Afya ya Uzazi na Watoto

Afya ya Uzazi na Watoto pata suruhisho la uzazi na afya za watoto

KINATIBU ZAIDI YA MAGONJWA 30  Bado  tunakukumbusha  kuwa 🧄 Hi ni Natural🌱 ant biotic🌱 Ant fungal🌱 Ant viral🌱 Ant septic...
10/02/2022

KINATIBU ZAIDI YA MAGONJWA 30

Bado tunakukumbusha kuwa 🧄

Hi ni Natural
🌱 ant biotic
🌱 Ant fungal
🌱 Ant viral
🌱 Ant septic
🌱 Ant yeast
🌱 Ant inflammatory
🌱 Ant bacteria
🌱Ant allage

Nipigie sasa kupata ambayo tayri ipo kitaalamu mfumo wa kidonge kwa kutafuna tu hivyo vitunguu saum na maji havikutoshi utanuka mdogo bure na matokeo usipate vizuri
Ongea na mwambie nahitaji Garlic 🧄

Narudia kusema Hi ni ant biotic nzuri sana ya kutibu infection sugu k**a fangasi (candidas) yeast infection wanatoa hizo discharge mbaya ukeen, inatibu u.t.i sugu (urinary track infection ) PID sugu pelvic inflammatory disease maambukizo kwenye via vya uzazi

Habari nzuri ninacho kitunguu saumu tayri kwenye mfumo wa kidonge Ni based in nature but packed by science ziko inform ya vidonge kitaalamu kabisa no chemical added

Nb:Cakula bora ni dawa usipo kula chakula k**a dawa utakula dawa k**a chakula

Call me/whtsap
📞📲0765234093.

SABABU ZINAZOWEZA PELEKEA MWANAMKE KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI NA KUSABABIDHA UCHELEWE KUNASA UJAUZITO NINakupelekea kuch...
10/02/2022

SABABU ZINAZOWEZA PELEKEA MWANAMKE KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI NA KUSABABIDHA UCHELEWE KUNASA UJAUZITO NI

Nakupelekea kuchelewa kunasa mimba kwa wakati

🌷Kuwa na Uvimbe ambao umeota kwenye mirija ya uzazi

🌷Kuwa na Ugonjwa wa maambukizi ya kizazi na Nyonga.
🌷 Kuwa na historia ya mimba kutunga nje ya kizazi.

🌷 Magonjwa ya zinaa na upasuaji wa tumbo au uvimbe kwenye ukuta wa uzazi.

🌷 Kuwa na maambukizi kwenye mirija yaliyo sababishwa na utoaji wa mimba, kupasuka kwa kidole tumbo.
🌷Uzazi wa mpango (Lupu/Kitanzi

🌱 Ajari iliyo husisha Tumbo.
🌱Mirija kujaa maji.

Kwa ushauri na msaada zaidi
wasiliana nami nipigie tuongee nikushauri vizur zaidi ndg ikibidi nikupe suluhuhisho sahihi la Tatizo lako
☎📞 0765234093

*KISUKARI KISUKARI KISUKARI* *•Unamfahamu Mgonjwa Anayeumwa KISUKARI??**•Awe Ndugu yako, Rafiki, Jirani, Mme/Mke wako Au...
17/01/2022

*KISUKARI KISUKARI KISUKARI*

*•Unamfahamu Mgonjwa Anayeumwa KISUKARI??*

*•Awe Ndugu yako, Rafiki, Jirani, Mme/Mke wako Au Jamaa Yako???*

*•Je, Unajua Kuwa Yupo Kwenye Wakati Mgumu Kiakili, Kisaikolojia, Kiafya nk, Na Amekata Tamaa Kutokana Na Tetesi au Majibu Kuwa hawezi Kupona Kabisa Ugonjwa Wake?*

*•Unaonaje K**a, Ukimpa Taarifa Kuwa Tatizo Lake Lina Suluhisho la Kupona Na Atarudia Hali Yake K**a Zamani Huoni K**a Utakuwa Umemuokoa Mtu Huyo Na Atakushukuru Maisha Yake Yote??*

*¶Katika hali hiyo haya humpata mtu;*
*1. Njaa ya mara kwa mara, glukosi inapopungua.*
*2. Kukojoa mara nyingi , kuondoa sukari. Mkojo huwa mtamu.*
*3. Kiu, kwa sababu sukari huvuta majimaji kutoka kwenye seli na kwenye figo. Mwili hupungukiwa kiasi cha maji.*
*4. Uchovu, Kupungukiwa nguvu ya Kufanya tendo la Ndoa, Nishati inakuwa haitoshi.*
*5. Maluweluwe, Kushindwa Kuona Vizuri, Ubongo unakosa nishati.*
*6. Kichwa kuuma, taarifa kwako kwamba mwili hauko sawa.*
*Na dalili nyingine nyingi.*

Wengi wamepona na Kumshukuru Mungu kupitia huduma ya Matibabu tunayotoa.

