09/01/2022
DALILI ZA CHANGAMOTO YA TEZI DUME
Uonapo dalili zifuatazo unaweza kuanza kuhisi una saratani ya tezi dume:
1. Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku
2. Kushindwa kuzuia mkojo, yaani ukichelewa kidogo unaweza kukutoka bila breki
3.Kuwahi kufika kileleni mara kwa mara
4. Maumivu wakati unakojoa
5. Kuishiwa nguvu za kiume
6. Kupungua kwa uwingi wa mbegu (low s***m count)
7. Maumivu wakati unafika kileleni
8. Damu kutokea kwenye mkojo au kwenye mbegu za kiume
9. Maumivu nyuma ya mgongo au hata nyonga
K**a umeona mojawapo ya dalili hizo chukua tahadhali mapema kwa kutumia virutubisho asilia, formula ya matunda matatu na mazoezi matatu muhimu. kwani kinga ni bora kuliko tiba. Usisubiri uharibikiwe zaidi ya hapo.
Suluhisho; Tuma ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda WhatsApp 0620509236 au piga simu usaidiwe mapema.