01/12/2021
IFAHAMU U.T.I NA TATIZO LA WANAWAKE KUWAHI KUCHOKA AU KUTOTAMANI TENDO LA NDOA
0752567509
UTi ni ugonjwa ambao unasumbua watu wengi; watoto, vijana na watu wazima.
UTI (Urinary Tract Infection); ni maambukizi kwenye njia ya mkojo. ambayo chanzo chake kikubwa kipo kwenye sehemu ya haja kubwa(anus)au kwenye utumbo mpana(large intestine)kwanini imekua u.t.i?kabla ya kua u.t.i kulikua na vimelea ambavyo vinaishi katika eneo la haja kubwa ambavyo ni ulinzi wa eneo hilo,ila ukivihamisha kutoka eneo hilo nakupeleka eneo lingine haviwi ni ulinzi bali ni mashambulizi,kwa kawaida mwanamke ameumbwa na centimetre 1-4 kutoka nje kwenda ndani kwenye njia yake ya haja ndogo ila tu milango yako ipo wazi sana na ni rahisi kupata maambukizi,sasa wanawake wengi baada ya kujisaidia haja kubwa hujisafisha kutoka nyuma kwenda mbele na hapo ndipo wanapohamisha vile vimelea na vikifika njia ya mkojo vinakua ni mashambulizi na ndipo vinaitwa (urinary track infection)U.T.I.na ukishapata hivo vibacteria kwanza vinaenda kudhoofisha kinga za uke(normal flores)ambao hao nomal flores wenyewe hua wanaishi kwenye ute wa kike(lactic acid) hivyo inakua ni rahisi kupata mashambulizi ya magonjwa mbalimbali.
Ugonjwa huu hushambulia figo (kidneys); ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo, kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili.
AINA ZA U.T.I
A) lower U.T.I
Lower U.T.I ni hatua ya ugonjwa kushambulia maeneo ya urethra na
kibofu cha mkojo (bladder). Katika hatua hizi, mgonjwa atasikia dalili
zifuatazo:
1. Maumivu wakati wa kukojoa
2. Kujisikia kukojoa mara kwa mara lakini kutoa mkojo kidogo tu
3. Damu katika mkojo
4. Mkojo wenye rangi ya chai
5. Mkojo wenye harufu kali
6. Maumivu ya kiuno kwa wanawake
7. Maumivu ya sehemu za nyuma kwa wanaume
B) Upper U.T.I
Upper U.T.I ni maambukizi ya ndani ya figo. Hii ni hatua mbaya sana
endapo bacteria wataanza kuingia kwenye mkondo wa damu kutoka
kwenye figo – SEPSIS. Sepsis huweza kusababisha msukumo wa
damu kuwa mdogo sana (Low Blood Pressure), msh*tuko au kifo.
Dalili za upper UTI ni:
1. Maumivu ya maeneo ya juu ya mgongo
2. Homa
3. Kusikia baridi
4. Kusikia kichefuchefu
5. Kutapika
Ukiipuuza U.T.I Unaweza kupata athali kubwa sana k**a zifuatazo
1.Figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure) hii ni hatari sana ,hutokana na bacteria kushambulia figo
2.Kupatwa magonjwa ya kibofu ,k**a kibofu kuziba ,kushindwa kukojoa ,hii hupelekea MTU kukojoa kwa mirija
3 .maumivu ya mgongo, kiuno na NYONGA
4.kupoteza hamu ya tendo la ndoa.nk.
5.kuharibu homon(hormon inbalance)
6.mimba kuharibika
7.kushindwa kubeba mimba
Je umekuwa ukipata U.T.I inayojirudia rudia(sugu)
KARIBU UJIPATIE TIBA piga 0752567509