*Sehemu Nyingi hawatibu kiini cha Tatizo wanatibu matokeo ya Tatizo na hiyo imekuwa sababu ya magonjwa mengi kuonekana sugu au hayatibiki, mfano Ugonjwa wa Kisukari wanadeal na Hali ya Ugonjwa, K**a Kisukari ni Cha Kupanda unapewa Dawa za Kushusha k**a Sukari IPO katika Hali ya Kushuka Mgonjwa unapewa Dawa za kupandisha.*

*Matibabu tunayotoa tunatibu Kisukari kwa Ujumla Wake, Kwanzia Kinga ya Mwili, Kongosho, Damu, na Kuzuia sukari unayoiingiza mwilini kupitia chakula.*

*UKWELI ULIVYO*
*Ukipata Tiba sahihi Kupona ni Uhakika.*

*•Share Taarifa Hii Kuwa KISUKARI Kinatibika Kabisa,*

Kwa Ushauri Na Tiba Wasiliana Nami piga/ what's 0765234093

*•Share Hadi Imfikie Mgonjwa Anayeugulia Kwa Maumivu makali Kitandani Na Hana Tumaini La Kupona.*

FAIDA ZA SALMON OIL (MAFUTA YA SAMAKI)  KWA MTOTO.🐟Omega-3 muhimu katika afya ya ubongo hvyo husaidia kupandisha IQ ya m...
06/01/2022

FAIDA ZA SALMON OIL (MAFUTA YA SAMAKI) KWA MTOTO.

🐟Omega-3 muhimu katika afya ya ubongo hvyo husaidia kupandisha IQ ya mtoto, huboresha kumbukumbu, na maendleo ya ubongo kwa ujumla.
🐟omega-3 ni muhimu kwa maono au kazi ya macho
🐟omega-3 inasaidia viungo kuwa na nguvu au huimarisha mifupa kuwa imara hivyo ni nzuri kwa watoto wenye matege( rickets)
🐟 Ni nzuri kwa watoto wenye changamoto ya ngozi ( Acne)
🐟 Omega-3 huimarisha moyo na kuepusha na maradhi.
🐟 Omega-3 husaidia mtoto kupata vitamin B na hvyo kumsaidia kupata hamu ya kula
🐟omega-3 husaidia kuondoa kuzuia mzio katika mwili wa mtoto
🐟omega-3 ni msaada kwenye ukuaji wa ubongo wa mtoto wakati mama akiwa mjamzito na baada.
🐟omega-3 inasaidia kuepusha na saratani.

Je mwanao anachangamoto hizi?
🔹 Kutoelewa darasani?
🔹Kukosa uwezo wa kuona vizuri
🔹Kutokuwa na kumbukumbu
🔹Mtoto anakosa hamu ya kula
🔹 Mtoto sio mchangamfu?
*Jibu ni 🐟🐟salmon oil🐟🐟*

+255765234093

Usiendelee kuteseka hata k**a hospital wameshindwa KWETU hatushindwi na kitu Changamoto za uzazi na maradhi k**a ▪️Kutos...
06/01/2022

Usiendelee kuteseka hata k**a hospital wameshindwa KWETU hatushindwi na kitu

Changamoto za uzazi na maradhi k**a
▪️Kutoshika Mimba bila sababu
▪️Uvimbe kwenye kizazi (FIBROID).
▪️Mirija kuziba.
▪️Ovary Cyst.
▪️P.I.D sugu.
▪️U.T.I sugu .
▪️Uchafu na Harufu Mbaya ukeni!.
▪️Hormone imbalance.
▪️Mimba kutoka au kuharibika.
▪️Kutopata hamu ya tendo.
▪️Maumivu wakati wa tendo.
▪️Damu ya Hedhi kutoka k**a Maini!.
▪️Mvurugiko wa Hedhi.
▪️Dalili za ujauzito lakini hauna ujauzito.

Nipigie kukupa ushauri na Tiba Whatsapp au piga +255765234093.

Je unasumbuliwa na tatizo la mimba kuharibika mara kwa mara?? Na umehangaika bila mafanikioo ? Usikate tamaa wasiliana n...
06/01/2022

Je unasumbuliwa na tatizo la mimba kuharibika mara kwa mara??

