Afya Bora ni muhimu

Afya Bora ni muhimu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Bora ni muhimu, Medical and health, Dar es Salaam.

13/01/2020

Upungugu was nguvu za kiume na Tina yake......

Wanaume wengi wameanza kukumbwa na tatizo la kukosa nguvu za kiume katika ndoa zao na katika mahusiano yao ambapo imewafamya kukosa Raha,hesuima, na wengine kukata tamaa ya maisha nakushauri usikate tamaa ungana nasi tunaojari afya yako kwa kukuletea lishe Bora na VIRUTUBISHO vya KUJENGA mwili twenden pamoja .

Tatizo Hilo limekuwa likiongezeka Kila kukicha. Tafiti mbalimbali zinaeleza kuwa wanaume wenye umri kuanzia miaka 34 na kuendelea ndiyo wahanga wakubwa

Na sababu ni kuwa wengi wao wanatumia sawa za kulevya ,pombe, elimu mdogo juu ya vyakula vinavyoweza kuongeza nguvu za kiume nakutopiga mazoezi ya viungo na mengineyo ndiyo hupunguza nguvu za kiume kwa kiwango kikubwa.

Vilevile waginjwa was kisukari na shinikizo la juu la damu, asilimia kubwa wanaume wenye ugonjwa wa kisukari wanasumbuliwa na tatizo Hilo la kupoteza nguvu za kiume wakati was tendo la ndoa.

Tiba yake zingatia lishe Bora kwa kutimia VIRUTUBISHO vyenye mchanganyiko was vyakula mbali mbalimbali zaidi ya elfu 22. Hasa ukitembelea ofsi zetu zilizopo Dar-es-salama(makumbusho)

Kwa kujipatia package moja ya C24/7 iliyotengenezwa na kuthibitisha na mamraka husika( tbs)

Au kwa mawsiliano zidi piga namb 0765843021 mpe taarifa Kiran yako

13/01/2020

Afya ya mama na mtoto inaimarishw kwa mafuta ya/""" MY CHOCO"" kazi yake ni
1.Inasaidia kumpa mtoto hamu ya kula kwakuwa Ina ladha ya chocolate na pia ni Tamu hivyo huwavutia watoto kupata hamu ya kula.

2.Hukuza kumbukumbu kwa watoto (DHA+Omega-3)

3.Husaidia kutibu ugonjwa was kifafa kwa watoto

4.Husaidia kuimarisha Kinga ya mwili kwa watoto.
Mi nzuri kwa wamama wajawazito na watoto wanaokua

Hivyo jipatie lishe Bora ya MY CHOCO kwa Bei nafuuu kabisa tunapatikana Dar-es-salam(makumbusho) au kwa maelezo zaidi piga cm kwa namb za 0765843021 ahsant mjurishe na Kiran yako

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255765843021

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Bora ni muhimu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram