Dorcas Afya care

Dorcas Afya care Ninakusaidia Kuondokana na changamoto za magonjwa ya uzazi kwa kutumia Tiba lishe ,pamoja na vyakula

PIGA SIMU 0614834909

Tuna mafuta mazuri ya ngozi kwaajili yako.Naranja body oil ni mafuta salama kwa ngozi yako yanaongeza unyevuunyevu usoni...
21/06/2025

Tuna mafuta mazuri ya ngozi kwaajili yako.

Naranja body oil ni mafuta salama kwa ngozi yako yanaongeza unyevuunyevu usoni ,Na kuiacha ngozi yako ikiwa inavutia

Naranja body oil inafaida hizi katika ngozi
-Naranja oil inatakatisha ngozi
-Inaongeza unyevu
-Inanga'risha ngozi
-Inalainisha ngozi
-Inaondoa weusi mapajani
-Inaondoa weusi Kwenye kwapa
-Inaondoa weusi kwenye magoti na kwenye vidole
Thamani yake Tsh 25000 kopo kubwa
Kopo dogo Tsh 15000 .

Nina Package 5 tu

Weka order yako kwa kulipa Tsh 15000 au 25000 kwa TIGO LIPA 15251363 JINA DORCASAFYACARE
Ps mwisho wa kuweka order ni 25 mwezi huu

Baada ya hapo hatutakuwa nazo tena
Tupo mwanza mikoani tunatuma
Gharama za usafiri ni Tsh 4000 tunatumia bus ya isamilo

Ukitaka gari yako nje na isamilo itakubidi ulipie 10000 gharama ya usafiri
Dorcas Afya care
Dorcas Afyacare

Hedhi yako imebadilika sana ,Fahamu sababu ya maumivu makali wakati wa hedhi .K**a unapitia Changamoto ya maumivu makali...
14/02/2025

Hedhi yako imebadilika sana ,Fahamu sababu ya maumivu makali wakati wa hedhi .

K**a unapitia Changamoto ya maumivu makali wa hedhi na kukosa hedhi kabisa

Soma hii mpaka mwisho.

Tatizo la maumivu makali wakati wa hedhi pamoja na kukosa hedhi kabisa huweza kusababishwa na kiwango kisicho sahihi cha Hormones.

Hivi ndivyo hutokea Kiwango Cha chini sana cha hormone ya Estrogen husababisha usipate hedhi ,Au hedhi kuwa nyepesi sana hij ni kwa sababu Estrogen inapokuwa chini sana husababisha ukuta wa mji wa mimba usijengeke na kusababisha usiweze kupata hedhi kabisa.

Estrogen ikiwa juu sana huweza kusababisha ukuta wa mji wa mimba kuwa mnene kupita kiasi Hivyo kufanya hedhi yako kuwa nzito na yenye maumivu.

Hormone ya progesterone ikiwa chini sana Husababisha hedhi isiyo na mpangilio au usipate kabisa hedhi .

Hormone ya prolactin ambayo hutakiwa kupanda Tu endapo wewe ni mjamzito ikiwa juu sana huweza kusababisha usipate Hedhi kabisa kwani hutuma taarifa hasi kwenye mwili Ya kuwa wewe ni mjamzito tayari ama unayonyesha .

JINSI YA KUSHUGULIKIA TATIZO TUMIA TIBA LISHE YA TOATOA PLUS

GHARAMA YAKE KWA DOZE NI Tsh 250000
NUSU DOZE TSH 125000

KWW SASA UTAPATA KWA OFA YA TSH 75000 OFA NI NDANI YA SIKU TATU YAANI TAR 15-18

Jinsi ya kupata ofa hii wasiliana nasi kwa 0614834909

ToaToa plus na TamuTamu plus vipo mikononi mwa mtejaHii ToaToa plus na TamuTamu plus inatibu changamoto zote za uzazi JI...
07/02/2025

ToaToa plus na TamuTamu plus vipo mikononi mwa mteja

Hii ToaToa plus na TamuTamu plus inatibu changamoto zote za uzazi JINSI YA KUIPATA PIGA 0614834909

ToaToa plus ipo mikononi mwa mteja tayari kwa kuanza tibaFaida za kutumia ToaToa plus-Inaondoa harufu miwasho na uchafu ...
31/01/2025

ToaToa plus ipo mikononi mwa mteja tayari kwa kuanza tiba

Faida za kutumia ToaToa plus
-Inaondoa harufu miwasho na uchafu sehemu za siri
-Inaondoa U.T.I SUGU ,FUNGUS SUGU NA PID SUGU
-Inaweka sawa hormone zako
-Inaondoa uvimbe
-Inasafisha mirija

Jinsi ya kuipata piga simu /Tuma ujumbe kwa 0614834909

Dorcas Afyacare
Afya ya Uzazi
Dorcas Afya care

23/01/2025
Faida za kutumia TOATOA PLUS .-Inasafisha  sehemu  za siri,kuzifanya ziwe safi mda wote-Inaweja homoni zako sawa ,ukituk...
18/01/2025

Faida za kutumia TOATOA PLUS .
-Inasafisha sehemu za siri,kuzifanya ziwe safi mda wote
-Inaweja homoni zako sawa ,ukitukia mzunguko wako wa hefhi unakuwa sawa ,Unapata hedhi pasipo maumivh
-Inaondoa harufu ,uchafu pamoja na hali ya kuwashwa
-Inatibu U.T.I SUGU ,FUNGUS SUGU NA PID SUGU
_Inaimarisha afya ya ovari na mayai

Inapatikana kwa bei ya ofa ya Tsh 75000 bafala ya Tsh 250000
Jinsi ya kupata ofa hii piga/Tuma ujumbe kwa 0614834909

Kubeba  ujauzito ni rahisi sana ,furaha ya ndoa ni kuwa na watotoIfanye kila siku ndani ya ndoa yako kuwa tamu na yenye ...
18/01/2025

Kubeba ujauzito ni rahisi sana ,furaha ya ndoa ni kuwa na watoto

Ifanye kila siku ndani ya ndoa yako kuwa tamu na yenye radha ya kipekee ukifurahia kila hatua ya tendo la ndoa.

Kila kitu kinaweza kubadilika kabisa kwenye ndoa yako na Tendo la ndoa ,Unaweza kufurahia faragha ukiwa na mume wako kwa KUTUMIA TIBA LISHE YA TAMUTAMU PLUS

TIBA LISHE HII Inakusaidia kupata hamu ya tendo la ndoa na kuchochea kiu ya kukutana kimwili na Mume wako ,kadri unavyokuwa karbu nae ndivyo urafiki wenu wa kimapenzi unaongezeka.

Hii unaipata kwa Ofa ya Tsh 75000 badala ya Tsh 250000

Jinsi ya kupata ofa hii piga/Tuma ujumbe kwa 0614834909
Dorcas Afya care
Dorcas Afyacare
Afya ya Uzazi

Kwa msaada wa karibu Tiba na ushauri piga/Tuma ujumbe kwa 0614834909Dorcas Afya care Afya ya Uzazi Dorcas Afyacare
16/01/2025

Kwa msaada wa karibu Tiba na ushauri piga/Tuma ujumbe kwa 0614834909
Dorcas Afya care
Afya ya Uzazi
Dorcas Afyacare

Faida  za KUTUMIA  TOATOA PLUS-Inakusaidia unaondokana na hali ya kuwashwa  ,kutokwa na uchafu pamoja na harufu mbaya se...
15/01/2025

Faida za KUTUMIA TOATOA PLUS
-Inakusaidia unaondokana na hali ya kuwashwa ,kutokwa na uchafu pamoja na harufu mbaya sehemu za siri
-Inakusaidia Kuondokana na maumivu makali wakati wa hedhi
-Inarejesha hedhi na kukusaidia kupata hedhi kwa mpangilio
-Inakusaidia Kuondoa uvimbe kwrnye kizazi
-Inakusaidia Kusafisha sehemu za siri
-Inapevusha mayai

Zaidi ya wanawake 800 wametumia na kupata matokeo

Jinsi ya Kuipata PIGA SIMU/TUMA UJUMBE KWA 0614834909

Dorcas Afyacare
Afya ya Uzazi
Dorcas Afya care

ToaToa plus na TamuTamu  plus vipo mkononi mwa mteja tayari kwa kuanza TibaKwa msaada  wa karibu piga/Tuma ujumbe kwa 06...
14/01/2025

ToaToa plus na TamuTamu plus vipo mkononi mwa mteja tayari kwa kuanza Tiba

Kwa msaada wa karibu piga/Tuma ujumbe kwa 0614834909
Dorcas Afyacare
Dorcas Afya care
Afya ya Uzazi

Unapokuwa Umeugua FUNGUS kwa Mda MrefuUmekuwa Ukijaribu Kutumia Tiba pasipo mafanikioBASI SHIDA Inakuwa sio dawa Tena Sh...
12/01/2025

Unapokuwa Umeugua FUNGUS kwa Mda Mrefu
Umekuwa Ukijaribu Kutumia Tiba pasipo mafanikio

BASI SHIDA Inakuwa sio dawa Tena Shida inakuwa ni makosa madogo madogo pamoja na Tabia ambazo umekuwa ukizifanya bila kujua au kutokujua ndizo zinazochangia FUNGUS kutokupona.

Habari njema ni kwamba ,leo nimeamua nikuoneshe makosa hayo ,Ukiweza kuyaepuka itakuwa ndio mwanzo wa safari yako ya ushindi dhidi ya FUNGUS

KWA MSAADA WA KARIBU PIGA/TUMA UJUMBE 0614834909
Dorcas Afyacare
Afya ya Uzazi
Dorcas Afya care

Usipojifunza Kuzingatia Usafi wa Sehemu  za siri wakati wa hedhi unaweza kujikuta unapata Maambukizi ya FUNGUS  kila mwe...
08/01/2025

Usipojifunza Kuzingatia Usafi wa Sehemu za siri wakati wa hedhi unaweza kujikuta unapata Maambukizi ya FUNGUS kila mwezi mara tu baada ya Kumaliza hedhi.

Ndio Maana utajikuta ukipatwa hali ya kuwashwa pamoja na harufu mara tu unapomaliza hedhi yako

HIZI NDIZO SABABU ZINAZOBABISHA UWE UNAPATA MAAMBUKIZI YA FUNGUS KILA UNAPOKUWA HEDHI

01.Kutokubadilisha pedi mara kwa mara ,Damu ya hedhi huwa ina unyevu unyevu Pamoja na Joto hali ya Joto na unyeunyevu hutengeneza mazingira mazuri kwa FUNGUS kukua hivyo k**a utashindwa kubadilisha pad mara kwa mara utajikuta unapata FUNGUS mara kwa Mara hasa kipindi cha hedhi

02 .Kutumia Vifaa ambavyo Sio safi wakati wa hedhi kutumia vitambaa ,Taulo na Chupi ambazo si Safi zinaweza kubeba vimelea vya Fangasi na kusababisha Maambukizi

03.Kushindwa Kujikausha Vizuri baada ya kuoga ,K**a utashindwa kujisafisha vizuri na kukausha sehemu zako za siri baada ya kuoga ,Ile hali ya unyevuunyevu husababisha FUNGUS kuzaliana.

04.Kutokuoga Mara Kwa Mara Wakati wa hedhi husababisha Maambukizi ya FUNGUS unaposhindwa kuoga unasababisha Damu ya hedhi kuganda Sehemu za siri ,Uchafu ule hukaribisha Wadudu wa FUNGUS KUZALIANA .

Ufanye nini sasa ili kuepuka Maambukizi ya FUNGUS wakati wa hedhi.

-Badilisha pad yako kila baada ya masaa 3
-Tumia vitambaa au taulo safi wakati wa hedhi hakikisha zimekauka juani na kunyooshwa
-Oga mara kwa mara ,Hakikisha unasafisha vizuri Sehemu za siri unajifuta kwa kitambaa safi .KWA MSAADA WA KARIBU PIGA/TUMA UJUMBE 0614834909
Dorcas Afya care
Dorcas Afyacare
Afya ya Uzazi

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dorcas Afya care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram