Imarisha AFYA

  • Home
  • Imarisha AFYA

Imarisha AFYA Afya ya mtu ni maisha ya mtu ,so lengo ni afya na ushauri

HIVI UMEKUWA UKIZINGATIA HILI JAMBO WAKATI WA TENDO LA NDOA 😜Unapojigundua kuwa huwezi kushiriki tendo la ndoa kikamilif...
10/10/2022

HIVI UMEKUWA UKIZINGATIA HILI JAMBO WAKATI WA TENDO LA NDOA 😜

Unapojigundua kuwa huwezi kushiriki tendo la ndoa kikamilifu huwa unahangaika sana kutumia madawa bila kujua chanzo cha tatizo lako na dawa unayotumia kazi yake ni ipi haswa!

Sababu hasa zinazofanya uanze kutumia dawa ni kwasababu, unawahi sana kufika kileleni, au mashine kusimama legelege baada ya round ya kwanza muda mwingine haisimami kabisa na hili jambo linakunyima usingizi kabisa 😂

Ila nikwambie jambo ambalo wengi niliwaambia wakaniskiza unapotumia dawa huwezi kupata matokeo ya kudumu ndo pale unakuta unafanya tendo bila kufika kileleni hadi mwenzio anachoka na wewe upo hoi, sasa hayo ni mapenzi au kukomoana tu!? 😀😂

Sasa njia sahihi ya kuweza kushiriki tendo kikamilifu na wote mkafurahia pamoja, nimekuandalia elimu fupi ambayo ntakuelezea utumie vitu gani ili uweze kuwa mwanaume wa shoka 😃💪

Nitatoa Nafasi Tatu leo kuwapa njia watu Watatu kujuwa namna gani wanakuwa imara cha kufanya Tuma ujumbe neno AFYA JAMII kwenda whatsapp namba 0692094104 au piga simu usaidiwe mapema nafasi zikiisha utakuwa umechelewa.

K**a ungependa kujitibu bira upasuaji na kwa haraka wasiliana nami 0692094104
19/08/2022

K**a ungependa kujitibu bira upasuaji na kwa haraka wasiliana nami 0692094104

UTAJUAJE K**A UNAHITAJI KUJIIMARISHA. 1.Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi .2.Mashine inasinyaa t...
17/08/2022

UTAJUAJE K**A UNAHITAJI KUJIIMARISHA.

1.Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi .

2.Mashine inasinyaa taratibu baada ya goli moja na kuendelea inakua ni ngumu.

3.Mwili unahisi ganzi pamoja na mashine kusinyaa ukiwa kwenye tendo

4.Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii ,ule uchangamfu unapotea kabisa.

5 Mashine inasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kuanza mechi inasinyaa .Hapa Wengi huhisi kwamba Wamerogwa Lakini ukweli Ni Kwamba hawajarogwa .

6.Kupoteza hamu ya kucheza mechi baada au kabla ya mchezo.

7.kushindwa kurudia Mara ya Pili .unakuta ukishatoa Goli Mara Moja, Basi mashine inakata Moto haisimami Tena hata ufanyeje inazidi kulala.

8.Mashine kulala Ndani ya Uwanja wakati mechi inaendelea ,unakuta upo katika ya Game ,mzigo unalala ghafla na kulegea Ndani kwa Ndani.

Katika utatuzi wa tatizo hili usitumie DAWA tubia virutubisho kutatua tatizo hili kabsaa .

Kwa msaada zaidi:

Tuma neno AFYA kwenda WhatsApp number +255692094104 au Piga Simu usaidiwe Mapema.

Sio kwamba wengi wanajua bawasiri nini ,lina madhara gani makubwa  pata ushauri bure kabsa lakini TIBA uamuzi wako https...
13/08/2022

Sio kwamba wengi wanajua bawasiri nini ,lina madhara gani makubwa pata ushauri bure kabsa lakini TIBA uamuzi wako https://wa.me/+255692094104

10/08/2022

VIRUTUBISHO LISHE
NINI MAANA YA VIRUTUBISHO

Ni vitu (substance ) ambavyo hurutubisha mwili, Virutubisho hivi hupatikana kwenye vyakula vyote,
Virutubisho vya chakula vimegawanyika katika makundi Sita,
(1) 👉 Wanga
-kazi yake kubwa ni kuleta nguvu mwilini Mfano:mahindi, viazi, ngano, mchele
(2) 👉protini
Kazi yake ni kujenga mwili Mfano :nyama, mayai, maharage, njegere, maziwa,
(3) 👉Vitamini
Kazi yake kubwa ni kulinda mwili
Mfano: maembe, machungwa, nanasi, zabibu,
(4) 👉Madini Huusika sana katika kuwezesha mifumo ya mwili
Mfano: chumvi,ubuyu, dagaa, mboga mboga za kijani, (vyanzo vya baadhi ya madini)
(5) 👉Maji huwezesha mifumo mbali mbali katika mwili,

(6) 👉 Tambua kua hizo ni baadhi ya kazi za hivyo virutubisho

Ili mwili wa binadamu ufanye kazi vizuri na uweze kujilinda na magonjwa unahitaji kupata virutubisho vyote Sita ktk uwiano au kiasi sahihi, yaani lishe bora.

"kulingana na takwimu za WHO (shirika la afya duniani) lilisema 👉ili mwili wa binadamu uweze kuwa na kinga bora ya mwili dhidi ya magonjwa mbali mbali unatakiwa kila siku uwe na uwezo wa kupata matunda aina Saba na mboga mboga aina Saba kila siku"

Je kulingana na takwimu hizo za WHO , upo salama ?
K**a ni hapana Je, una uwezo wa kumudu gharama za matunda aina Saba na mboga mboga aina Saba kwa kila siku ?

Ushauri, matumizi ya virutubisho lishe vyenye ubora wa hali ya juu ni muhimu kwa mtu ambae hana uwezo wa kupata mlo wa matunda aina saba na mboga mboga aina saba kila siku

MADHARA YATOKANAYO NA KUKOSA LISHE BORA
👉magonjwa
👉maambukizi ya wadudu
👉uchovu
👉udhaifu wa mwili

Watoto wanaokosa lishe bora hupata matatizo ya kukua vibaya na kufanya vibaya katika masomo

"kumbuka kinga ni bora kuliko tiba" Anza leo kula matunda na mboga mboga kwa mpangilio maalum au kutumia virutubisho lishe uweze kujilinda na magonjwa na kuepuka garama za matibabu ya hospitalini

AFYA NA USHAURI BURE
VIRUTUBISHO LISHE VYENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA AJILI YA KINGA NA TIBA

MWANAUME RIJALI ANAPIMWAA KWA KUTUMIA MUDA MREFU KUFIKA MSHINDO SIO IDADI YA MAGOLI Soma hapa👇👇🛑kuna sababu nyingi zinaz...
10/08/2022

MWANAUME RIJALI ANAPIMWAA KWA KUTUMIA MUDA MREFU KUFIKA MSHINDO SIO IDADI YA MAGOLI Soma hapa👇👇

🛑kuna sababu nyingi zinazomfanya mwanaume kushindwa kudumu kwa muda mrefu kwenye tendo la ndoa nazo ni -:

●punyeto/KUJICHUA kwa muda mrefu.
●Magonjwa yasio ambukizwa k**a vile kisukari, pressure, ngiri,kuvimba kwa tezi dume,kuvimba kwa korodani, vidonda vya tumbo n.k
●Magonjwa ya zinaa k**a vile kisonono, kaswende n.k .
●Magonjwa ya mfumo wa mkojo k**a vile UTI sugu yaani UTI ya mara kwa mara.
●Uzito uliopitilza (kitambi/unene)

Jinsi ya kutatua hii changamoto ya kuwai kufika kileleni na kushindwa kuendelea na tendo la ndoa kwa muda huo

Tuma neno AFYA BORA kwenda
whatsApp
+255692094104

Address


Telephone

+255692094104

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Imarisha AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram