10/02/2021
KUTOKWA NA UCHAFU NA HARUFU MBAYA UKENI (VAGINOSIS)
(MATIBABU YAKE)
Wanawake wengi wanasumbuliwa na tatizo la kutokwa na uchafu ukeni na uchafu huo huwa sambamba na harufu kalia au bila harufu na upo k**a maziwa ya mgando
Kitaalamu hali ya kutokwa na maji maji ukeni (viginal fluids) yenye rangi nyeupe au ya njano ni hali ya kawaida na sio tatizo ila endapo majimaji hayo yapo katika hali ya ute mzito wenye rangi nyeupe au k**a mgando wa maziwa na yanatoa harufu kali sambamba na muwasho basi hiyo sio hali ya kawaida ni ugonjwa uitwao VAGINOSIS
majimaji ya ute unaoteleza kutoka sehemu za siri ni njia inayowezesha viungo vya uzazi vya mwanamke kujisafisha na kutoa uchafu wa seli zilizokufa na mabaki ya damu ya hedhi nje ya mwili. Pia huvikinga viungo vya uzazi dhidi ya maambukizi ya bacteria au fangasi wanaosababisha magonjwa. Kawaida huwa hayatoi harufu na huwa na rangi nyeupe au njano. Na pua huwa ni asidi ya Lactic ambayo huzuia kuzaliana kwa vijidudu vya maradhi na huzalishwa kwenye tezi za Bartholin zilizopo kwenye shingo ya mlango wa uzazi (Cervix)
SABABU ZA KUTOKWA UCHAFU NA HARUFU MBAYA UKENI
ya bacteria k**a Trichomoniasis, candidiasis, Gonorhea, uambukizo wa bacteria candida albicans, vaginosia bacteria ambao husababisha kutoa harufu
ya vitambaa, pedi, pamba na tishu ambazo hazikutolewa wakati wa hedhi
tishu wakati wa kumaliza kujisaidia, hivyo kuacha mabaki ambayo yanasababisha tatizo hilo
wa sehemu za siri usipozingatiwa hasa baada ya hedhi kumalizika huweza kuwa mazalia mazuri ya bacteria wanaosababisha harufu
muda mrefu na pedi bila kubadili
chupi mbichi, chafu na nguo nyinginezo za ndani mara kwa mara na bila kuzifua.
DALILI YA UGONJWA HUU
1: kutokwa ute au majimaji yasiyo ya kawaida yenye harufu kali k**a shombo ya samaki
2: maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu
3: kutokwa na uchafu wenye rangi k**a ya kijani
4: kuwashwa sehemu za siri na kutokwa vidonda mpaka mapajani k**a hutatumia dawa
5: kutokwa ute uliochanganyika na damu hata k**a haupo kwenye hedhi
6: maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
Ushauri, zingatia usafi wa nguo za ndani. Fua na zianike nje. Hakikisha unapomaliza period kujisafisha vizuri,na vilevile usirudie nguo ya ndani bila kuifua na kuipasi.
Tumia bidhaa zetu za asili kwa ubora wa afya yako, hukukinga dhidi ya bacteria hatarishi wanaosababisha magonjwa katika kizazi/ukeni, zitakufanya uwe salama wakati wote na pia hutibu magonjwa yote sugu katika mfumo wa uzazi.
Kwa msaada na huduma zaidi piga 0758079448
Share