12/04/2023
*BAWASIRI (HEMORRHOIDS* )
🔹Bawasiri ni uvimbe wa mishipa ya damu inayozunguuka katika kuta za njia ya haja kubwa.
Kuna aina mbili za Bawasiri ambayo ni bawasiri ya ndani na ya nje
Ugonjwa huu uwapata watu wa fika mbali mbali na wa jinsia zote k**e na kiume.
*Sababu za bawasiri*
Kuna sababu tofauti zinazopelekea mtu kupata maradhi haya mfano k**a ifuatavyo:- Uzee, ujauzito, kuharisha, kufunga, kuinua vitu vizito, kukaa kwa muda mrefu, kujikamua sana wakati wa kujisaidia haja kubwa, mapenzi ya kinyume na maumbile n.k
*Dalili za bawasiri*
Kuna dalili nyingi tu za kuashiria una tatizo la bawasiri baadhi ni k**a ifuatavyo:-
i) maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
ii) miwasho sehemu ya haja kubwa
iii) tumbo kujaa gesi
iv) kutopata choo kwa muda mrefu
v) kupata choo kigumu au choo k**a cha mbuzi
vi) kupata choo chenye damu
vii) kutokwa na uvimbe sehemu ya haja kubwa
*Madhara yake*
Madhara ni mengi sana ila baadhi ya madhara ya ugonjwa huu ni pamoja na;
▪️Maumivu makali yanayoweza kupelekea homa
▪️kupata choo kwa tabu sana na katika hali ya maumivu
▪️mimba kuharibika (wanawake)
▪️kukosa hamu ya tendo la ndoa hii ni kwa jinsia zote
▪️kusinyaa sehemu uume
▪️kushindwa kurudia tendo la ndoa
▪️endapo uvimbe utatoka nje itapelekea kushindwa kukaa kabisa kwa sababu ya maumivu
▪️kuaribu saikolojia ya nuathirika maana wengi wao wanaumwa lakini wanaona aibu kujitibu kutokana na sehemu ugonjwa ulipo
▪️kuna uwezekano wa kusababisha saratani ya utumbo mpana kutokana na mchubuko uliopo katika uvimbe
*TIBA YAKE*
✅ Kuna aina mbili za kutibu maradhi haya HOSPITALI na ASILIA.
Binafsi natibu maradhi haya kwa njia asilia kwa dawa ya JHK na hatua zake za kimatibabu
NB; ningependa kila mmoja afahamu kuwa njia sahihi ya maradhi haya ni tiba asilia kwa kuwa mara nyingi hospitali wanatumia njia ya upasuaji hivyo uweza kukusababishia tatizo lingine, vile vile ugonjwa huu unatabia ya kujirudia haswa kwa watu waliofanyia upasuaji kwa kuwa hawajatibu tatizo kwa hatua, pia sio kila dawa asilia ni tiba ya bawasiri hivyo unapaswa kuwa makini ili watu wasitumia maradhi yako katika kujinufaisha.
⛔ maradhi haya uwa yanawasambua watoto pia
Kutumia namba hii hii pia unaweza nitafuta kwa niaba ya kulitatua tatizo lako kwa uaminifu mkubwa asilimia mia 100%
Faragha ya mgonjwa kuzingatia kwa asilimia zote
Sitokaa mbali na wewe mpaka nihakikishe umepona kabisaa 100%
Usijali k**a upo mkoani utapata dawa na tutakuwa pamoja katika ushauri wa nini unapaswa kufanya hatua kwa hatua.
Hakika kwa uwezo wa Allah utapona kabisa Insha'Allah.
MAWASILIANO
WhatsApp 0744869401
SMS 0744869401
CALL 0744869401