Afya Care

Afya Care Afya iliyo njema ni haki kwa kila mtu

Nani Mwingine Angependa Kujipatia Ofa Ya Upimaji Mwili Mzima Na Kuhudumiwa Kwa Haraka...K**a una changamoto ya kiafya un...
02/02/2023

Nani Mwingine Angependa Kujipatia Ofa Ya Upimaji Mwili Mzima Na Kuhudumiwa Kwa Haraka...

K**a una changamoto ya kiafya unahitaji sehemu inayotoa uhakika wa matibabu na kukuhudumia kwa haraka.

Inawezekana umepoteza muda mwingi na fedha nyingi kutatua tatizo hilo lakini hakuna matokeo chanya uliyopata mpaka sasa
Karibu Katika kituo cha afya cha Eternal Health,
Tuna huduma ya upimaji mwili mzima kwa sh 20,000 tu na kuhudumiwa kwa haraka!

Utafanyiwa Upimaji Katika Mifumo Yote Ya Mwili Katika:
✳Mifupa.
✳Mmeng'enyo wa chakula.
✳Uzazi kwa kina mama.
✳Uzazi kwa kina baba.
✳Fahamu.
✳Ngozi.
✳Upumuaji.
✳Macho.
✳Masikio.

Pia matibabu na tiba za magonjwa na maradhi mbalimbali zinapatikana k**a Kisukari, Saratani, Presha, Bawasiri, Vidonda vya tumbo, Tezi dume, Ngiri, Moyo kutanuka, Matatizo ya kibofu na mkojo, Maumivu makali ya nyonga, miguu, mgongo, mifupa, Miguu kuwaka moto na kuvimba, Uvimbe, Aleji, Bandama, Pumu, Matatizo ya kupooza ,Uzazi, Figo, Macho, Meno, Homa ya ini. Uzito na Unene.

▪ Hebu fikiria unapata suluhisho la uhakika la tatizo lako baada ya mateso ya muda mrefu.

▪ Fikiria ile furaha utakayokuwa nayo baada ya kugundua umepona.

▪ Hebu fikiria unapata suluhisho la uhakika la tatizo lako baada ya mateso ya muda mrefu.

▪ Hebu fikiria sasa umepima na umejua nini kilichokuwa kinakusumbua na kukutesa.

▪ Fikiria unakutana na wataalamu wa afya kisha wanakupa ushauri utakaokusaidia kuondokana na changamoto hiyo ya kiafya.

▪ Hebu fikiria unaokoa fedha zako kwa kupata matibabu ya uhakika na kuhudumiwa kwa haraka.

Zipo shuhuda nyingi kutoka kwa watu mbalimbali ambao wameweza kupona na kupata nafuu baada ya mateso ya muda mrefu kutokana na magonjwa na maradhi yaliyokuwa yanawasumbua.

Tupo Dar-es-Salaam, Kariakoo mtaa wa uhuru .

Tafadhali wasiliana nasi kwa namba ya simu:
0684533514.

P.S Thamani ya kipimo hiki ni sh 55,000 Lakini ndani ya mwezi huu utaipata kwa Ofa ya sh 20,000 Tu!

Address

Majumasita
Dar Es Salaam

Telephone

+255684533514

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram