14/11/2025
Unadhani ni kwanini wagonjwa wa kisukari wanaongoza kwa masharti mengi ya matumizi ya vyakula?
Hii ni kutokana na mahusiano yaliyopo kati ya mfumo wa damu na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na maeneo mengine k**a ubongo na kwingineko.
Sababu tano (5) zinazopelekea mtu kuzalisha sukari ni pamoja na:-
● Ulaji usiozingatia lishe bora
● Matumizi ya madawa bila kuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya
● Kutokufanya Mazoezi
● Sababu za Kijenetic /kurithi
● na Mazingira
Hizi ni sehemu ya sababu ambazo k**a hazitazingatiwa basi ujue hutokwepa kupata ugonjwa wa kisukari
Kwa kuzingatia hilo tumekuandalia program maalum ya matibabu na ushauri ili kuondokana kabisa na tatizo la kisukari
Tunapatikana Kimara au unaweza kutupigia kwa namba 0713 622 699 Asante