Na umehangaika bila mafanikioo ?

Usikate tamaa wasiliana nasi tukupatiee suluhisho la kudumu

Whatsapp au piga 📞+255765234093.

Wasiliana Nasi upate ushauri na Tiba 0765234093.
03/01/2022

Wasiliana Nasi upate ushauri na Tiba 0765234093.

Mmeteseka sana kupata mtoto basi 2022, MUNGU AKUKUMBUKE katika hitaji lako Kwa ushauri na Tiba ya matatizo ya   wasilian...
03/01/2022

Mmeteseka sana kupata mtoto basi 2022, MUNGU AKUKUMBUKE katika hitaji lako

Kwa ushauri na Tiba ya matatizo ya wasiliana nasi Kwa 0765234093.

Wasiliana nasi zipo Herbs za kutosha kukuponya tatizo lako piga / what's 0765234093.
03/01/2022

Wasiliana nasi zipo Herbs za kutosha kukuponya tatizo lako piga / what's 0765234093.

DALILI ZITAKAZOKUONYESHA KWAMBA UNA UVIMBE KWENYE KIZAZI (UTERINE FIBROID)👉Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi, ama k...
12/11/2021

DALILI ZITAKAZOKUONYESHA KWAMBA UNA UVIMBE KWENYE KIZAZI (UTERINE FIBROID)

👉Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi, ama kupata
hedhi mara mbili kwa mwezi.
👉Maumivu makali wakati wa hedhi.
👉Maumivu makali wakati wa hedhi
👉Maumivu ya tumbo chini ya kitovu,
👉Hedhi zisizokuwa na mpangilio
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
👉Mimba kuharibika wakati mwingine mimba kutotungwa kabisa (ugumba)

Uvimbe huu unapokuwa mkubwa husababisha dalili zifuatazo;
👉Kukojoa mara kwa mara
👉Choo kuwa kigumu ama kukosa choo.
👉Kupungukiwa damu

Zipo dalili nyingi pia
Kwa matibabu wasiliana nasi pipote garama zina tofautiana na uvimbe
Kwa uvimbe mchanga kabisa unao anza garama ni 180000
Kwa uvimbe zaidi ya cm 1 tutakupa dozi ya siku 90 ili kusaidia kuyeyusha uvimbe

Karibu wasiliana nasi ondoa uvimbe bila upasuajii piga/ what's 0765234093

08/11/2021

Je, umekuwa ukisumbuka na matatizo ya uzazi?

> Kutokwa na uchafu sehemu za Siri?
> Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa au chini ya kitovu, kiuno na mgongo?
> Miwasho na maji maji yenye harufu?
> Maumivu wakati wa Hedhi?
>Huoni siku Zako za Hedhi au kubadirika badirika?.
>Mwanaume unawahi kufika Kileleni ? (dk5) tu 😀

Leo nimekuja KUKUSAIDIA na Tiba ya HERBS PRODUCT.
K**a umetumia sana Dawa Lakini tatizo linaondoka linarudi , basi ni Mda WAKO wa kupona.

Umetafuta MTOTO Kwa Mda gani bila mafanikio?, usilie Wala usikate tamaa Leo nimekuja kukusaidia na FERTILITY BOOSTER
Ukitumia baada ya miezi mitatu utabeba ujauzito.

NINATOA OFA KWA WEWE MWANAMKE/MWANAUME AMBAE UNAPATA MIWASHO SEHEMU ZA SIRI NITAKUPATIA DAWA YANGU KWA SHILING 10000 TU. POPOTE UTATUMIWA MIKOA YOTE.

Nipo online niweze kukusaidia na kukuhudumia Piga 📞
au Njoo WHAT'SP 0765234093.

Tupo kukusaidia wewe , mwanaume unaeteseka na nguvu za kiume,.Unawahi kufika kileleni Yaani Ndani ya sekunde 30 wewe tay...
26/10/2021

Tupo kukusaidia wewe , mwanaume unaeteseka na nguvu za kiume,.

Unawahi kufika kileleni Yaani Ndani ya sekunde 30 wewe tayari upo hoi, haikubariki sio Sawa na humtendei haki mwenzako.

Hebu njoo tuzungumze nikusaidie zipo Herbs ambazo zinaenda kumaliza tatizo lako.

Nipigie au what'sp namba 0765234093.

Address

SINZA
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya Uzazi na Watoto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya Uzazi na Watoto:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram