Dr agnes na afya

  • Home
  • Dr agnes na afya

Dr agnes na afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr agnes na afya, Medical and health, .

*TIBA* YA MATATIZO/MAGONJWA HAYO*
*KAMA VILE;*
�MAUMIVU/KUVURUGIKA KWA HEDHI
� UNENE/UZITO MKUBWA
�BAWASIRI
�MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI
�PRESHA NA KISUKARI
�MAUMIVU YA MIFUPA NA JOINTS
�CHOO KIGUMU/CONSTIPATION

Hii ni kwajili ya warembo ote wanaopenda MWONEKANO WA NGOZI NYWELE NA MACHO bidhaa safi kabisa weka oda mapema nicheki w...
11/09/2022

Hii ni kwajili ya warembo ote wanaopenda MWONEKANO WA NGOZI NYWELE NA MACHO bidhaa safi kabisa weka oda mapema nicheki watssap au piga 0625558700

🌺JE UNA TATIZO LA UKE MKAVU?🌺Uke Mkavu ni Tatizo ambalo husababishwa na Upungufu au Kiwango kidogo/Uwiano mbaya wa hormo...
07/09/2022

🌺JE UNA TATIZO LA UKE MKAVU?🌺

Uke Mkavu ni Tatizo ambalo husababishwa na Upungufu au Kiwango kidogo/Uwiano mbaya wa hormone (Vichocheo) Vya uzazi Oestrogen Hormone Ambayo ina jukumu la kuleta Ute na Vilainishi vya uke

Kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na ute wa wastani ambao hufanya uke kubana kuleta joto na Raha katika tendo
(K**a kutakuwa na kiwango kidogo cha ute joto na raha ya tendo inapotea kwa asilimia kubwa)

🌺DALILI ZA UKE MKAVU🌺
✓Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
✓Kutoshika mimba
✓Kutokwa damu Wakati au baada ya tendo la ndoa.
✓Kukosa/kupungua hamu ya tendo la ndoa.
✓Maumivu ya chini ya kitovu Wakati wa tendo
✓Maumivu ya mifupa na viungo
Kuwa na ngozi kavu
✓Maumivu ya kiuno, mgongo na tumbo
✓Siku za hedhi Kutokuwa na mpangilio maalum
✓Kutoa furahia tendo la ndoa

🌺MADHARA YA UKE MKAVU🌺
✓Upungufu/Kiwango kidogo/ uwiano mbaya wa homoni za uzazi estrogen ,progesterone,Endrogen,Testosterone, nk..(HORMONES IMBALANCE)
✓kutokushika ujauzito
✓Ni rahisi kushambuliwa na maambukizi katika mfumo wa uzazi K**a PID (pelvic inflammatory disease
Wanawake wengine wamekua hawapati raha ya tendo kwa sababu ya kuwa na uke Mkavu na kupata maumivu wakati wa tendo
✓ Kansa ya shingo ya kizazi

REJESHA FURAHA YAKO SASA TIBA IMEPATIKANA INAYO CHOCHEA HORMONE YA OESTROGEN KUONGEZA UTE UTE UKENI.

Note;
Dawa haina kemikali yoyote

N.B.
🌺KWA EXPERIENCE TUMEWASAIDIA WENGI NA SASA WANAENDELEA VIZURI🌺

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kupitia 0625558700 ( What'sapp & call) au 0762983844 (call)

07/09/2022
Matumiz ya njia za uzazi wa mpango husababisha mwanamke kuwa na uke mkavu tucheki Whatsapp kwa tiba na Ushauri 076298384...
28/08/2022

Matumiz ya njia za uzazi wa mpango husababisha mwanamke kuwa na uke mkavu tucheki Whatsapp kwa tiba na Ushauri 0762983844

26/08/2022

SULUHISHO LA TEZI DUME .BILA KUFANYIWA UPASUAJI KABISA .

KUTANUKA KWA TEZI DUME

Kutanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo husababishwa na Ugonjwa wa Saratani (Kansa). Huwa ni Jambo la kawaida kwa karibu kila mwanaume mzee, miaka inavyoenda ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo, mkojo kutoka polepole.

DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

1. Kukojoa mara nyingi nyakati za usiku 3-9

2. Kulazimika, Mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka.

3. Mkojo kutiririka polepole, hukatika katika na hutumia nguvu kubwa

4. Mkojo kushindwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa

5. Mkojo kuendelea kutoka kidogo kidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani kuloa.

6. Kibofu hakiishi mkojo

MATATIZO YALETWAYO NA TEZI DUME KUTANUKA

1. Mkojo kushindwa kutoka kabisa

2. Madhara kwenye kibofu cha mkojo na figo

3. Maambukizi ya mawe kwenye kibofu na figo.

MATIBAB
DR AGNES. (+255762983844)
tunayo package maalumu itakayokusaidia kuondoa Uvimbe bila kufanyiwa upasuaji. Katika package hii tutakupatia dawa ambayo itaenda kuondoa Uvimbe kabisa na kuimarisha Kinga yako ya mwili. Pia kukupa dawa ambayo itaenda kutibu tezi dume na kurejesha Afya ya tezi dume.

MAWASILINAO
Wasiliana nasi kwa simu namba 0762983844 tukuudumie. Popote ulipo tutakuhudumia.

*MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA*P.I.D(pelvic inflammatory disease) na FIBROIDS inavyotesa wanawake na ku...
26/08/2022

*MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA*

P.I.D(pelvic inflammatory disease) na FIBROIDS inavyotesa wanawake na kuwasababishia ugumba.

P.I.D NI NINI ?

P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi nk . Pia ugonjwa huu ni moja ya UGUMBA kwa mwanamke. Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke.

Je utajuaje kwamba huenda umeathirika na ugonjwa huu wa P.I.D ?

DALILI ZA P.I.D
👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia
👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio)
👉Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kutapika na homa
👉Uchovu
👉Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huwa inafanana sana na fibroids)
👉Ugumba( unatafuta mtoto kwa muda mrefu na hupati)
👉Kukojoa mara kwa mara

FIBROIDS NI NINI ?
FIBROIDS ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambapo uvimbe huu unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi au nje kwenye ukuta wa kizazi

Je utajuaje k**a una fibroids ?? Hebu angalia dalili zake

DALILI ZA FIBROIDS
👉Kutokwa damu nyingi kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi au wakati wa hedhi
👉Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya(wengi wenu huwa mnakimbilia kwamba mna fangas)
👉Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe
👉Tumbo kuuma sana chini ya kitovu
👉Hedhi zisizokua na mpangilio na damu hutoka nyingi mpaka kupelekea wengine kupungukiwa damu na kutakiwa kuongezewa damu
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa(hii hupelekea achukie tendo la ndoa)
👉Kukosa kwa choo kikubwa au choo kuwa kigumu(constipation. )
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kukojoa mara kwa mara
👉Ugumba(kuchelewa au kutokupata mtoto)
👉Mimba kutoka mara kwa mara

KWANINI NIMEAMUA KUELEZEA KUHUSU P.I.D NA FIBROIDS????

JIBU:
👉Ni kwa sababu wanawake wengi wakiona dalili k**a kutokwa uchafu wanahisi ni FANGAS tu
👉 Wakiona mimba zinatoka mara kwa mara wengi hukimbilia kusema ni ushirikina au muhusika alikua anatoa mimba sana siku za nyuma wakati labda sio hivyo
👉Kingine mwanaume akiona mkewe hataki tendo la ndoa anahisi mkewe anamsaliti kumbe mwenzie anaumwa
👉 Lakini kubwa zaidi nimeeleza haya yote sababu dalili za magonjwa haya mawili yanafanana kwa ukaribu sana.

Kwa Suluhisho Hilo Tafadhali Tumia tiba za Bf suma. Kwa huduma na msaada zaidi wasiliana nasi kwa Namba Whatsapp 0762983844

Dr agnes na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa sasa kutokana...
26/08/2022

Dr agnes na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.
Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa sasa kutokana na mabadiliko ya mitindo ya Maisha. Umri mkubwa ni moja ya sababu inayopelekea kutokea kwa tatizo, ambapo tishu za mwili zinakuwa kavu na kupoteza uwezo wa kuvutika.

Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa na kutembea umbali mrefu sababu ya maumivu makali wanayoyapata..

Pia limewaondolea watu uwezo wa kushiriki kwenye michezo na shughuli zingine za kujenga uchumi na wengine wengi kupata ulemavu wa maisha sababu ya kuwa na tatizo kwa muda mrefu sana na kulichukulia kawaida kwa kutumia dawa za maumivu (ant pains)

Na changamoto hii endapo isipotatuliwa mapema inaweza kukuondolea uwezo wa kutembea milele.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba za kutuliza maumivu na baada ya muda mfupi tatizo linarudi tena.

K**a wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo,usiwaze tena.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr agnes na afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr agnes na afya:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram