Afya bora ni uhai.

Afya bora ni uhai. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya bora ni uhai., Medical and health, Ilala boma, Dar es Salaam.

Tatua changamoto za kkiafya kwa wanaumme
Kamw vile
Kuishiwa nguvu zaakiume
Kushindwa kutungisha mimba
Kutoweza kusimamisha
Kwenda bao moja kwa sekunde chache

Tezi dume

Ngiri

Nk

TEZI DUME NI NINI?zaidi saratani ya tezi dume.• Haja ndogo kuchelewa kutoka imesambaa. • Kutoa mkojo wenye mtiririko dha...
17/04/2022

TEZI DUME NI NINI?
zaidi saratani ya tezi dume.
• Haja ndogo kuchelewa kutoka
imesambaa.
• Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
yaliyochanganyika na damu
v Pia ni chanzo kikuu cha vifo
hakijulikani, saratani hii ina uhusiano
na saratani kwa wanaume duniani.
• Kujikakamua wakati wa kukojoa na
wanaume wenye umri wa miaka 70 na
• Maumivu makali sehemu
• Kusikia kupata haja ndogo mara
• Maambukizi ya Bakteria
vinavyosababishwa na saratani kwa
• Kuwa na uzito uliokithiri.
miaka 60 na kuendelea wanapata
(Prostatitis).
YA TEZI DUME
kwa tezi dume lisilokuwa saratani
• Kukua kwa tezi dume ambalo
mafuta, hasa ya wanyama.
kushindwa kumaliza mkojo wote.
• Saratani ya tezi dume.
• Vyakula vyenye kiasi kikubwa cha
• Umri, Wanaume wenye umri kuanzia
SARATANI YA TEZI DUME
tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo
v Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume
VITU VINAVYOSABABISHA SARATANI
na linazunguka njia ya mkojo toka
(Genetic).
saratani.
kwenye kibofu kwenda kwenye uume.
baada ya kumaliza kukojoa.
• Kutoa mkojo au manii
v Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi
(BPH). Dalili hizo ni pamoja na;
na kuchuruzika kidogo kidogo
KAZI YA TEZI DUME
sio saratani (Benign Prostatic
v Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume
• Historia ya tatizo hili kwenye familia
uchovu na kizunguzungu.
v Katika hatua za awali, dalili
unaweza kuwa wa kawaida au
v Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la
vSaratani ya tezi dume inashika nafasi ya
mkubwa na;
dume.
tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo
kwa mara hasa nyakati za usiku
unapoanza kukojoa.
nalo huongezeka ukubwa ambao
• Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu,
DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME
hazitofautiani sana na zile za kuvimba
kuendelea.
v Kutoa majimaji anayochanganyika na
mbalimbali za mwili k**a saratani
kiume ambalo kila mwanaume analo,
Hypertrophy-BPH).
mbegu za kiume (sperms) kutengeneza

UJUE UGONJWA WA BAWASILI, MADHARA YAKE Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirik...
13/04/2022

UJUE UGONJWA WA BAWASILI, MADHARA YAKE
Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba.Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

A.NINI KINASABABISHA BAWASIR ?
Miongoni mwa visababishi vya bawasir ni;
-Tatizo sugu la kuharisha
-Kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu
-Uzito kupita kiasi(OBERSITY)
-Ngono ya njia ya haja kubwa(ANAL S*X)
-Umri mkubwa na mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo.
B.DALILI ZA BAWASIR
-Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia
-Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa
-Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)
-Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.
-Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.
-Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.
C.ATHARI ZA BAWASIR
-Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
-STRAGULATED HEMORRHOID
-Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
-Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
-Kuathirika kisaikolojia
-Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
-Kupungukiwa nguvu za kiume. kwa msaada zaidi wasiliana nasi *+0745136428
*WhatsApp 0745136428
# AFYA

10/04/2022

TEZI DUME NI NINI?.

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-

✓Kukojoa Mara kwa mara.
✓kubakiza mkojo kwenye kibofu.
✓kukojoa saana usiku.
✓Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
✓Kupungukiwa nguvu za kiume
✓UTI ya Mara kwa mara.
✓Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
✓Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
✓Kupoteza fahamu.
✓Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
✓Uume kushindwa kusimama vizur.
✓Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-
1)Kushindwa kabisa kukojoa.
2)Kupatwa na maambukizi ya UTI
3)Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4)Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
5)Figo inaweza kuharibika.

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
KARIBU UPATE HUDUMA🤝+255745136428

Whatsap https://wa.me/c/255745136428

10/04/2022

TEZI DUME NI NINI?.

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-

✓Kukojoa Mara kwa mara.
✓kubakiza mkojo kwenye kibofu.
✓kukojoa saana usiku.
✓Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
✓Kupungukiwa nguvu za kiume
✓UTI ya Mara kwa mara.
✓Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
✓Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
✓Kupoteza fahamu.
✓Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
✓Uume kushindwa kusimama vizur.
✓Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-
1)Kushindwa kabisa kukojoa.
2)Kupatwa na maambukizi ya UTI
3)Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4)Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
5)Figo inaweza kuharibika.

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
KARIBU UPATE HUDUMA🤝+255745136428

Whatsap https://wa.me/c/255745136428

Vidonda vya tumbo ni ugonjwa unaotokea baada ya kuta au utumbo mdogo kuliwa na bacteria.DALILI ZA ViDONDA VYA TUMBO1.Kup...
09/04/2022

Vidonda vya tumbo ni ugonjwa unaotokea baada ya kuta au utumbo mdogo kuliwa na bacteria.

DALILI ZA ViDONDA VYA TUMBO
1.Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa
k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula

2.Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo

3.Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa

4.Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu

5.Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu

6.Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito

7.Kushindwa kupumua vizuri
MADHARA YA VIDONDA TUMBO
Saratan ya utumbo

Kupungua kwa kinga ya mwili

Kupungua uzito

Kupungua nguvu za kiume

Kupoteza viini lishe mhimu mwilini
watsap.com;0745136428

Madhara ya Bph (Kuvimba Tezi Dume)K**a ilivyo saratani ya tezi dume, inaweza kumletea mgonjwa madhara (complications) ka...
07/04/2022

Madhara ya Bph (Kuvimba Tezi Dume)

K**a ilivyo saratani ya tezi dume, inaweza kumletea mgonjwa madhara (complications) kadhaa. Madhara hayo ni pamoja na

Mkojo kushindwa kutoka (retention of urine)

Mgandamizo kwenye kibofu cha mkojo

Vijiwe kwenye kibofu cha mkojo

Uambukizi katika njia ya mkojo (UTI)

Madhara katika figo au kibofu

Shinikizo la damu

Kushindwa kutoa shahawa kwenye uume (retrograde ej*******on)

Nimonia (Pneumonia)

Damu kuganda
0745136428;sululisho lipooo!!

06/04/2022

Matatiizo ya viungo na mifupa

TATIZO la tumbo kujaa gesi husababishwa na kumeza chakula pamoja na gesi inayotolewa katika vyakula mbalimbali tunavyovi...
04/04/2022

TATIZO la tumbo kujaa gesi husababishwa na kumeza chakula pamoja na gesi inayotolewa katika vyakula mbalimbali tunavyovila na ambayo hujaa tumboni na kwenye utumbo mdogo.
Hali hii husababisha tumbo kujaa au kuvimba.

NINI HUSABABISHA
Tatizo ili mara nyingi husababishwa na huambatana na mambo yafuatayo:
1. Kula vyakula vyenye mafuta mengi ambayo huchelewesha tumbo kufunguka kwa ajili ya usagaji wa chakula.

2. Kunywa vinywaji vyenye Carbonates, cola na kula vyakula vyenye gesi k**a maharage, bigiji, vitunguu, kabichi n.k

3. Msongo wa mawazo na hasira.

4. Kula haraka haraka na kula unaongea.

5. Uvutaji wa Sigara

6. Magonjwa na maambukizi katika mfumo wa chakula asa kwenye tumbo na utumbo ambayo huzuia kusagwa na kufyonzwa kwa chakula.

Watoaji wa huduma bora kwa magonjwa yotee

MADHARA YA KUTOPATA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU (CONSTIPATION) Watu wengi hudhani ni hali ya kawaida kupata CHOO KIGUMU a...
01/04/2022

MADHARA YA KUTOPATA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU (CONSTIPATION)

Watu wengi hudhani ni hali ya kawaida kupata CHOO KIGUMU au KUTOPATA CHOO kabisa. Wengine hukaa siku nzima, siku mbili au tatu bila kupata CHOO, wengine hupata CHOO KIGUMU hii ni hatari sana.... Usipuuzie.

Madhara ya KUTOPATA CHOO au kupata CHOO KIGUMU ni makubwa sana.

# Bawasili (Hemorrhoids)
Kutanuka kwa mishipa ya damu kunakotokana na nguvu nyingi unayotumia wakati wa kujisaidia. Hii hupelekea maumivu makali kwenye njia ya haja kubwa.

# Kupasuka kwa layer ya ndani ya njia ya haja kubwa. (A**l Fissure): Ni kutokana na nguvu nyingi inayotumika wakati wa kujisaidia. Hutokea sana kwa watoto.

# Kuchungulia kwa sehemu ya utumbo kwenye njia ya haja kubwa( Re**al Prolapse).

# Magonjwa ya utumbo. Kutokana na kinyesi kukaa kwa muda mrefu bila kutolewa hupelekea kupata maambukizi ya Magonjwa mengi yatokanayo na bakteria n.k na kwa muda mrefu hupelekea kupata kansa za utumbo.
Pia U.T.I, Mkojo kushindwa kutoka vizuri, maumivu ya sehemu ya mgongo n.k

NAMNA YA KUWEKA AFYA YAKO VIZURI NA KUJIONDOA KWENYE HATARI YA KUPATA CONSTIPATION, PIA KUSAIDIA KUFANYA KINYESI KUA LAINI.
Mawasiliano piga
📲📱0745136428
gusa link hii kuchart na mm moja kwa moja

https://wa.me/255745136428

Karibu, k**a wewe ni Muhanga wa tatizo la bawasiri nitafute namba 0745136428 nikupatie dawa upone mara moja. Je unawashw...
31/03/2022

Karibu, k**a wewe ni Muhanga wa tatizo la bawasiri nitafute namba 0745136428 nikupatie dawa upone mara moja. Je unawashwa sehemu ya haja kubwa? Je unapata maumivu wakati wa haja kubwa? Je umetokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa? Nione nikupe dawa ya kumaliza kabisa tatizo Hilo 🙏 bila upasuajii!!

DALILI ZA MAUMIVU YA UTI WA MGONGO!!Dalili na viashiria vya uti wa mgongo ni pamoja naShingo kukak**aa na kuwa ngumu isi...
30/03/2022

DALILI ZA MAUMIVU YA UTI WA MGONGO!!

Dalili na viashiria vya uti wa mgongo ni pamoja na

Shingo kukak**aa na kuwa ngumu isivyo kawaida

Mgonjwa kujihisi homa kali

Maumivu makali ya kichwa

Mgonjwa kupoteza fahamu

Mgonjwa kupatwa na degedege (seizures) na mwili kukak**aa

Mgonjwa kushindwa kuvumilia mwanga (photophobia)

Mgonjwa kutoweza kukaa sehemu yenye makelele (phonophobia)

Kwa watoto, kuvimba utosi
0745136428;k**a unasumbuka nitafute sululisho lipo bila upasuaji.

CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASORI1. Kuwa na Kinyesi kigumu (Constipation)2. Kuketi kwa muda mrefu kwenye choo3. Kuharisha (...
30/03/2022

CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASORI
1. Kuwa na Kinyesi kigumu (Constipation)

2. Kuketi kwa muda mrefu kwenye choo

3. Kuharisha (Kuhara) mara kwa mara

4. Kuvimbiwa

5. Kuwa mnene au mzito

6. Kuwa mjamzito

7. Kuingiliwa nyuma kimaumbile

8. Kutokula vyakula vyenye nyuzinyuzi

9. Kuinua/Kunyanyua vitu vizito mara kwa mara

10. Kunyoosha wakati wa haja kubwa
Nitafute nikusaidie;0745136428
# Afya bora ni uhai.

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam

Telephone

+255745136428

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya bora ni uhai. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram