Olper uzazi

Olper uzazi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Olper uzazi, Medical and health, Dar es Salaam.

Love is a beautiful thing ❤️❤️❤️
16/09/2023

Love is a beautiful thing ❤️❤️❤️

UPUNGUFU WA ESTROGENAina hii ya mvurugiko wa homoni ipo zaidi kwa wanawake wanaopitia ukomo wa hedhi kutokana na umri (m...
06/09/2023

UPUNGUFU WA ESTROGEN
Aina hii ya mvurugiko wa homoni ipo zaidi kwa wanawake wanaopitia ukomo wa hedhi kutokana na umri (menopause). Wanawake wembamba huathiriwa zaidi na upungufu huu wa homoni ya estrogen kuliko wanawake wengine. Dalili zake ni :
— Ukavu ukeni
— Maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa— Bladder Infections
— Homa za vipindi
— Kuvuja jasho usiku
— Matatizo ya kukumbuka
— Kujisikia mvivu na mzito kufanya mambo au kazi

ONGEZEKO LA ESTROGEN
Unaweza ukawa na estrogen ya ziada k**a utakuwa umetumia vidonge/matibabu ya homoni za kutengenezwa maabara/zisizo za asili ambavyo mara nyingi hupewa wanawake wanaopitia menopause. Dalili kuu ni pamoja na:
— Tumbo kujaa gesi/kuvimba/kukaza
— Kuongezeka uzito ghafla
— Mabadiliko ya hisia mara kwa mara (Mood swings)
— Wasiswasi (Anxiety) au Msongo wa mawazo
— Kukosa usingizi
— Vipele vyekundu usoni
— Kuota kwa vinyama/vipele kwenye via vya uzazi
— Kuvimba kwa maziwa
— Utakaji mwingi wa damu wakati wa hedhi
— Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara
— Kupoteza kumbukumbu na uzito wa kufikiria

Note! K**a unahisi una dalili zifuatazo kati ya hizi mwone Daktari kwa ushauri zaidi

Usisumbuke na matatizo ya uzazi sisi bado tupo kwa ajili yakoUliza chochote kuhusu uzazi tutakusaidia☎️+255 748 210 389
06/09/2023

Usisumbuke na matatizo ya uzazi sisi bado tupo kwa ajili yako

Uliza chochote kuhusu uzazi tutakusaidia
☎️+255 748 210 389

K**a umekuwa ukitafuta ujauzito kwa muda mrefu na umeenda hospitali ukaambiwa hauna tatizo lolote, ndugu njoo utumie fer...
05/09/2023

K**a umekuwa ukitafuta ujauzito kwa muda mrefu na umeenda hospitali ukaambiwa hauna tatizo lolote, ndugu njoo utumie fertility package utakuja nishukuru baadae

Ni kwambie tuu fertility booster pekee ambayo imesaidia wanawake wengi wenye changamoto ya kutopata ijauzito,
Na wewe hii si ya kuikosa vinginevyo k**a umeridhika na kukata tamaa na hali yako.

Tupigie
☎️+255 748 210 389

🥰🥰🥰🥰
02/09/2023

🥰🥰🥰🥰

You’re the next to testify, start your fertility package with us ☎️+255 748 210 389
02/09/2023

You’re the next to testify, start your fertility package with us

☎️+255 748 210 389

Inatibika bila shida yoyote usikate tamaa njoo upate suluhisho
02/09/2023

Inatibika bila shida yoyote usikate tamaa njoo upate suluhisho

Jua umuhimu wa kutoa sumu mwilini kabla ya kubeba ujauzito.Follow me for more
02/09/2023

Jua umuhimu wa kutoa sumu mwilini kabla ya kubeba ujauzito.
Follow me for more

Jipatie fertility booster itakayokusaidia wewe mwenye changamoto ya uzazi ama wewe unaehangaika kutafuta mtoto bila mafa...
11/08/2023

Jipatie fertility booster itakayokusaidia wewe mwenye changamoto ya uzazi ama wewe unaehangaika kutafuta mtoto bila mafanikio. Tupigie leo unipatie package yako🥰🥰🥰

Usihangaike sulukisho lako lipo tupigie leo ujipatie jibu la changamoto yako ya uzazi☎️+255 748 210 389
09/08/2023

Usihangaike sulukisho lako lipo tupigie leo ujipatie jibu la changamoto yako ya uzazi
☎️+255 748 210 389

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

+255748210389

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Olper uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram