Grace choice health care.

Grace choice health care. suluhisho la changamoto za kiafya kwa kutumia virutubisho lishe

20/02/2023

UNAWEZA KUPONA TATIZO LA KUVIMBA KWA TEZI DUME.
Piga au Whatsapp +255655511036

Kuvimba kwa tezi dume limekua ni tatizo kubwa sana kwa wanaume watu wazima kwa miaka ya n Sasa.
Wengi wanasumbuliwa na kuvimba kwa tezi dume bila kujua hivyo huchelewa kuitibu na kupelekea kupata changamoto kubwa baadae na wengine kugundua tayari imeshakua saratani.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME NI:-

✓Kukojoa zaidi ya mara 3 hasa nyakati za usiku
✓Mkojo kutoka kidogo kidogo
✓Mkojo kukosa nguvu hivyo kushindwa kuruka mbali
✓Kupata maumivu wakati wa kukojoa
✓Kuhisi mkojo umebaki ndani
✓Maumivi kwenye kibofu cha mkojo/ maumivu kwenye kinena
✓kukojoa Damu

MADHARA YA KUVIMBA KWA TEZI DUME

✓Kukosa mkojo/ unasikia mkojo lakini hautoki
✓Figo kufel
Kuoza kwa kibofu cha mkojo
✓ Kupungua au kupoteza nguvu za kiume
✓ Maumivu ya mgongo, kiuno, miguu na ganzi
✓ SARATANI YA TEZI DUME ( Hii inatembea na uti pia)

MATIBABU

Upasuaji
Hii hufanyika hospital lakini wengi waliofanyiwa upasuaji baada ya muda tezi dume huvimba tena na kupelekea adhari zaidi.

Vile vile baada ya upasuaji huyu mwanaume atakojoa Damu kwa kipindi Cha miezi 3-6 wengine mpaka mwaka bila na mkojo kutoka bila hisia zao

Pia nguvu za kiume hupungua au kupotea kabisa

MATIBABU MENGINE NI:-
Kwa kutumia Tiba asili zipo bidhaa zinazoweza kuondoa tezi dume bila upasuaji, pia kuondoa adhari zilizosababishwa na kuvimba kwa tezi dume k**a:
Changamoto za mfumo wa mkojo
Saratani ya tezi dume n.k

Pia utaweza kupandisha Kinga ya mwili hivyo kukusaidia kupona kwa haraka na kuzuia saratani.

Piga au Whatsapp +255655511036
Kupata huduma hii uweze kufurahia maisha yako na uwe na uzee mwema wenye thamani

Address

Mabibo
Dar Es Salaam

Telephone

+255655511036

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Grace choice health care. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram