
3:Uvimbe katika Mayai ya uzazi(Ovarian cysts)
Ovarian cyst ni vimbe ndogo ndani ya o***y ambazo zipo katika mfuko wa Mayai,Vimbe izi huleta maumivu kushoto na kulia kwa uzazi wa mwanamke,vimbe izi hukua hata Nch 4 ambazo huweza kuwa chanzo cha maumivu Kabla na baada ya mapenzi, nenda hospital ukaangalie k**a una vimbe hizi.
4:Una tatizo ka Endometriosis .
Endometriosis ni Hali inayosababishwa na kuta za uzazi zilizo Hama kwenda mwenye pelvic cavity,tishu izi huweza kuwa mahali popote lakini huwa zipo hadi kwenye Ovari/mfuko wa Mayai na husababisha Uvimbe,K**a tishu izi zitakua katika eneo la uke,basi ni dhahiri zimaweza kusababisha maumivu baada ya mapenzi.
5:Una Ugonjwa Wa P.I.D
Huu ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa uzazi wa mwanamke, ambao unasababishwa na bakteria na ni dalili ya gonorhea na clamydia, K**a unaugonjwa huu ,una hatari ya kupata maumivu baada ya s*x.
6;Una Allergy na Shahawa ya Mwenza wako.
Hali ii ipo mara chache sana,K**a una allergy ishara K**a vile Kuvimba au kuwashwa sehem za Siri ,wanawake Uhisi Kuch