22/03/2022
Maumivu ya goti yanaweza kumpata mtu yoyote.
Maumivu ya goti hutokea k**a kuna kuumia maeneo kwenye gegedu (cartilage) au ligament
Nini husababisha maumivu ya goti??
◇Kuisha kwa uteute (Synovial fluid ) Hii hupelekea mifupa kusagika kiurahisi.
◇Mifupa kukosa afya ( arthritis)
◇kiwango kikubwa cha tindikali mwilini
◇Maambukizi kwenye afya ya mifupa maungio n.k (Bursitis)
◇Majukumu ya kila siku, mazoezi
◇Uzito uliozidi (obesity)
◇Kulika kwa gegedu
◇Vijivimbe kwenye maungio (baker’s cyct)
◇Kulika kwa maungio joints (osteoarthritis)
Maumivu ya mara kwa mara ya tokanayo na inflammation Kwenye maungio kupelekea kuharibu mifupa (Rheumatoid Arthritis)
Maumivu ya muda mrefu hupelekra
-Goti kuvimba
-Kuwa na wekundu na kuhisi goti la moto unapoligusa
-Kuhisi kuchoka na kushidwa kusimama au kukaa mda mrefu
-Kusikia goti linatoa mlio
-Kukosa uimara kwenye goti
-Maumivu makali ya mara kwa mara
Madhara
>Kuvimba kwa magoti.
>Kuvuja damu
>Utashidwa kukaa, kusimama n.k
Wasiliana nasi
0620188287
Whatsapp
0752553051