AJAM herbal clinic

AJAM herbal clinic TUNAWASAIDIA WAHANGA WA MAGONJWA MBALIMBALI KWA KUTUMIA MIMEA TIBA

ACID REFLUX -Kuzidi kiwango cha Acid tumboni 📌TATIZO HILI LINAWASUMBUA WATU WENGI BILA KUJIJUA WANAUMWA NINIDALILI ZA AC...
25/12/2025

ACID REFLUX
-Kuzidi kiwango cha Acid tumboni
📌TATIZO HILI LINAWASUMBUA WATU WENGI BILA KUJIJUA WANAUMWA NINI

DALILI ZA ACID REFLUX ⤵️

🧷- Kifua kuwaka moto
🧷- pumzi kubana
🧷- mapigo ya moyo kwenda mbio
🧷- kuwa na hofu bila sababu
🧷- kiungulia mara kwa mara
🧷- kuhisi kitu kukwama kooni
🧷- maumivu ya koo
🧷- koo kukauka
🧷- makohozi kukauka
🧷- kukosa usingizi
🧷- Kuota ndoto za kutisha
🧷- maumivu mgongoni na mabegani
🧷- masikio kuoiga kelele
🧷-mdomo kuwa mchachu au mchungu
🧷 -utando mweupe mdomon
🧷 -kichwa kuuma marakwa mara
🧷-kuhisi k**a unataka kuchanganyikiwa

-● k**a una dalili hizi na unahitaji kupata suluhisho wasiliana nasi leo

0748 267 740

Tunapatikana
dar es salaam tandika

ACID REFLUX Dalili - Kifua kuwaka moto - pumzi kubana- mapigo ya moyo kwenda mbio- kuwa na hofu bila sababu - kiungulia ...
24/12/2025

ACID REFLUX

Dalili
- Kifua kuwaka moto
- pumzi kubana
- mapigo ya moyo kwenda mbio
- kuwa na hofu bila sababu
- kiungulia mara kwa mara
- kuhisi kitu kukwama kooni
- maumivu ya koo
- koo kukauka
- makohozi kukauka
- kukosa usingizi
- Kuota ndoto za kutisha
- maumivu mgongoni na mabegani
- masikio kuoiga kelele

-● k**a una dalili hizi na unahitaji kupata suluhisho wasiliana nasi leo

0748 267 740

Tunapatikana
dar es salaam tandika

24/12/2025

Kuzidi kwa kiwango cha Acid tumboni
[ACID REFLUX-GERD]

0748 267 740
Tandika-Dar es salaam

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUPANDA  KWA ACID KWENYE KOO LA CHAKULA ( GERD-ACID REFLUX)-Zipo dalili nyingi ambazo hu...
23/12/2025

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUPANDA KWA ACID KWENYE KOO LA CHAKULA

( GERD-ACID REFLUX)

-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🧷 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🧷 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🧷 Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🧷Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🧷Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🧷Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🧷 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🧷 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🧷Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🧷 Kupata kikokozi kisichoisha
11.🧷 Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🧷Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🧷Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🧷 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🧷 Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🧷 Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🧷Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🧷 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🧷 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🧷Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🧷 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🧷Kichefuchefu na kutapika.
23.🧷 Miwasho ya ngozi mwilini
24.🧷Masikio kupiga kelele/kuwa mazito.
25.🧷 Baadhi ya viungo vya mwili kutetemeka/kucheza mfano vidole na chini ya macho.
26.🧷 Mdomo kuwa mchungu/Mchachu
27.🧷 Presha kupanda mara kwa mara ikiambatana na dalili zingine za Acid reflux.

abbas
_+255748267740_
AJAM HERBAL CLINIC
TANDIKA - DAR ES SALAAM
---------------------------------------------------------

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI1.🧷kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa2.🧷kujitokeza kwa kinyama/vinyama e...
13/12/2025

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.🧷kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.🧷kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3.🧷kupata kinyesi chenye damu
4.🧷kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
5.🧷 Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya

Kwa msaada wa matibu⤵️

Dr.abbas
0748 267 740

AJAM HERBAL CLINIC
Dar es salaam tandika

KUZIDI KWA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)0748 267 740 DAR ES SALAAM TANDIKA
11/12/2025

KUZIDI KWA ACID TUMBONI
(ACID REFLUX-GERD)
0748 267 740
DAR ES SALAAM TANDIKA

ACID REFLUX (GERD)       0748 267 740 DAR ES SALAAM TANDIKA
10/12/2025

ACID REFLUX (GERD)
0748 267 740

DAR ES SALAAM TANDIKA

0748 267 740  Tupo dar es salaam tandika Tiba za asili
05/12/2025

0748 267 740
Tupo dar es salaam tandika
Tiba za asili

0748 267 740 Dar es salaam tandika TUNATIBU BAWASIRI YA NDANI NA YA NJE
24/11/2025

0748 267 740
Dar es salaam tandika
TUNATIBU BAWASIRI YA NDANI NA YA NJE

Simu 0748 267 740 Tunatoa tiba ya ACID REFLUX Dar es salaam tandika
19/11/2025

Simu 0748 267 740
Tunatoa tiba ya ACID REFLUX
Dar es salaam tandika

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AJAM herbal clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AJAM herbal clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram