afya_ya_uzazi_na_lisa

afya_ya_uzazi_na_lisa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from afya_ya_uzazi_na_lisa, Medical and health, Makumbusho, Dar es Salaam.

pata ushauri & matibabu kwa afya ya uzazi
✓ U.T.I sugu
✓Fungus sugu
✓ uvimbe kwenye kizazi
✓ Hormonal imbalance
✓Mimba kuharibika
✓Kutobeba ujauzito

25/01/2022

0685648880

JINSI YA KUONDOKANA NA MATATIZO YA HEDHI &KUPATA HEDHI KWA MPANGILIO

Tafiti zinaonyesha wanawake wenye tatizo la kutokwa na HEDHI mfululizo / nyingi sana wana hatari ya kupata

Kuvurugika kwa Hedhi ni kitendo cha mwanamke kuanza kuona mzunguko wake bila tarehe maalumu ,na matokeo yake ni mwanamke kushindwa kutumia mzunguko wake kwa sababu haueleweki

*Hedhi nzito muda mrefu huchangia mwanamke kupata tatizo la upungufu wa damu

SABABU ZA MATATIZO YA HEDHI

●Mabadiliko ya mazingira ambayo hupelekea mwili pia , hasa mwanamke akitoka sehemu zenye mazingira ya joto na kwenda sehemu zenye baridi au kutoka sehemu zenye baridi kwenda kwenye joto

●Msongo wa mawazo , (stress) Hofu & woga

●Uvimbe kwenye kizazi , kwenye ovaries na mirija ya uzazi

●Matatizo kwenye mfumo wa hormones , yaani hormonal imbalance

●Mimba kuharibika

●Maambukizi ya bacteria kwenye via vya uzazi P.I.D

●Matatizo ya Fungus na U.T.I muda mrefu ambayo hupelekea kutokwa na uchafy sehemu za siri kwa mwanamke

MADHARA ya kupata hedhi Bila mpangilio inapelekea mwanamke kukosa uzazi / ujauzito , mimba kutunga nje ya kizazi ,

Matatizo ya mfumo wa hedhi yanatatulika ,

kwa ushauri na msaada kwa maradhi haya ya mfumo wa hedhi tupigie simu

watsup / call

0685648880

Kati ya changamoto ambazo hazifai kuishi nazo kwa mda mrefu kwa mwanamke ni k**a hizi
24/09/2021

Kati ya changamoto ambazo hazifai kuishi nazo kwa mda mrefu kwa mwanamke ni k**a hizi

Kutokwa na harufu mbaya ukeni kunakela mno:Tatizo la uke kutoa harufu mbaya sio jambo la kufumbiwa macho naKuliacha, kwa...
22/09/2021

Kutokwa na harufu mbaya ukeni kunakela mno:

Tatizo la uke kutoa harufu mbaya sio jambo la kufumbiwa macho na
Kuliacha, kwasababu linawaathiri wanawake wengi sana duniani, kiasi
Cha kuwanyima furaha na Amani katika maisha yao, na wengine hata
Kudharaulika kwenye jamii.

Kitu kibaya zaidi wanawake wengi wamelalamika mahusiano yao
Kuharibika kutokana na hili tatizo.

K**a umekuwa ukihangaika na tatizo la uke kutoa harufu mbaya kwa muda mrefu bila kupata suluhu, basi naomba usome tangazo hili kwa makini sana.

Sababu zinazosababisha uke kutoa harufu ni k**a zifuatavyo

•Sababu Ya Kwanza Ni Bacterial vaginosis
•Sababu Ya Pili Ni Maambukizi ya magonjwa ya zinaa
•Sababu ya Tatu Ni Maambukizi ya fangasi.
•Sababu ya Nnee ni uwepo wa baadhi ya maradhi sugu
•Sababu Ya Tano ni Usafi hafifu
K**a umekuwa ukisumbuka na tatizo hili bila kupata suluhu ya uhakika basi usihofu tena anza kujiamini tena

Haijalishi Umeshaangaika kwa kiasi gani na pengine labdaumekwishakata tamaa ya kupona tatizo hili, nimekuandalia

K**a Lengo ni kuondokana na Changamoto hii nimekuandalia darasa maalumu ambapo nitaenda kukufundisha siri ya kuondokana nalo ndani ya siku tano tu na kutokujirudia tena hata k**a ushahangaika kwa muda mrefu bila mafanikio.

Je unatatizo k**a hilo
10/09/2021

Je unatatizo k**a hilo

Je? unapitia     changamoto  gani.
08/08/2021

Je? unapitia changamoto gani.

Leo ningependa tuzungumzie tatizo la uke kutoa harufu mbaya, kwani ni tatizo ambalo linawaathiri dada zetu sana, na huwa...
28/06/2021

Leo ningependa tuzungumzie tatizo la uke kutoa harufu mbaya, kwani ni tatizo ambalo linawaathiri dada zetu sana, na huwafanya wasiwe na uhuru wanapokuwa faragha na wapenzi wao, na kuwafanya wasiwe na raha, na kupoteza kujiamini.
Tatizo la kutoa harufu ukeni husababishwa na sababu kadhaa K**a ifuatavyo.
1.Bacterial vaginosis
Kwa kawaida, uke huwa na bakteria ambao huitwa lactobacilli, bakteria hawa ni wazuri na hawamletei shida yeyote mwanamke, bakteria hawa huulinda uke usishambuliwe na bakteria wabaya ambao ndio husababisha magonjwa. Kinachowawezesha bakteria hawa waweze kukaa kwenye uke ni hali ya utindikali wa uke(vaginal acidity); hali hii ya utindikali wa uke inapobadilika na kupungua kwa sababu yeyote ile, husababisha bakteria hawa kupungua, na hivyo kutoa nafasi kwa bakteria wabaya kukua kwa wingi, na kushambulia afya ya uke, hivyo kusababisha harufu(harufu hii hutokana na uchafu unaotengenezwa na bakteria hawa).

2.Fangasi za ukeni (Va**na candidiasis)
Fangasi za ukeni pia huweza kusababisha kutokwa na harufu kali ukeni, japokuwa si kwa kiwango kikubwa sana k**a sababu mbili hapo juu. Pia, mara nyingi mwanamke mwenye tatizo la fangasi za ukeni atalalamika kuhusu kuwashwa zaidi kuliko harufu.
👉Je, nini cha kufanya ili kujiepusha na harufu mbaya ya sehemu za siri kwa mdada?
-Epuka kusafisha uke kwa kuingiza kidole ukeni-Uke usafishwe kwa maji ya vuguvugu na sabuni ya kawaida ya kuogea (sio medicated soap), bila kuingiza kidole au kitu chochote ndani ya uke
-Epuka matumizi ya madawa ya antibiotics kwa muda mrefu bila ya kuambiwa na daktari-kwani dawa hizi zikitumika kwa muda mrefu na bila ushauri wa daktari husababisha mabadiliko katika bakteria wa kwenye uke na kupelekea magonjwa na harufu mbaya
-Vaa nguo za ndani za cotton
-Epuka nguo za kubana sana mwili
-Nguo ya ndani ianikwe nje; sehemu ambayo itapigwa na jua (na sio ndani ya chumba); au nguo za ndani zipigwe pasi kabla ya kuvaliwa,
-Unapokuwa kwenye siku zako zingatia usafi na kubadilisha pedi k**a inavyotakiwa(mara 2-3 kwa siku
-Jisafishe vizuri kila baada ya kumaliza haja ndogo.

UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS)  ugonjwa huu wa fangasi kwa wakina mama na Dada ambao umekuwa common na k...
25/06/2021

UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS)
ugonjwa huu wa fangasi kwa wakina mama na Dada ambao umekuwa common na kuwatesa,
maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua tatizo kubwa sana Duniani 75%ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili
_maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na fangasi wanaoitwa CANDIDA ALBICANS, maambukizi haya pia hujulikana k**a YEAST INFECTIONS /THRUSH
CANDIDA ALBICANS hupatikana katika midomo,mpira wa kupitishia Chakula (PHARYNX), kibofu cha mkojo, uume au katika uke.
Bacteria Hawa huishi katika sehemu hizo Bila kuleta madhara, isipokua pale mazingira ya eneo husika yanayojadiliwa, MFANO mabadiliko katika Hali ya PH, yanayosababishwa na matumizi ya MADAWA ya antibiotics, pia kupungua kwa Kinga kutokana na magonjwa tofauti.
👉VIHATARISHI VYA MAAMBUKIZI YA FANGASI KATIKA UKE
Vihatarishi vya maambukizi ya fangasi ukeni ni vingi sana ambayo ni pamoja na mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambao husababisha mabadiliko katika sehemu za siri pia Vihatarishi vingine ni hivi
wa mawazo
(malnutrition)
ya homoni(hormonal replacement therapy)

kinyume na maumbile/kwa njia ya haja kubwa (a**l s*x
ya glycerin wakati wa kujamiiana
nguo au mavazi yanayoleta joto sehemu za siri
ya dawa za Uzazi wa mpango
DALILI ZA UGONJWA
WA FANGASI UKENI
👉kuwashwa sehemu za siri
👉kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa(superficial dysapareunia)
👉kuhisi kuwaka moto sehemu za siri (burning sensation)
👉kupata vidonda au michubuko ukeni (soreness)
👉kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (L***a minora)
👉kupata maumivu wakati wa kukojoa
👉kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mzito, mwepesi au majimaji
DALILI HIZI HUWA MBAYA ZAIDI WAKATI WA KIPINDI CHA HEDHI
👉MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA
HUU WA FANGASI UKENI
ugonjwa huu unazuilika hivyo njia nzuri ni kujikinga kwa kufanya yafuatayo
👉Vaa nguo za ndani ambazo hazibani na z
ilizotengenezwa kwa pamba au hariri epuka synthetic underwear, pia epuka kuvaa nguo za ndani( MITUMBA )

Sababu za mara kwa mara Zinazopelekea Kukosa hedhi na Kuvurugika kwa Mpangilio wa Hedhi.Ukiachilia mbali ujauzito na kuk...
12/06/2021

Sababu za mara kwa mara Zinazopelekea Kukosa hedhi na Kuvurugika kwa Mpangilio wa Hedhi.

Ukiachilia mbali ujauzito na kukoma hedhi ambavyo vyote hivi ni vipindi vya kawaida kwa mwanamke kukosa hedhi.

©Zifuatazo ni sababu ambazo hupelekea mwanamke kukosa hedhi

1.Msongo wa Mawazo

Kikawaida mwili unapokutana na kitu cha kuogofya ama kinacholeta msongo wa mawazo unatunza nishati kubwa ili kuzielekeza kupambana na changamoto iliyopo mbele yako. Kwa hivo kila mara unapokuwa na msongo wa mawazo utendaji wa shuguli zingine za mwili unapungua na kudhoofika ikiwemo upevushaji wa mayai.
Homoni ya estrogen inapozalishwa kwa kiwango kidogo pamoja na homoni zingine k**a homoni ya LH na FSH ukuta ambao humeguka kila mwezi kutoka pamoja na yai hautajengwa na hivo kupelekea ukose hedhi

2LISHE MBAYA

Lishe mbaya yenye upungufu wa virutubisho ikiwemo vitamini na madini na yenye sukari na viambata vya kuongeza ladha kwa wingi hupelekea tezi za Adrenal na Thayroid kufaya kazi kupita kiasi. Kitendo hichi hupelekea uzalishaji wa kichocheo cha cotisoli ambacho kinapunguza uzalishaji wa homoni za uzazi.
Cortisol inapokuwa nyingi zaidi pia taweza kuletekeza madhara mwilini k**a udhaifu wa mifupa, ngozi kuharibika, tishu za ubongo na misuli kudhoofika. Kwahivo mtiririko huu unapojirudiarudia kila mara ndipo hali ya mwili huwa mbaya zaidi.

3.UZITO KUPITA KIASI
uzito kupita kiasi inapelekeza ongezeko la mafuta mengi mwilini ( overcholestrol) na kusababisha utendaji kazi wa hormone kutokuwa sawa na kusababisha kukosa hedhi kwa wakati

4.MATUMIZI YA DAWA ZA KUPANGA UZAZI

Baadhi ya wanawake hukosa hedhi kwa muda mrefu baada ya kuacha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango. Japo madactari hushauri kwamba hali itakaa sawa baada ya kuacha ila njia nyingi za uzazi wa mpango huaribu mfumo wa hormones za mwanamke na kusababisha kukosa hedhi kwa wakati

Ili kusaidika na changamoto hizi za hedhi

Watsup / call

+255785648880

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya_ya_uzazi_na_lisa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to afya_ya_uzazi_na_lisa:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram