14/04/2026
JITAMBUE K**A UNA TUMIWA KICHAWI
Je, unaishi na mume, mke, au ndugu… lakini maisha yako kwa muda mrefu yamekuwa k**a mfanyakazi au mtumwa wake?
Kila unapojaribu kujitegemea au kuondoka, moyo unakuwa mzito na unashindwa kuchukua hatua?
Ukiamua kuondoka na kuanza biashara au kazi zako, mambo yako yanakwama… na unajikuta unarudi kwake tena?
Unaishi naye, lakini hakuhudumii chochote.
Hakupi mahitaji yako muhimu.
Kazi zako hazifanikiwi, lakini zake zinaendelea vizuri.
Anapata pesa na mafanikio, lakini anawapa wengine — sio wewe.
Ukiona hali hii, tambua kuna kitu hakiko sawa.
Inawezekana kabisa mtu huyo ananufaika na juhudi zako, bahati yako, na riziki yako… huku wewe ukiendelea kuishi kwenye tabu.
Ndio maana unakuta ni vigumu sana kujitenga naye — kuna nguvu inayokurudisha nyuma kila mara.
Na wapo wanaosema:
“Mimi nachukia wanaume” au “Ninaishi tu kwa ajili ya watoto.”
😂 Ukweli ni huu: huenda tayari ulishaathirika… bila hata kujua.
📞 Mawasiliano: 0742 702 741
📍 Tunapatikana: Chanika na Gongolamboto
👤 Dkt. Muma